Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

kwa mujibu ya imani yako ni sawa

Kwa mujibu wa Yesu Alayhi Salaam kwenye Biblia anasema:

"Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma"
Yohana 17:3
 
faiza Foxy umeishi abroad kwa muda mrefu na kujua culture zao, je huu utaratibu wanaoupigia debe dunia nzima wa ndoa ya jinsia moja ni upungufu wa wanawake?? Na kama wapo wa kutosha kitu gani kinawapelekea kuhimiza ndoa ya jinsia moja?
Na kama wapo wengi mpaka wengine wanakosa wa kuwastir kwanini wasiige kwa waislam mwanaume kuoa wake mpaka wanne ili kupunguza uasherati mitaani? ??
 
Maadili yameanguka na wanafata nyayo za shetani lakini nusra ya Allah imeanza kuwaingia na sasa wanaingia kwenye Uislam makundi kwa makundi. Allahu Akbar.
 
faiza Foxy umeishi abroad kwa muda mrefu na kujua culture zao, je huu utaratibu wanaoupigia debe dunia nzima wa ndoa ya jinsia moja ni upungufu wa wanawake?? Na kama wapo wa kutosha kitu gani kinawapelekea kuhimiza ndoa ya jinsia moja?
Na kama wapo wengi mpaka wengine wanakosa wa kuwastir kwanini wasiige kwa waislam mwanaume kuoa wake mpaka wanne ili kupunguza uasherati mitaani? ??
Wewe haujafika Uarabuni watoto wa kiume wanachungwa kuliko wa kike, wanaolewa kimyakimya.

Wazungu si wanafiki kama waarabu ndio maana wanataka haki ya kupakuliwa.

Nenda maeneo yote waliokaa waarabu uone ushoga ulivyo.

Hata hapa Tanzania huwezi kusikia aunty Thomas bali aunty Muddy and likes.

Huwezi kukuta ushoga Tarime lakini pita ukanda wa pwani ambako ni muslim and Arab base upate majibu.
 
Inahitaji ujasiri wa ziada kumuweka ndani mwanaume mwenzio kama mke.
 
Wewe haujafika Uarabuni watoto wa kiume wanachungwa kuliko wa kike, wanaolewa kimyakimya.

Wazungu si wanafiki kama waarabu ndio maana wanataka haki ya kupakuliwa.

Nenda maeneo yote waliokaa waarabu uone ushoga ulivyo.

Hata hapa Tanzania huwezi kusikia aunty Thomas bali aunty Muddy and likes.

Huwezi kukuta ushoga Tarime lakini pita ukanda wa pwani ambako ni muslim and Arab base upate majibu.

Nani amekuambia ushoga uko pwani Kwa sababu tu wako Waislam Na Waarabu.
Huko Tarime ,UK(ukerewe) Na Sehemu nyingi mashoga wengi tu Hata Aunty Matola wapo.
Ushoga hauna dini wala kabila.Wapo Ma padri Na ma askofu mashoga ambao wanajitangaza
 
Bora Sheik Yahya Hussein n.a. vipisi vya magogo alivyoiita popobawa
 
Nimewasikiliza sana tu na nnaendelea kuwasikiliza, mengine nnakubaliana nao na mengine sikubaliani nao. Simply ni different schools of thought tu.

Kama unawasikiliza hao, msikilize na Blagrove, ingawa si Muislam lakini to me he makes a lot of sense nikimsikiliza:

Bibi nimekuelewa sana katika clip hii. Huyu jamaa ni mwanaume na hana Unafiki kabisa.

Daah, sio bure baadhi ya waislam wanafanya kama wanavyofanyaga yaani kujitoa mhanga na kujilipua cause wapo under American colonization politically, spiritually and economically.
 
