Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Rais wa Marekani Donald Trump alitoa msimamo wake wakati wa kampeni kuhusu mpango wa kuwazuia Waislamu kuingia Marekani kwa muda ................... toa maoni yako.

US inaendeshwa kwa sheria na kanuni zao na si vyema kuwaingilia mambo yao ya ndani.

Sasa sijuwi wale Waislam waliopo ndani ya US na wanaongezeka kwa haraka kuliko dini nyingine yoyote ile atawafanya nini?

Umelifikiria hilo?
 
Atawafukuza
 
Kama ungepata nafasi ya kumshauri Rais Magufuli kuhusu sera ya kuelekea katika Tanzania anayoitaka ya Viwanda, Nini ungekua ushauri wako?
 
Pitia hapa: Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu
 
Nakubaliana na wewe kwa kila kitu ila tukubaliane pia kama system ilikosea kwa masomo mengine basi hata wasio waislamu walikua waathirika wa hiyo system kwaiyo tusilibebe kwa dhana hiyo ambayo wachache wanaieneza
 
Kama ungepata nafasi ya kumshauri Rais Magufuli kuhusu sera ya kuelekea katika Tanzania anayoitaka ya Viwanda, Nini ungekua ushauri wako?

Ni vyema lakini serikali isijiingize katika uendeshaji wa viwanda wawawachie watu binafsi, labda serikali wawe wabia na kuweka wasimamizi wao lakini si kuendesha 100% kama vile viwanda vya umma ambavyo vyote vimeuliwa kwa kuibiwa.
 
Nakubaliana na wewe kwa kila kitu ila tukubaliane pia kama system ilikosea kwa masomo mengine basi hata wasio waislamu walikua waathirika wa hiyo system kwaiyo tusilibebe kwa dhana hiyo ambayo wachache wanaieneza
Hapana, Ripoti ya Tume ilisema wazi kwamba matokeo ambayo yalikosewa ni yaa Islamic Knowledge peke yake! Katika utetezi wao, NECTA wakadai kwamba hapo zamani, Islamic Knowledge ilikuwa na paper 3 kwahiyo system formular ndo hiyo ilikuwa divide by 3. However, mwaka 2012, Islamic Knowledge ilikuwa na paper na paper 2... which means, system formular haikubadilishwa! Sasa hivi kweli ni utetezi wenye mantiki huo?! Nani alikuwa na wajibu wa kubadilisha fomula kama sio wao?!!
 
Je Mungu anatoa adhabu mara mbili? Kwa nini Afrika hatukuletewa mtume wetu kwa lugha yetu, Je ni kweli lugha itakayotumika akhera ni Kiarabu ? yangu ni hayo tu Faiza Fox

Yaliyopita yawe funzo kujenga yajayo
 
Namkubali JPM ila kumpa Ndalichako wizara ya elimu,binafsi naona ni kuwabeza na dharau kwa waislamu
 
Je Mungu anatoa adhabu mara mbili? Kwa nini Afrika hatukuletewa mtume wetu kwa lugha yetu, Je ni kweli lugha itakayotumika akhera ni Kiarabu ? yangu ni hayo tu Faiza Fox

Mwenyezi Mungu hatowi adhabu mara mbili kwa kosa hilohilo moja.

Kila kaumu ilikuwa na mtume wake, Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam kaja kwa walimwengu wote. Subhanna Allah, imagine sasa hivi tunaongelea dunia kuwa ni kijiji na Allah akasema huyuhuyu ndiyo wa mwisho.

Naam, nnaomba pitia hapa: What language did Hz Adam and Hz Eve speak? What language will be spoken in Paradise? | Questions on Islam
 
Hakulipiwa na baba yake ni katika ule utaratibu wa scholarship

Unalikumbuka swali lako lakini, jikumbushe "nani mtoto wa mwalimu alivuka mpaka kusoma?".

Unaonesha ulikuwa hata huelewi kuwa wamevuka mipaka na kwenda kusoma nje. Sasa unarusha.
 
Je Mungu anatoa adhabu mara mbili? Kwa nini Afrika hatukuletewa mtume wetu kwa lugha yetu, Je ni kweli lugha itakayotumika akhera ni Kiarabu ? yangu ni hayo tu Faiza Fox
Mmmh....hakika akijibu hili basi yeye ndo mtume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…