Dini rasmi ya Waingereza ni Anglican.Si Waingereza wote ni makafir na elimu haina mipaka labda iwe inakufundisha kuwa binadam anaekula kama wewe na kwenda haja kama wewe kuwa ni Mungu, hiyo ndiyo elimu ya ukafiri.
Dini rasmi ya Waingereza ni Anglican.
faiza Foxy umeishi abroad kwa muda mrefu na kujua culture zao, je huu utaratibu wanaoupigia debe dunia nzima wa ndoa ya jinsia moja ni upungufu wa wanawake?? Na kama wapo wa kutosha kitu gani kinawapelekea kuhimiza ndoa ya jinsia moja?
Na kama wapo wengi mpaka wengine wanakosa wa kuwastir kwanini wasiige kwa waislam mwanaume kuoa wake mpaka wanne ili kupunguza uasherati mitaani? ??
Wewe haujafika Uarabuni watoto wa kiume wanachungwa kuliko wa kike, wanaolewa kimyakimya.faiza Foxy umeishi abroad kwa muda mrefu na kujua culture zao, je huu utaratibu wanaoupigia debe dunia nzima wa ndoa ya jinsia moja ni upungufu wa wanawake?? Na kama wapo wa kutosha kitu gani kinawapelekea kuhimiza ndoa ya jinsia moja?
Na kama wapo wengi mpaka wengine wanakosa wa kuwastir kwanini wasiige kwa waislam mwanaume kuoa wake mpaka wanne ili kupunguza uasherati mitaani? ??
Kama kitu hujui uliza upewe ilmu. Unachekesha hata walionuna.Hauko sahihi.
Malkia wa Uingereza ni mkuu wa Kanisa la Uingereza, Anglikana.
Waingereza wana dini tofauti na wapo wasio na dini na wote ni rasmi.
Jisomee: Religion in England - Wikipedia
Inahitaji ujasiri wa ziada kumuweka ndani mwanaume mwenzio kama mke.Wewe haujafika Uarabuni watoto wa kiume wanachungwa kuliko wa kike, wanaolewa kimyakimya.
Wazungu si wanafiki kama waarabu ndio maana wanataka haki ya kupakuliwa.
Nenda maeneo yote waliokaa waarabu uone ushoga ulivyo.
Hata hapa Tanzania huwezi kusikia aunty Thomas bali aunty Muddy and likes.
Huwezi kukuta ushoga Tarime lakini pita ukanda wa pwani ambako ni muslim and Arab base upate majibu.
Wewe haujafika Uarabuni watoto wa kiume wanachungwa kuliko wa kike, wanaolewa kimyakimya.
Wazungu si wanafiki kama waarabu ndio maana wanataka haki ya kupakuliwa.
Nenda maeneo yote waliokaa waarabu uone ushoga ulivyo.
Hata hapa Tanzania huwezi kusikia aunty Thomas bali aunty Muddy and likes.
Huwezi kukuta ushoga Tarime lakini pita ukanda wa pwani ambako ni muslim and Arab base upate majibu.
Bibi nimekuelewa sana katika clip hii. Huyu jamaa ni mwanaume na hana Unafiki kabisa.Nimewasikiliza sana tu na nnaendelea kuwasikiliza, mengine nnakubaliana nao na mengine sikubaliani nao. Simply ni different schools of thought tu.
Kama unawasikiliza hao, msikilize na Blagrove, ingawa si Muislam lakini to me he makes a lot of sense nikimsikiliza:
elim elim elim mnakimbia umande afu mnataka div one? endeleen kusubiri meli airportUnaonaje kwa mfano Tanzania kama nchi ingerasimisha michezo kama Judo, Karate na basketball ikawepo mashuleni na ktk mashindano ya kimataifa kama Olympic Watanzania wenzako wanaenda kuiwakilisha nchi na maybe wakarejea na [emoji471][emoji471][emoji146][emoji146]. Huoni kuwa in the long run ingekuwa ni chanzo kingine cha ajira na ingetupunguzia tatizo kwa wale vijana ambao wana Degree na hawana wa kuwaajiri?
hahaha mbona unabdl hoja akhera ipi ya wanawake 70?Regardless, bado naomba div yako ya 4 na 6 if you don't mind. Kushika mkia duniani is nothing kama Akhera yako ipo vyema.
habar Dada Faiza F. nahsi uko powa, Nilikuwa naomba tofauti kati ya "Scholarship" na "Sponsorship" , na ntaweza vipi kupata sponsor ya kwenda kusoma abroad huwa watu wanapata vipi?
Dhanna ya kujiripua ukitaka kuijuwa chanzo chake tafadhali wasome akina George Habash na Carlos Ilyich Ramirez Sanchez.Bibi nimekuelewa sana katika clip hii. Huyu jamaa ni mwanaume na hana Unafiki kabisa.
Daah, sio bure baadhi ya waislam wanafanya kama wanavyofanyaga yaani kujitoa mhanga na kujilipua cause wapo under American colonization politically, spiritually and economically.
Tunataka kama ile ya Mbowe, ilikuwa division ngapi vile?elim elim elim mnakimbia umande afu mnataka div one? endeleen kusubiri meli airport
Mimi nataka kujua kama una watoto pia, lakini si kwa ubaya, ni kwa sababu napenda sana watoto. Je, una watoto? Je, umeolewa?Kwa maadili mema tu, katika vitu ambavyo hupaswi kumuuliza mtu, ni miaka yake mingapi?
Kingine ni kumuuliza mtu kama "una watoto"?
Vipo vingi lakini kwa leo hivyo vitakutosha kuvifikiri.
*Wale wote watakaoona nimewapa link ya kuja post hii waelewe kuwa swali lao liko nje ya maadili.
Mpaka hapa sina mashaka kuwa Mh. Mbowe hajui kiasi gani unateseka juu yake. Labda kwa kukusaidia, kwetu sisi Wagalatia, MKE mmoja, MUME mmoja. Siioni nafasi yako ya kuwa mke wa pili Billicanas. Njoo kwangu, mi napenda sana mabimkubwaTunataka kama ile ya Mbowe, ilikuwa division ngapi vile?
Halafu nnaomba kukuuliza, neno kudisco na division ya Mbowe zina uhusiano wowote? Kuna uwezekano kuwa neno hilo maarufu lilianzia hapo?
Mpaka hapa sina mashaka kwa kuwa Mh. Mbowe hajui kiasi gani unateseka juu yake. Labda kwa kukusaidia, kwetu sisi Wagalatia, MKE mmoja, MUME mmoja. Siioni nafasi yako ya kuwa mke wa pili Billicanas. Njoo kwangu, mi napenda sana mabimkubwa