Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Nnakushauri ukiandika jambo la kihistoria tena kubwa kama la "impeachment" ujitulize na ufanye utafiti japo kiduchu kuliko kukurupuka na kuleta vitu vya kudhani.

Faidika na darsa la FaizaFoxy wa JF.

Rais Richard Nixon wa US hajawahi kuwa "impeached". Marais wa US waliowahi kuwa "impeached" na baraza la wawakilishi la US (House of Representatives) ni Rais Andrew Johnson na Rais Bill Clinton na wote wakaonekana na seneti (Senate) kuwa hawana hatia na kuendelea na kazi zao. Richard Nixon aliachia madaraka (resigned) kabla hajawa "impeached".
Maswali ya kujibu unachagua [emoji102] eeh[emoji15]
 
HALAFU MBONA KUNA MASWALI HUJAJIBU UNAKIMBILIA THREAD NYINGINE? HII KAMA SIO KIBRI NI NINI?
30238d197f3e2e9087f08c63b733b3df.jpg
Ni kweli Sembe 50kg ninanunua kwa tshs 58000/= aina ya msouth Sembe, imekuwa ni shida pamoja na mafuta ya kula nayo yapojuu sana
Naiyomba serikali liingilie swala kam hili[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
FaizaFoxy nikupongeze kujitoa kuelimisha watu kwa na kutoa maarifa kwa umma.
Pili, humu ndani kuna watu wa kila aina, namaanisha kila aina, vumilia na hiyo ni mojawapo ya sifa za ukomavu.

Nna maswali mawili tu,

1. Tukirejea uchaguzi wa marekani uliomalizika kwa ushindi wa Trump kuibuka kidedea, Hilary alipatikana na kashfa ya matumizi mabaya ya email account yake, amejitetea na FBI baadae wakasema kwamba hazikuwa na madhara yeyote.
Kwa mtazamo wangu, kama sheria na taratibu zinaelekeza wazi kwamba mawasiliano yote yafanyike kupitia email ya kiofisi, na kama alikiuka, hilo halikua tayari doa kubwa kumfanya ajiengue kwenye kimyang'anyiro cha kugombeaji urais?

2. Unashauri nini kwa wajasiriamali wenye nia ya kufanya shughuli za kujiongezea kipato na kuboresha maisha yao lakini wanakwama kwa kukosa maarifa ya namna ya kuendesha shughuli zao kitaalamu ili kuongeza uzalishaji na tija? (Hapa nalenga fursa za masoko ya ndani na nje, ubora wa bidhaa, changamoto na ufanisi kwenye uzalishaji, ubora na uimara wa vikundi/ushirika/umoja wa hawa wajasiriamali unaweza kutumikaje vizuri kuweza kuaminika na taasisi za fedha wapate mitaji ya shughuli zao?

Natanguliza shukrani za dhati
 
Natumai Serikali imekusikia na bei itashuka baada ya muda si mrefu.

Unaonaje na wewe ukasaidia kuishusha bei kwa kupanda mahindi kwa wingi kwa njia za kisasa?
 
FaizaFoxy nikupongeze kujitoa kuelimisha watu kwa na kutoa maarifa kwa umma.
Pili, humu ndani kuna watu wa kila aina, namaanisha kila aina, vumilia na hiyo ni mojawapo ya sifa za ukomavu.

Nna maswali mawili tu,

1. Tukirejea uchaguzi wa marekani uliomalizika kwa ushindi wa Trump kuibuka kidedea, Hilary alipatikana na kashfa ya matumizi mabaya ya email account yake, amejitetea na FBI baadae wakasema kwamba hazikuwa na madhara yeyote.
Kwa mtazamo wangu, kama sheria na taratibu zinaelekeza wazi kwamba mawasiliano yote yafanyike kupitia email ya kiofisi, na kama alikiuka, hilo halikua tayari doa kubwa kumfanya ajiengue kwenye kimyang'anyiro cha kugombeaji urais?

