Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa


Naam, tuanze kwanza kuona kwa uchache historia ya karibuni ya ukoloni wa nchi hizo, tukianzia na Rwanda:

Rwanda

Ruanda- Urundi
Germany East Africa (Deutsch-Ostafrika) 1887-1914

Kumbukumbu za kihistoria zinaanza na utawala wa kifalme uliojulikana kama Ufalme wa Mwami (aka Mfalme) Rwabugiri .

Mzungu wa kwanza kufika Rwanda alikuwa ni Mjerumani, Count Von Gotzen ambae alitembelea medani ya Mwami Rwabugiri mnamo mwaka 1894, baada ya mwaka mfalme akafariki na kukaanza mvutano wa nani awe mrithi wa ufalme huo. Wakati Rwanda bado wapo kwenye kizazaa cha kushindania nani arithi, Wajerumani wakitokea Tanganyika, wakaingia nchini humo mwaka 1897 na kutangaza kuwa sasa huo ni utawala wa Kaiser wa Ujerumani.

Wakati huohuo wakatangaza (wakaamua) kuwa utawala wa Burundi nao ni wa Kaiser na ndipo pakajulikana kama Ruanda Urundi na kuwa Germany East Africa (Deutsch-Ostafrika), Rwanda, Burundi na Tanganyika.

Koloni la Ubelgiji (Belgium)

...Itaendelea
 


Wa mwisho kila mwaka? tafadhali sana, kuwa mkweli wa nafsi yako, au dini yako inakufundisha kudanganya? (sidhani). Hebu nipe majina ya walioshika namba moja kitaifa mwaka jana, primary, O level na A level.
 
Wa mwisho kila mwaka? tafadhali sana, kuwa mkweli wa nafsi yako, au dini yako inakufundishi kudanganya? (sidhani). Hebu nipe majina ya walioshika namba moja kitaifa mwaka jana, primary, O level na A level.

Wewe umetahiriwa?
 
WE BIBI KIZEE WA LUMUMBA HUYO MBOWE NDIO MDUDU GANI? MIMI NA DEAL NA WATU WANAFIKI KAMA NYIE VIZEE VYA LUMUMBA KWASABABU NDIO MMEZIDI UNAFIKI ....@plasmodium
Huu uzi una watoka povu wengi.Huyu hapa mtoka povu mwengine
 
Mm ni msafr naweza kuzikusanya swala zot ktk muda 1?, mfano zot nikaziswali ktk muda wa dhuhr!
 
Kuna msichn mzr ambaye nimempend na kan pend, tatizo lake nkimtumia sms hajibu na akijbu hardish kw wakat.
Nifanyaj wadau
 
Naam, na mimi natazama hayo hayo kwa mwanamme atakae kuja kuoana na wa kwangu.
Madam umesema una degree ya kwanza katika maswala ya telecomunications na mara nyingi ulikua unamtetea sana JK na ccm kwa ujumla (japo sikuon ukiwa una mtetea makufuli)!!

Swali ni je kwa elimu yako ya canada je ulishiriki au ulitumika katika kuwahujumu chadema katika uchaguzi mkuu mwaka jana???
 

Hapana.

Chadema hawakuhujumiwa, walijihujumu wenyewe hususan pale mgombea wao alipoongea KKKT.

Si unakumbuka aliongea nini?
 
Hapana.

Chadema hawakuhujumiwa, walijihujumu wenyewe hususan pale mgombea wao alipoongea KKKT.

Si unakumbuka aliongea nini?
Si kweli. Je unakumbuka uchakachuzi wa kura? Je na wewe ulikuepo kwenye ku dukua matokeo?

Swali lingine...

Kuna tetesi zinasema wewe ulikua unapewa buku saba ili kumtetea kikwete humu je ni kweli???
 
Si kweli. Je unakumbuka uchakachuzi wa kura? Je na wewe ulikuepo kwenye ku dukua matokeo?

Swali lingine...

Kuna tetesi zinasema wewe ulikua unapewa buku saba ili kumtetea kikwete humu je ni kweli???

 
Nnakushauri ukiandika jambo la kihistoria tena kubwa kama la "impeachment" ujitulize na ufanye utafiti japo kiduchu kuliko kukurupuka na kuleta vitu vya kudhani.

Faidika na darsa la FaizaFoxy wa JF.

Rais Richard Nixon wa US hajawahi kuwa "impeached". Marais wa US waliowahi kuwa "impeached" na baraza la wawakilishi la US (House of Representatives) ni Rais Andrew Johnson na Rais Bill Clinton na wote wakaonekana na seneti (Senate) kuwa hawana hatia na kuendelea na kazi zao. Richard Nixon aliachia madaraka (resigned) kabla hajawa "impeached".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…