Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa jibu lako kwa hiyo baada ya kupitia hiyo taarifa isiyo rasmi kwamba mama akiwahi kufika basi anazaliwa mwanamke na baba akiwahi kufika anazaliwa mwanaumeKaatika taaluma (siyo rasmi) nilizowahi kusoma ni kuwa, unazaliwa mwanamke siku mama alipopata mimba aliwahi kufika na unazaliwa mwanamme siku baba aliwahi kufika.
Asante sana, sasa mjadala utanoga sana. Na mimi nitakuuliza baadae ya kwangu mawili au matatuNimekuelewa, nimeondowa.
haaa haa,kumbe sio kiongozi mzuri kwasababu 'waislam hawafaulu!!???!!!
Je,waislam wakifaulu atakuwa kiongozi mzuri?
[HASHTAG]#aisee[/HASHTAG]
Kivipi?Kwanza kabisa kazisome sababu zilizopelekea Waislam kutokufaulu wakati Ndalichako yupo NECTA.
Nnapenda wote wafaulu kwani wanaofaulu vizuri katika nyanja zote mwishowe hufaulu zaidi kwa kuwa Waislam, Huo ni ufaulu wa mwisho kwa mwanaadam.
Hivi Jecha alitenda HAKI?.Mimi nnamtetea yeyote aliye kwenye haki, awe mwananchi au awe mgeni.
Sawa....Ila kwa umri wako hujawahi kufanya utafiti ktk uzazi wako(km unao watoto) km siku ullyowah ulizaa mwanamke? Na cku ulochelewa ukazaa mwanaume?! Hii inaweza ikawa FAIZA FOXY EFFECT.Kaatika taaluma (siyo rasmi) nilizowahi kusoma ni kuwa, unazaliwa mwanamke siku mama alipopata mimba aliwahi kufika na unazaliwa mwanamme siku baba aliwahi kufika.
umewakomesha!Nna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in Telecommunications (Canada, 1982).
Itakuwa vizuriIn sha Allah siku moja ntahudhuria zile hafla za JF.
Aya ya pili ukiambatanisha na hayo mabango walobeba wenzio itakua sawa....ifike mahali watu muelewe wapo wenye uelewa wa haraka na wengine wana uelewa mdoooogo kama priton....so mmoja lazma awe nyuma ya mwenzie a little bit. Acheni mabango ya kijinga mueleweshe mpate kuelewa. Eti mtu mmoja aweze kuwafelisha waislamu- Ni kweli.
- kasome post namba 43.
- Nilikuwepo.
Ningependelea sana kuona elimu inafundishwa ili watu waelewe, wenye uelewa wa haraka wasonge mbele na wasio na uelewe wa haraka wasiachwe bali waeleweshwe mpaka wa elewe.
Mwalimu awe na darasa lake kama la historia, hesabati na mengineyo na wanafunzi waende kusoma kwa wakati wao kwa uelewa wao, badala ya sasa mwalimu anawafata wanafunzi mpaka 150 katika darasa moja wenye viwango tofauti vya uelewa.
Kwa nn unaipenda ccm wakati inawanyanyasa sana wazanzibari wenzako?Kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam basi ninao sana, kwanza ni Uislam wangu kisha mengine.
Lakini kama una maana nyingine kuhusu "udini" tafadhali nifahamishe na mimi nielewe.
Kiingereza ni lugha tu hata mwanangu wa chekechea ana vunja mayaiSijawahi kukuona ukijibu kwa kiingereza sehemu yeyote. Pia nina mashaka na elmu yako.