Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Nilijibu hivi, nnaona hata kufata link kumekushinda, isiwe tabu, jisomee:

Hizo "millioni kumi" mimi nnazisoma humuhumu JF, sijaona ushahidi wowote kwa hiyo siwezi kuziongelea zaidi ya kupiga porojo za hapa na pale kama ilivyo kawaida ya barza lolote lile. Si kila ukisikiacho ni ukweli, jee mwenzangu ulikuwepo wakigawana hizo "million kumi kumi"?
Wewe unaweza kuamini Freeman Mbowe anaweza kuongea jambo kubwa kama hilo bungeni bila kuwa na ushahidi? Kwanini mpaka wabunge na mawaziri hajatoa tamko kuhusiana na kashfa hiyo wabunge kuhongwa milioni 10 kila mbunge wapitishe muswada wa habari ambao waliupitisha tuhuma za uwongo zikitolewa kuna hatua za kumchukulia muhusika nini kinaendelea kuhusu kashfa hiyo?
 
Kwani mara ya kwanza kwa Mbowe kuzuwa? Alisema aa ushahidi wa wao kupigwa mabomu Arusha, mpaka leo imeingia awamu nyingine, hatujauona.

Alisema anarudisha shangingi la KUB kumbe amerudisha la zamni mlango wa mbele akaenda nyuma akatoka na jipya brand new. Alikuwa eti hataki tu kwa kuwa lile lilitumiwa na KUB wa kabla yake.

Sasa kwa hayo, la maboovu hususa, watu wamepoteza maisha huo ushahidi kaukalia tu?

Haaminiki hata chembe.
 
Ntakujibu baadae tuwape fursa na wengine nje ya maswali ya dini.

Hauna maswali mengine ya "general knowledge" zaidi ya haya ya dini? Maana kuna watu wengine yanawapa mushkel, na ni vyema tukawapa fursa kwa maswali mengine, au unaonaje?
sawa.
 
Nataka kujuwa kama yule binadamu asiye na akili aliyezusha eti Mama Samia kajiuzulu kama keshatiwa mbaroni..???
 
Back
Top Bottom