Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Asili ya neno "democracy" ni Kiyunani. "Demos" = The People, "Kratia" power, rule.

Sijasoma na kumsikia huyo Sheikh kwa hiyo siwezzi comment kuhusu huyo Sheikh, kwa mtazamo wangu sioni ubaya wowote wa democracy kama haikuzuwii kuabudu kwa imani yako.
Nashkuru kwa majibu yako. Ila hapo hapo huwa napata headache kujiuliza baadhi ya ma's ala, kwa mfano bunge linapokaa na kujadili sheria ya mwizi afungwe mda fulan, au muuaji afungwe kifungo cha maisha. Mungu atupe ufaham mkubwa WA kujuwa mambo na kuwafunza na wengine.
 
samahani FaizaFoxy kama nitakalouliza limeshawahi kuulizwa:
1. Jini au Majini ni nini?
2. Je, kuna aina ngapi za Majini?
3. Je, kuna uhusiano gani wa Jini au Majini na dini ya Uislamu?

Hilo la tatu limeshaulizwa humuhumu na nimelijibu, kwa ufupi nnaomba pitia video hii utapata majibu yote uliyouliza na zaidi:

Nashkuru kwa majibu yako. Ila hapo hapo huwa napata headache kujiuliza baadhi ya ma's ala, kwa mfano bunge linapokaa na kujadili sheria ya mwizi afungwe mda fulan, au muuaji afungwe kifungo cha maisha. Mungu atupe ufaham mkubwa WA kujuwa mambo na kuwafunza na wengine.

Amiiin.

Mabunge ya kibinadam yasiyo na sheria alizotupa Mwenyeezi Mungu hayatakosa kuwa na mapungufu.

Allah ameshatupa sheria zote lakini hatutaki kuzifata kwa kuwa binaadam anajiona yeye ni bora kuliko aliyemuumba.

Allah atuepushe na kibri hicho na atujaaliye tuwe wenye kumfata yeye na tuliopotea wote atuongoe, atutowe kizani na kututia kwenye nuru.
 
Amin
 
kwanini una kiburi sana???

unaweza kunihakikishia pasipo shaka kuwa wewe ni mwanamke na si mwanaume!!!!??

majibu yako na tone ya maandishi yanatia shaka juu ya uanamke wako!!

karibu.......
 
Sasa mtazamo wako mimi niujibie?

Majanga!
 
Kwenue mada umetaka uulizwa chochote, hapo hapo umekuja na update mbili za kutaka usiulizwe chochote.
Ivi kweli una elimu ya chuo kikuu kabisa?!
 
Asili ya neno "democracy" ni Kiyunani. "Demos" = The People, "Kratia" power, rule.

Sijasoma na kumsikia huyo Sheikh kwa hiyo siwezzi comment kuhusu huyo Sheikh, kwa mtazamo wangu sioni ubaya wowote wa democracy kama haikuzuwii kuabudu kwa imani yako.
Democracy haifai ktk uislamu, khilafah ndio ndio mfumo bora kabisa ambao binadamu tunatakiwa tuishi
 
Tufafanulie kidogo, "Khilafa" ilianzishwa na nani? Na ilikuwaje ikatoweka? Sijaiona toka nizaliwe.

Mimi nijuavyo, binaadam sote ni ma Khalifa.
 
Kwanza nikiri huyu ndie member aliyenivutia mno kujiunga na JF. Hoja zake na mada zake zilimpatia umaarufu sana, wote mnajua Faizafoxy ni maarufu kwa mambo gani sasa yafuatayo ni maswali ninayojiuliza mpaka leo na ambayo ninamdhania.

1. FF ni kabila gani?
2. FF anaishi mkoa gani?
3. FF kama ni mwanamke anaoleka?
4. FF anatawalika kama mke?
5. FF mbona siku hizi haleti zile mada zake?
6. FF ana ELIMU ahera au dunia ?

NB.1 Navutiwa sana na huyu mwanamama, ningependa tujuane mimi na yeye pia tuwe family friend.

NB.2 Kama watanzania wengi wangekuwa ni member wa JF basi FF angekuwa ni brand kubwa sana kibiashara.
 
Back
Top Bottom