2. Unashauri nini kwa wajasiriamali wenye nia ya kufanya shughuli za kujiongezea kipato na kuboresha maisha yao lakini wanakwama kwa kukosa maarifa ya namna ya kuendesha shughuli zao kitaalamu ili kuongeza uzalishaji na tija? (Hapa nalenga fursa za masoko ya ndani na nje, ubora wa bidhaa, changamoto na ufanisi kwenye uzalishaji, ubora na uimara wa vikundi/ushirika/umoja wa hawa wajasiriamali unaweza kutumikaje vizuri kuweza kuaminika na taasisi za fedha wapate mitaji ya shughuli zao?

Natanguliza shukrani za dhati

1. Halikuwa doa kubwa ila lilikuzwa sana na media, si unajuwa kampeni.

2. Hili swali zuri sana.

Kwanza kabisa hii ni fursa kubwa sana ya biashara kwa wale wenye uzoefu kwenye ujasiriamali.

- Ni fursa ya kufungua "On hand training" ya ujasiriamali kwa wafanya biashara binafsi, nikimaanisha si kungoja vyuo na au mikakati iliyoanzishwa na serikali au NGO's tu.

Kuna fursa kubwa hapo kwa wafanya biashara wakubwa na wajasiriamali wadogo kwa pamoja. Mfano mzuri, hata makampuni binafsi yanayoendelea vizuri na kwa muda mrefu ni yale yenye mafunzo ya mara kwa mara ya kukabiliana na ushindani na kujifunza mbinu mpya kila kukicha. Ujasiriamali ni hivyo hivyo.

Haya mambo ya ushirika wa kupangiwa, siamini kama yana tija sana. Ushirika nnaouona mimi una faida ni pale wajasiriamali watapounga mitaji yao na kuwa washirika, wasiozidi 20 kwa biashara waitakayo na iendeshwe ki kanuni na sheria zote za makampuni.

Serikali inatakaiwa irahisishe sana namna ya kuanzisha biashara ndogo ndogo na kubwa kubwa Tanzania, kwa sasa sheria na milolongo ni mirefu sana. Kiasi kwamba amma ni wachache sana wanaofanya biashara kwa kufata sheria rasmi na hiyo kupelekea wengi kukosa mikopo.

Serikali ianzishe mikopo ya 0 rate kwa wajasiriamali wote wanaoanza na mitaji midogo hadi itapofikia kiwango cha kuwa sasa ni wakubwa.

Na ni vyema sana serikali ikaanzisha shule za ujasiriamali kuanzia za awali. Kwa sasa bado tunawafundisha (ujinga) watoto wetu kwa kuwa watumwa maisha (waajiriwa) hiyo ni system ya kikoloni ya kupata kuvungu kazi.

Ni vyema sana kwenye hili tukazisoma na kuzitazama na kuzifanyia kazi mbinu wanazotumia Wayahudi na Wahindi.

Swali lako hili la pili linahitaji mjadala mrefu na wachangiaji wengine nnawaomba walipitie tupate maoni tofauti tofauti kwa faida ya wengi.

Ahsante.
 
Mliouliza maswali ambayo sijayajibu kabisa au sijayajibu kikamilifu msione vibaya, ni muda tu.

Na hiyo pia ni fursa kwa wachangiajai wengine kuweza kuyajibu kwa faida ya wengi.
 
Mliouliza maswali ambayo sijayajibu kabisa au sijayajibu kikamilifu msione vibaya, ni muda tu.

Na hiyo pia ni fursa kwa wachangiajai wengine kuweza kuyajibu kwa faida ya wengi.
Naomba nikuulize hivi elimu yetu ina fanana na elimu ya dunia ya kwanza
 
Naomba nikuulize hivi elimu yetu ina fanana na elimu ya dunia ya kwanza

Inafanana kwa kuwa ni elimu lakini haifanani kwa mfumo na mbinu za ufundishaji na nini kinachofundishwa na vipi kinafundishwa.

Isitoshe, wenzetu wanaboresha elimu kila kukicha sisi inaonesha tunazidi kurudi nyuma.
 
