Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Asante sana Faiza!
 
Hahaha duuuh we si kiboko ni kitembo.asante kwa ulivyomjibu
Usilolijua ni usiku wa kiza.usikujua kama una uelewa kiasi kama hichi.hongera sana ALLAH akuzishie .kama mtu anataka kukutembelea unaruhusu?na jee unapatikana wapi?natamani nipate ushauri kutoka kwako kuna mambo yamenisibu mjukuu wako.natanguliza shukran kwako
 
Hivi Alla (Molla) unayemwamini amekuwa dhaifu kiasi cha kuhitaji msaada wetu wanadamu kupigana kwa ajili yake?

Hivi Molla (Alla) unayemwamini hana REHEMA (hasamehe wanadamu).

Ahsante

Wewe sio wa kwanza kuuliza swali hili hata makafiri wa zamani waliliuliza yenye kufanana na hivyo soma hapa

Na wanapoambiwa:
“Toeni kutokana na vile Alivyokuruzukuni Allaah.” Husema wale waliokufuru kuwaambia wale walioamni: “Je, tumlishe ambaye (Allaah) Angelitaka Angelimlisha? Nyinyi hamumo isipokuwa katika upotofu bayana.” 36:47

Lakini Allaah sifa yake kuu ni inatajwa katika quran sura ya 85 aya ya 16 kuwa yeye ni
"Mwingi wa kufanya atakalo/apendalo"

Na kwa hiyo yeye kama ilivyokuja katika sura ya 21 aya ya 23 kuwa

"Haulizwi (Allaah) kwa yale Anayoyafanya, lakini wao wataulizwa".

Nikukumbushe tu alipotaka kuwaangamiza watu wa Nuhu aliwaangamiza bila ya kumwaambia Nuhu apigane na hivyohivyo Firauni aliangamizwa na jeshi lake bila ya vita bali maji tu yaliwaangamiza.



Hivi Alla (Molla) unayemwamini amekuwa dhaifu kiasi cha kuhitaji msaada wetu wanadamu kupigana kwa ajili yake?

Hivi Molla (Alla) unayemwamini hana REHEMA (hasamehe wanadamu).

Ahsante

 
tulia dawa iingie bibi
 
Na waja wa Ar-Rahmaan; Mwingi wa rahmah ni wale wanaotembea katika ardhi kwa unyenyekevu na upole, na majahili wanapowasemesha (maneno ya kijinga, wao husema: Salaam!
 
Sina chuki na Joyce Ndalichako bali nnauhakika si kiongozi mzuri, alivurunda kama mkuu wa NECTA mpaka baadhi ya Waislam wa Tanzania wakaandamana kumkataa. Jikumbushe:

Kunaweza kufanyika makosa kwa bahati mbaya lakini siamini juu ya necta kufelisha kwa makusudi kundi fulani la watu.
 
je ni kweli watanzania hatupendi kutaja umri kwa sababu umri haushabihi mafanikio?
 
As-salamu alaykum FaizaFoxy

1. Je unapenda kusoma vitabu kwa muda wako wa ziada?

2. Iwapo jibu ni ndio; Je ni vitabu gani japo vitatu vilivyobora na ungependa na wengine wavisome? - ukiacha vitabu vya dini

3. Je una lipi la kuwaambia vijana wa sasa wasio na tabia yakujisomea vitabu.
 
BI.FOXY,NIMERUDI TENA "MZEE WA KUANDIKA KWA HERUFI KUBWA" KESHO NITATOA DARASA KWA WANAOTAKA KUTAJIRIKA KWENYE MCHEZO WA KAMARI AINA YA "KENO" KWANI KAMARI INA IDADI KUBWA SANA YA WAFUASI THIS TIME....NAKUSHAURI TUJUMUIKE KWA PAMOJA KATIKA DARASA LANGU NA NITARUHUSU MASWALI MBALIMBALI ....karibu bi.foxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…