Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

FaizaFoxy Hapa nchini pametokea kudorora sana kwa elimu yetu kuanzia ngazi ya msingi hadi elimu ya juu. Leo hii kijana anayehitimu elimu ya darasa la saba hawezi hata kuandika barua ya kirafiki vijana wanaomaliza elimu ya juu wanaonekana hawana ujuzi ukilinganisha na vyeti vyao. Hili limekuja zaidi miaka kuanzia ya 2000 na kupanda juu
1. Unakubaliana na hili?
2. Nini sababu ya hili
3. Nini mapendekezo yako kunusuru hali hii?

Asante sana.

1) Nakubaliana kuwa kiwango cha elimu kimeshuka sana lakini huo mwaka 2000 sikubaliani nao, mimi naona elimu iliporomoka kwa kasi kuanzia mwaka 1967 tulipotangaza azimio la Arusha.

2) Tulipoanza siasa za ujamaa tukabadili mitaala yote tuliyoirithi kwa Muingereza na kuanza kufundisha ujamaa na kuupachika katika kila somo na ilhali falsafa ya ujamaa wenyewe uliotakiwa akiijuwa mtu mmoja tu.

3) Tu adopt mifumo ya elimu iliyofanikiwa duniani. Zipo nchi nyingi zilizofanikiwa ki elimu, ni vyema tukaisoma kwa makini mifumo yao na kui adopt hapa kwetu. Mifumo yetu yote kuanzia 1967 hadi hii leo, imefeli.
 
Jee, unajuwa katika vitabu vyote vya dini ni Qur'an pekee iliyosema oeni "mmoja tu"?
Mambo mengi mimi nilikuwa siyajui, shukran FaizaFoxy. Hebu naomba fafanua kidogo hapo juu, kumbe siyo wawili, watatu au wanne!
 
eti wewe ndio mwantumu mahiza?
swali la nyongeza
kwanni huna mapenzi na serikali hii kama ile iliyopita? wakati wewe ni ccm damu

Hapana, mimi siyo Mwantumu.

Serikali hii na iliyopita hazina tofauti, zote zinaundwa na CCM.
 
Naomba unijuzu ktk swala ya msafiri, ww umetoka ugenini unaelekea nyumbani ( maksz yko) ukanuia kukusanya mfano swala ya dhuhur na laswiri ,ukafka ktk wakati wa swala ya al- asri je hzi swala unaziswalije?

Kidogo sikukuelewa, jee huo wakati wa Asr umekukuta safarini au umeshafika kwako?
 
Jee, unajuwa katika vitabu vyote vya dini ni Qur'an pekee iliyosema oeni "mmoja tu"?
Haaaa sasa hii kamba sasa mbona huku mitaani jamaa wanajitapa hivyo mtu wake wanne na akiwa na hela za kubadilishia mboga basi ni balaa wanajificha na mwavuli wa dini au kwa vile imeandikwa kiarabu hawaelewi?
 
Wadhu - hr umekukuta njian wa al- asr umekukuta nyumbn
 
Nioneshe wapi biblia imesema hivyo.

Halafu unaonesha link niliyokuweka hujaisoma. Jisomee:

Qur'an 4:
3. “Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu...” An-Nisaa: 3
Aaaaa Bi mkubwaa we huoni hapo kwenye moja mbili tatu hahahaa nshakusoma mwanamke una wivu wewe balaa si ajabu babu alishindwa kukuongezea mke mwenza kutokana na mikwara uliyompa uwongo[emoji12]
 
1) Nakubaliana kuwa kiwango cha elimu kimeshuka sana lakini huo mwaka 2000 sikubaliani nao, mimi naona elimu iliporomoka kwa kasi kuanzia mwaka 1967 tulipotangaza azimio la Arusha.

2) Tulipoanza siasa za ujamaa tukabadili mitaala yote tuliyoirithi kwa Muingereza na kuanza kufundisha ujamaa na kuupachika katika kila somo na ilhali falsafa ya ujamaa wenyewe uliotakiwa akiijuwa mtu mmoja tu.

3) Tu adopt mifumo ya elimu iliyofanikiwa duniani. Zipo nchi nyingi zilizofanikiwa ki elimu, ni vyema tukaisoma kwa makini mifumo yao na kui adopt hapa kwetu. Mifumo yetu yote kuanzia 1967 hadi hii leo, imefeli.
Kwahiyo unakubaliana na hawa makafir wa Uingereza mfumo wao wa elimu ni safi? Na wakupigiwa mfano?
 
Wadhu - hr umekukuta njian wa al- asr umekukuta nyumbn

Kama dhuhr umeswali kasr pamoja na asr basi nyumbani ilipokukuta asr huisali tena. Na kama ilikuwa dhuhr hujaswali basi unaswali kwanza Asr bila ku kasr halafu dhuhr unaswali kadhaa na si kasr tena. Wa Allahu yaalam.

*Na Waislam wengine wanaweza changia katika hili.
 
Kwahiyo unakubaliana na hawa makafir wa Uingereza mfumo wao wa elimu ni safi? Na wakupigiwa mfano?
Si Waingereza wote ni makafir na elimu haina mipaka labda iwe inakufundisha kuwa binadam anaekula kama wewe na kwenda haja kama wewe kuwa ni Mungu, hiyo ndiyo elimu ya ukafiri.
 
Back
Top Bottom