Nimepata kusikia kuwa hawa Watabiri wa Jadi/Wanajimu(The late Shekh Yahya, TB Joshua, etc) wanatumia Nyota/Majinni kufanikisha tabiri zao, je ni kweli? Unalizungumziaje hilo?
2. Je, hawa Watabiri wa hali ya hewa ie, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania huwa wanatumia mechanism gani kufanikisha tabiri zao? Je, kwa mujibu wa Imani ya Uislamu ni halali kufuata tabiri hizo?
3. Je, ni kwanini hadi ss Wanasayansi wameshindwa kupata namna ya kutabiri ujio wa Tetemeko la Ardhi pindi linapotaka kutokea?

1) Ni kweli, na umesahau wanatumia na uongo na utapeli pia. Yote ni haramu.

2) Kwa mujibu wa imani ya Kiislam utabiri wa hali ya hewa si kama utabiri huo wa namba moja. Huu ni utabiri unaotumia "physical evidence and experience".

Soma zaidi kuhusu hilo: Does weather forecasting come under the heading of astrology or claiming to know the unseen? - islamqa.info

3) Katika hilo ipo sayansi inatumika hivi sasa na karibia sehemu zote duniani ambazo kuna uwezekano wa kupata matetemeko ya ardhi umetajwa.

Nnakuomba soma hapa, wamefahamisha kwa kina: http://www.world-earthquakes.com/index.php?option=frc
 
1. Je, Tezi dume ni nini?
2. Nini tofauti ya Tezi dume na Saratani ya Tezi dume?
3. Nini kinasababisha huu ugonjwa wa Tezi dume?
4. Ni zipi dalili za ugonjwa huu? Ni watu gani wapo katika hatari za kupata maambukizi/ugonjwa huu wa Tezi dume?
5. Ni kwanini miaka hii ya karibuni ugonjwa huu ndo umekuwa maarufu sana? Je, ni sample gan(urine, blood, tissue etc) huchukuliwa ili kupima kama Mtu anamaambukizi ya Tezi dume? Na huchukuliwaje na wap?
6. Ni tahadhari zp zichukuliwe ili kujikinga/kupunguza upatikanaji wa maambukizi hayo?

Maswali yako hayo yalishaelezewa hapahapa JF, pitia hapa: AFYA: FURSA YA KUJUA TEZI DUME NI NINI, SOMA HAPA

Baada ya kuupitia uzi huo kama utakuwa na mengine ya kuuliza basi usisite kurudi.
 
Kwanza nitangulize shukrani kwa uzi wako, su wengi wanapenda kushare life experience na wengine. Pia nakusalimu shikamoo, (kulingana na maelezo yako ya elimu umenidi sana ki umri) Asante,kwa huu mboresho. Lakini tatizo ulililea tangu mwanzo maswali ktk utangulizi na ktk kujibu maswali. Maswali yenye kuchonganisha imani imani ni vizuri usiyajibu , jibu yale ya kujenga itamfanya hata muulizaji wa hayo maswali kutouliza kichonganishi.

SWALI.

Elimu yako ya shule ya msingi na secondary uliipatia wapi,shule gani na vipi? Na je shahada yako iligharamiwa na taasisi binafsi, serikali au familia?

Je uraia Wako na mumeo mpaka sasa upoje?

Kuna watoto wako waliosoma Tanzania, taasisi gani za elimu na wana elimu gani?

Kwa kuwa wewe ni pro Swahili je unahisi wakati umefika sasa Wa kutumia lugha hii adhimu ktk kufundishia tangu elimu awali hadi vyuo vikuu? na kwanini?

Je uliwai kushiriki ktk project yoyote ya kimataifa au ndani ya Tz iliyohusisha taaluma yako ? Au kutoa publication zozote ? Au project yako chuoni ilihusisha nini hasa?

Asante nitarudi.

Mengine ni too personal sitotaka kuingia into details.

Kiswahili kinaweza kutumika kuanzia awali hadi vyuo vikuu ila napendelkeza kuanzishwe pilot program s za academies na research centres za kuanzia shule za chekechea hadi chuo kikuu ili tuwe na uhakika na tukifanyacho.

Hivi sasa tupo taabani kwa Kiswahili. Mfano mzuri ni humuhumu JF tu.

Nimeshiriki sana tu. na publications nnazo. Moja wapo ya project zangu chuoni ilihusisha Integration of Mass Communications and Telecommunications (Integration Mass-Telecommunications.)
 
Back
Top Bottom