Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

General Knowledge.

Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.

Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.

Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.

Update 1: Tafadhalini tuulize maswali kiheshima . Heshima ni kitu cha bure na hii JF yetu pendwa inasomwa na wengi, tujiheshimu.
Dah....kati ya Diamond na Ali Kiba nani mkaree?
 
Wewe haujafika Uarabuni watoto wa kiume wanachungwa kuliko wa kike, wanaolewa kimyakimya.

Wazungu si wanafiki kama waarabu ndio maana wanataka haki ya kupakuliwa.

Nenda maeneo yote waliokaa waarabu uone ushoga ulivyo.

Hata hapa Tanzania huwezi kusikia aunty Thomas bali aunty Muddy and likes.

Huwezi kukuta ushoga Tarime lakini pita ukanda wa pwani ambako ni muslim and Arab base upate majibu.

Mkuu,

Unamfahamu kiongozi wa harakati za watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja nchini Tanzania? Unaifahamu taasisi ya LGBT Voice Tanzania na kiongozi wake?

Tuchunge kauli zetu suala hili halina dini mkuu,

kaka ...
 
Hii ndiyo namna ya kujipambanua jinsi gani mtu amepevuka kiumri na kifikra, pamoja na kutofautiana na Faiza kwa mambo fulani fulani, lakini namkubali kwa kuonyesha ukomavu wa kiumri na kifikra.
Kuzivimilia hoja na maswali ya kuudhi na mengine ya matusi si kazi ndogo.

Hongera dada Faiza.
Kiukwel anastahil pongezi kwa ukomavu wake.Mana maswal mengine japo sijaulizwa mimi lakn nataman nitukane kwajinsi yanavokera.Lakn ye anajib fresh tu
 
Acha ubwege

So we unaishi torati Ya Moses

Yaani mtu uache kula nguruwe kwakuwa ni najisi kwa waislamu

Huo utakuwa wehu

Kila kimtokae mtu ndo najisi na si kiendacho kinywani

Acha kupotosha

Don't compare kuran na bible
Mapovu kibao...hili hapo moja wapo!!
 
Moja ya post za maana kabisa kuwahi kusoma jf...da faiza Allah akuzidishie na ilmu uliyonayo uitumie kwa njia hii..hakika nimejifunza mengi sana kupitia majibu yako ya maswali mbalimbali uliyoulizwa.
Please note: Iblis shaytaan who disobeyed Allah is a Jinn. There is further information below after the true story. Please make sure you read this article thoroughly to understand the Jinn and their existence among human beings on Earth.

Jinns truly exist which you will find proof from the Holy Quran. There is a full chapter in the Holy Quran on Jinns. We all have Jinns attached to us all!

Hadith - Sahih Muslim 6757, Narrated Abdullah ibn Mas'ud, similar narration 6759 by 'Aisha, r.a.
Allah's Apostle said: There is none amongst you with whom is not an attached from amongst the jinn (devil). They (the Companions) said: Allah's Apostle with you too? Thereupon he said: Yes, but Allah helps me against him and so I am safe from his hand and he does not command me but for good.

Do Jinns Exist?

'Do Jinns exist' I hear you ask? Yes, Jinns are real. They are living with us, alongside us, seeing everything we do. They can see us but we cannot see them unless they take the form of a human being, a black dog, or other forms.

Have I seen a Jinn? No, I haven't and I expect and hope not to see one in my lifetime!
 
Acha udini na ubaguzi dhambi Ya udini ni mbaya
Ni mbaya sana kumbe unajua hilo , kama vile nyie mnavofanya kwa kuua Binadam wenzie kisa ati mnafia dini , huo ni Uhuni.
Acha kitetea huyu mdini mwezio anaewakandiaga Wakristo afu anajifanya ati kabobea Cooperative Religions eg Islamic and Christianity.
Hana lolote na wewe choko huna lolote.
 
Ni mbaya sana kumbe unajua hilo , kama vile nyie mnavofanya kwa kuua Binadam wenzie kisa ati mnafia dini , huo ni Uhuni.
Acha kitetea huyu mdini mwezio anaewakandiaga Wakristo afu anajifanya ati kabobea Cooperative Religions eg Islamic and Christianity.
Hana lolote na wewe choko huna lolote.
Choko baba yako msenge wewe ngurue pori wewe
 
Ni mbaya sana kumbe unajua hilo , kama vile nyie mnavofanya kwa kuua Binadam wenzie kisa ati mnafia dini , huo ni Uhuni.
Acha kitetea huyu mdini mwezio anaewakandiaga Wakristo afu anajifanya ati kabobea Cooperative Religions eg Islamic and Christianity.
Hana lolote na wewe choko huna lolote.
Nahisi 0713 inakuwasha kama vp sema tu nikupumulie kisogoni bwabwa wewe
 
Ni mbaya sana kumbe unajua hilo , kama vile nyie mnavofanya kwa kuua Binadam wenzie kisa ati mnafia dini , huo ni Uhuni.
Acha kitetea huyu mdini mwezio anaewakandiaga Wakristo afu anajifanya ati kabobea Cooperative Religions eg Islamic and Christianity.
Hana lolote na wewe choko huna lolote.
Hapana, si kweli.

Unaandika huku una hasira sana. Tuliza ball.

Ukiwa na hasira tutajadiliana vipi?

Nnaomba maana ya kurusedi.

Nnahisi kuna mtu/watu wamekujaza ujinga kuhusu "kufia dini"

Nnakuuliza swali nnaomba lijibu kiukweli, hivi kuna Muislam yoyote una matatizo nae hapa Tanzania, kama jibu ni ndiyo, fafanuwa.

Halafu nnaomba pitia uzi huu: Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir
 
Umeolewa?
Kwa maadili mema tu, katika vitu ambavyo hupaswi kumuuliza mtu, ni miaka yake mingapi?

Kingine ni kumuuliza mtu kama "una watoto"?

Vipo vingi lakini kwa leo hivyo vitakutosha kuvifikiri.

*Wale wote watakaoona nimewapa link ya kuja post hii waelewe kuwa swali lao liko nje ya maadili.
 
haaa haa,kumbe sio kiongozi mzuri kwasababu 'waislam hawafaulu!!???!!!

Je,waislam wakifaulu atakuwa kiongozi mzuri?

[HASHTAG]#aisee[/HASHTAG]
Unatia maneno yako kinywani mwangu, huo unaitwa ufataani.

Wewe ni me au ke?
 
Back
Top Bottom