FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #601
Rais wa Marekani Donald Trump alitoa msimamo wake wakati wa kampeni kuhusu mpango wa kuwazuia Waislamu kuingia Marekani kwa muda ................... toa maoni yako.
US inaendeshwa kwa sheria na kanuni zao na si vyema kuwaingilia mambo yao ya ndani.
Sasa sijuwi wale Waislam waliopo ndani ya US na wanaongezeka kwa haraka kuliko dini nyingine yoyote ile atawafanya nini?
Umelifikiria hilo?