muftyzo
Member
- Jul 24, 2016
- 70
- 25
Nashkuru kwa majibu yako. Ila hapo hapo huwa napata headache kujiuliza baadhi ya ma's ala, kwa mfano bunge linapokaa na kujadili sheria ya mwizi afungwe mda fulan, au muuaji afungwe kifungo cha maisha. Mungu atupe ufaham mkubwa WA kujuwa mambo na kuwafunza na wengine.Asili ya neno "democracy" ni Kiyunani. "Demos" = The People, "Kratia" power, rule.
Sijasoma na kumsikia huyo Sheikh kwa hiyo siwezzi comment kuhusu huyo Sheikh, kwa mtazamo wangu sioni ubaya wowote wa democracy kama haikuzuwii kuabudu kwa imani yako.