Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kaatika taaluma (siyo rasmi) nilizowahi kusoma ni kuwa, unazaliwa mwanamke siku mama alipopata mimba aliwahi kufika na unazaliwa mwanamme siku baba aliwahi kufika.
Asante kwa jibu lako kwa hiyo baada ya kupitia hiyo taarifa isiyo rasmi kwamba mama akiwahi kufika basi anazaliwa mwanamke na baba akiwahi kufika anazaliwa mwanaume

Ni kufika wapi huko unazungumzia ? Au kileleni ?
Kama ni kileleni asilimia Kubwa ya wanaume Dunia wanawahi kufika kabla ya wanawake ?

Kwa mtazamo huo basi wanawake wangekuwa kama kifaru hapa duniani kwa kutoweka kwao
 
haaa haa,kumbe sio kiongozi mzuri kwasababu 'waislam hawafaulu!!???!!!

Je,waislam wakifaulu atakuwa kiongozi mzuri?

[HASHTAG]#aisee[/HASHTAG]

Kwanza kabisa kazisome sababu zilizopelekea Waislam kutokufaulu wakati Ndalichako yupo NECTA.

Nnapenda wote wafaulu kwani wanaofaulu vizuri katika nyanja zote mwishowe hufaulu zaidi kwa kuwa Waislam, Huo ni ufaulu wa mwisho kwa mwanaadam.
 
Kivipi?
 
Kaatika taaluma (siyo rasmi) nilizowahi kusoma ni kuwa, unazaliwa mwanamke siku mama alipopata mimba aliwahi kufika na unazaliwa mwanamme siku baba aliwahi kufika.
Sawa....Ila kwa umri wako hujawahi kufanya utafiti ktk uzazi wako(km unao watoto) km siku ullyowah ulizaa mwanamke? Na cku ulochelewa ukazaa mwanaume?! Hii inaweza ikawa FAIZA FOXY EFFECT.
 
Aya ya pili ukiambatanisha na hayo mabango walobeba wenzio itakua sawa....ifike mahali watu muelewe wapo wenye uelewa wa haraka na wengine wana uelewa mdoooogo kama priton....so mmoja lazma awe nyuma ya mwenzie a little bit. Acheni mabango ya kijinga mueleweshe mpate kuelewa. Eti mtu mmoja aweze kuwafelisha waislamu
 
Kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam basi ninao sana, kwanza ni Uislam wangu kisha mengine.

Lakini kama una maana nyingine kuhusu "udini" tafadhali nifahamishe na mimi nielewe.
Kwa nn unaipenda ccm wakati inawanyanyasa sana wazanzibari wenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…