Maswali ya kujibu unachagua [emoji102] eeh[emoji15]Nnakushauri ukiandika jambo la kihistoria tena kubwa kama la "impeachment" ujitulize na ufanye utafiti japo kiduchu kuliko kukurupuka na kuleta vitu vya kudhani.
Faidika na darsa la FaizaFoxy wa JF.
Rais Richard Nixon wa US hajawahi kuwa "impeached". Marais wa US waliowahi kuwa "impeached" na baraza la wawakilishi la US (House of Representatives) ni Rais Andrew Johnson na Rais Bill Clinton na wote wakaonekana na seneti (Senate) kuwa hawana hatia na kuendelea na kazi zao. Richard Nixon aliachia madaraka (resigned) kabla hajawa "impeached".
Ni kweli Sembe 50kg ninanunua kwa tshs 58000/= aina ya msouth Sembe, imekuwa ni shida pamoja na mafuta ya kula nayo yapojuu sanaHALAFU MBONA KUNA MASWALI HUJAJIBU UNAKIMBILIA THREAD NYINGINE? HII KAMA SIO KIBRI NI NINI?
Miaka mingapi na sababu za kutawala muda mrefu?Franklin Delano Roosevert,alitawala zaidi
Ni kweli Sembe 50kg ninanunua kwa tshs 58000/= aina ya msouth Sembe, imekuwa ni shida pamoja na mafuta ya kula nayo yapojuu sana
Naiyomba serikali liingilie swala kam hili[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
FaizaFoxy nikupongeze kujitoa kuelimisha watu kwa na kutoa maarifa kwa umma.
Pili, humu ndani kuna watu wa kila aina, namaanisha kila aina, vumilia na hiyo ni mojawapo ya sifa za ukomavu.
Nna maswali mawili tu,
1. Tukirejea uchaguzi wa marekani uliomalizika kwa ushindi wa Trump kuibuka kidedea, Hilary alipatikana na kashfa ya matumizi mabaya ya email account yake, amejitetea na FBI baadae wakasema kwamba hazikuwa na madhara yeyote.
Kwa mtazamo wangu, kama sheria na taratibu zinaelekeza wazi kwamba mawasiliano yote yafanyike kupitia email ya kiofisi, na kama alikiuka, hilo halikua tayari doa kubwa kumfanya ajiengue kwenye kimyang'anyiro cha kugombeaji urais?
2. Unashauri nini kwa wajasiriamali wenye nia ya kufanya shughuli za kujiongezea kipato na kuboresha maisha yao lakini wanakwama kwa kukosa maarifa ya namna ya kuendesha shughuli zao kitaalamu ili kuongeza uzalishaji na tija? (Hapa nalenga fursa za masoko ya ndani na nje, ubora wa bidhaa, changamoto na ufanisi kwenye uzalishaji, ubora na uimara wa vikundi/ushirika/umoja wa hawa wajasiriamali unaweza kutumikaje vizuri kuweza kuaminika na taasisi za fedha wapate mitaji ya shughuli zao?
Natanguliza shukrani za dhati
Naomba nikuulize hivi elimu yetu ina fanana na elimu ya dunia ya kwanzaMliouliza maswali ambayo sijayajibu kabisa au sijayajibu kikamilifu msione vibaya, ni muda tu.
Na hiyo pia ni fursa kwa wachangiajai wengine kuweza kuyajibu kwa faida ya wengi.
Naomba nikuulize hivi elimu yetu ina fanana na elimu ya dunia ya kwanza
Nimepata kusikia kuwa hawa Watabiri wa Jadi/Wanajimu(The late Shekh Yahya, TB Joshua, etc) wanatumia Nyota/Majinni kufanikisha tabiri zao, je ni kweli? Unalizungumziaje hilo?
2. Je, hawa Watabiri wa hali ya hewa ie, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania huwa wanatumia mechanism gani kufanikisha tabiri zao? Je, kwa mujibu wa Imani ya Uislamu ni halali kufuata tabiri hizo?
3. Je, ni kwanini hadi ss Wanasayansi wameshindwa kupata namna ya kutabiri ujio wa Tetemeko la Ardhi pindi linapotaka kutokea?
1. Je, Tezi dume ni nini?
2. Nini tofauti ya Tezi dume na Saratani ya Tezi dume?
3. Nini kinasababisha huu ugonjwa wa Tezi dume?
4. Ni zipi dalili za ugonjwa huu? Ni watu gani wapo katika hatari za kupata maambukizi/ugonjwa huu wa Tezi dume?
5. Ni kwanini miaka hii ya karibuni ugonjwa huu ndo umekuwa maarufu sana? Je, ni sample gan(urine, blood, tissue etc) huchukuliwa ili kupima kama Mtu anamaambukizi ya Tezi dume? Na huchukuliwaje na wap?
6. Ni tahadhari zp zichukuliwe ili kujikinga/kupunguza upatikanaji wa maambukizi hayo?
Kwanza nitangulize shukrani kwa uzi wako, su wengi wanapenda kushare life experience na wengine. Pia nakusalimu shikamoo, (kulingana na maelezo yako ya elimu umenidi sana ki umri) Asante,kwa huu mboresho. Lakini tatizo ulililea tangu mwanzo maswali ktk utangulizi na ktk kujibu maswali. Maswali yenye kuchonganisha imani imani ni vizuri usiyajibu , jibu yale ya kujenga itamfanya hata muulizaji wa hayo maswali kutouliza kichonganishi.
SWALI.
Elimu yako ya shule ya msingi na secondary uliipatia wapi,shule gani na vipi? Na je shahada yako iligharamiwa na taasisi binafsi, serikali au familia?
Je uraia Wako na mumeo mpaka sasa upoje?
Kuna watoto wako waliosoma Tanzania, taasisi gani za elimu na wana elimu gani?
Kwa kuwa wewe ni pro Swahili je unahisi wakati umefika sasa Wa kutumia lugha hii adhimu ktk kufundishia tangu elimu awali hadi vyuo vikuu? na kwanini?
Je uliwai kushiriki ktk project yoyote ya kimataifa au ndani ya Tz iliyohusisha taaluma yako ? Au kutoa publication zozote ? Au project yako chuoni ilihusisha nini hasa?
Asante nitarudi.