Unaonaje kwa mfano Tanzania kama nchi ingerasimisha michezo kama Judo, Karate na basketball ikawepo mashuleni na ktk mashindano ya kimataifa kama Olympic Watanzania wenzako wanaenda kuiwakilisha nchi na maybe wakarejea na [emoji471][emoji471][emoji146][emoji146]. Huoni kuwa in the long run ingekuwa ni chanzo kingine cha ajira na ingetupunguzia tatizo kwa wale vijana ambao wana Degree na hawana wa kuwaajiri?
elim elim elim mnakimbia umande afu mnataka div one? endeleen kusubiri meli airport
 
Bibi nimekuelewa sana katika clip hii. Huyu jamaa ni mwanaume na hana Unafiki kabisa.

Daah, sio bure baadhi ya waislam wanafanya kama wanavyofanyaga yaani kujitoa mhanga na kujilipua cause wapo under American colonization politically, spiritually and economically.
Dhanna ya kujiripua ukitaka kuijuwa chanzo chake tafadhali wasome akina George Habash na Carlos Ilyich Ramirez Sanchez.

Halafu soma kuhusu Wajapan na vita kuu ya pili ya dunia na falsafa yao ya kamikaze.

Isitoshe, ikiwa dhanna hiyo ni ugaidi basi juu huko nimekuwekea tafiti inayoelezea kuwa ugaidi mwingi ndani ya Amerika unahusisha wasio wa ISLAM kwa 90%.

Vipi hao 90% mbona hamuwaongelei? Au hamna habari zao?

Nnauhakika hamna habari zao, jiulize kwanini hatuna habari zao?
 
elim elim elim mnakimbia umande afu mnataka div one? endeleen kusubiri meli airport
Tunataka kama ile ya Mbowe, ilikuwa division ngapi vile?

Halafu nnaomba kukuuliza, neno kudisco na division ya Mbowe zina uhusiano wowote? Kuna uwezekano kuwa neno hilo maarufu lilianzia hapo?
 
Kama kitu hujui uliza upewe ilmu. Unachekesha hata walionuna.

Jee, huamini kuwa Malkia wa Uingereza ndiyo mkuu wa Kanisa la Uingereza, Anglikana? Au huamini kuwa Uingereza dini zipo nyingi na rasmi.
 
Kwa maadili mema tu, katika vitu ambavyo hupaswi kumuuliza mtu, ni miaka yake mingapi?

Kingine ni kumuuliza mtu kama "una watoto"?

Vipo vingi lakini kwa leo hivyo vitakutosha kuvifikiri.

*Wale wote watakaoona nimewapa link ya kuja post hii waelewe kuwa swali lao liko nje ya maadili.
Mimi nataka kujua kama una watoto pia, lakini si kwa ubaya, ni kwa sababu napenda sana watoto. Je, una watoto? Je, umeolewa?
 
Tunataka kama ile ya Mbowe, ilikuwa division ngapi vile?

Halafu nnaomba kukuuliza, neno kudisco na division ya Mbowe zina uhusiano wowote? Kuna uwezekano kuwa neno hilo maarufu lilianzia hapo?
Mpaka hapa sina mashaka kuwa Mh. Mbowe hajui kiasi gani unateseka juu yake. Labda kwa kukusaidia, kwetu sisi Wagalatia, MKE mmoja, MUME mmoja. Siioni nafasi yako ya kuwa mke wa pili Billicanas. Njoo kwangu, mi napenda sana mabimkubwa
 
Mpaka hapa sina mashaka kwa kuwa Mh. Mbowe hajui kiasi gani unateseka juu yake. Labda kwa kukusaidia, kwetu sisi Wagalatia, MKE mmoja, MUME mmoja. Siioni nafasi yako ya kuwa mke wa pili Billicanas. Njoo kwangu, mi napenda sana mabimkubwa

Na michepuko mingapi? Umesahau yule anaepelekwa Dubai?

Umenikumbusha mdahalo wa Ahmed Deedat na Jimmy Swaggart, Swaggart alitamba hivyo hivyo kuhusu mke mmoja, Mungu si Athumani haukupita muda huyo "mwinjilisti" maarufu duniani akabambwa na malaya akizini. Akaulizwa, jee mmoja hakukutosha?

Hebu sikiliza kidogo.
 
Back
Top Bottom