Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Nilijibu swali kama hilo awali na nikaweka picha humu ya wanaojitundika mabomu lakini nnaona Moderator kaiondowa.
faiza

hichi kiswahili cha kupachika "WA" mwishoni mwa baadhi ya maneno umekiokota wapi!!!??

"kaiondoWA"

"KauguWA"

"kanunuWA"

umekiokota wapi hicho kiswahili??
 
Ukivaa kanda mbili na njuti zinaoana?
unachokataa cha kuolewa ni kipi???

acha ugaidi bwana.

mwanaume humuoa mwanamke, naye mke huolewa na mwanaume.

hivyo wote wameoana, kama ulivyosema.

sasa kumbe ni kipi kinachokufanya useme sio kuolewa???

ama kuolewa ni msamiati mpya siku hizi????
 
Halafu wewe umeathirika mno na mfumo wa elimu ya Kiarabu ambao hauna tija katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia,na ndiyo maana Mwarabu anamtegemea Mzungu kwa kila hitaji katika maisha yake yote.
Nilikuwa najiuliza sababu za kutokwa povu kiasi hicho..
Kumbe tatizo uarabu. Jitahidi uondoe maneno yote ya kiswahili yenye asili ya kiarabu.
Lakini kumbuka wazungumzaji halisi wa lugha ndio wanaoifahamu zaidi
 
Kwa maelezo hayo kutoka kwenye Qur'an huoni kama yana halalisha mauaji ?


Neno lipi hapo lime"halalisha mauaji"? Hebu linukuu, mimi sijaona hapo kulipohalalisha mauaji.
 
unachokataa cha kuolewa ni kipi???

acha ugaidi bwana.

mwanaume humuoa mwanamke, naye mke huolewa na mwanaume.

hivyo wote wameoana, kama ulivyosema.

sasa kumbe ni kipi kinachokufanya useme sio kuolewa???

ama kuolewa ni msamiati mpya siku hizi????


Nimekuuliza, kandambili na njuti zinaoana?

Inaonesha hata maana ya kuoana huijuwi.
 
faiza

hichi kiswahili cha kupachika "WA" mwishoni mwa baadhi ya maneno umekiokota wapi!!!??

"kaiondoWA"

"KauguWA"

"kanunuWA"

umekiokota wapi hicho kiswahili??


Hukijuwi Kiswahili. Ni bora utulizane tu.
 
Siwezi kuchanganyikiwa na vitu vyepesi kama hivi ila nina mashaka na wewe unaejidai kulingana na Mungu kwa kujua kila kitu wakati ni mwepesi sana.


Labda kama ni yule mungu mtu anaekwenda haja kama mimi au wewe, lakini siwezi kabisa kulingana na Allah. Kumbuka hilo!
 
Hukijuwi Kiswahili. Ni bora utulizane tu.
weye bibi....

utakuwa umejitengenezea sarufi yako ya kiswahili mwenyewe.

unaweza kunielekeza ni wapi nitaipata hiyo elimu mpya ya kitamkwa "WA" mbele ya baadhi ya vitenzi???

unaweza kunipatia source yoyote ili na mimi nikaongeze ujuzi wa kiswahili.....

samahani kwa usumbufu lakini.....
 
Hili ni somo pana sana. Tunapolijadili tuwe makini tusichupe mipaka.
Ukitaka kujua tatizo liko wapi jaribu kufatilia toka kuanguka dola ya kiislamu. Dola ya kiuthmaan(daulat uthmaaniya). Ilianzisha jamaatul islaamiya ya Abuu Aala almauduud,baadae ikaja ikhwaanul muslimiin wote hawa lengo lao ni kusimamisha na kurudisha dola ya kiislamu. Wamekuja hizbu tahriir nao lengo likiwa hilo hilo.

Lakini jiulize kwanini hawafanikiwi?
Toka kuanguka dola ya uthmaan mwaka 1923 kama sijasahau hadi leo kwanini hawafanikiwi?

Mtume sala na salaam ziwe juu yake alitumia miaka 23 tuu kuweka misingi na kusimama dola ya kiislamu,kwanini sisi tunashindwa?

Ukiangalia kuna wanaotumia njia za kidemokrasia,wapo wanaotumia njia za vita lakini hakuna mafanikio.

Hii inamaanisha njia hizo zinazotumika si sahihi. Demokrasia ni njia tafauti tena yenye kupingana kabisa na misingi ya uislamu. Vita vinavyoitwa jihadi leo hii pia si njia sahihi ya kurejesha khilafa.

Tukitaka kufanikiwa ni lazima kwanza tujiangalie wapi tulijikwaa na kisha turejee kwenye njia sahihi aliyoipita Mtume wetu.

Dola ya kiislamu haitafutwi. Hakuna siku Mtume alisimama kupigania kuanzishwa dola ya kiislamu.
Bali yeye alifundisha tauhiid. Ilipokita kwenye mioyo ya watu wakaiishi hiyo tauhiid kimaneno na kimatendo. Wakawa waumini wa kweli. Allah akwapa zawadi ya kuwa makhalifa.

Hiyo ndio ahadi ya Allah kwa wale walioamini na kutenda yalio mema kuwa atawafanya makhalifa katika ardhi.

Hivyo tukitaka ukhalifa tuachane na demokrasia. Vita vya kijinga na makundi ya kishenzi kwa kisingizio cha dola ya kiislamu, kisha tupambane kuisimamisha tauhiid. Kisha watu wawe waumini wa kweli. Kikauli na matendo. Khilafa itasimama tena bila tone la damu
 

Halafu unatafuta "source", huoni kuwa u punguani?
 
Halafu unatafuta "source", huoni kuwa u punguani?
kama hauna source ya unayoyaandika, nitakuwa nina makosa kukwambia umeyabuni mwenyewe!!!!??

naomba source tafadhali kama hutajali.....

kwa faida yangu na ya wengine pia....
 
kama hauna source ya unayoyaandika, nitakuwa nina makosa kukwambia umeyabuni mwenyewe!!!!??

naomba source tafadhali kama hutajali.....

kwa faida yangu na ya wengine pia....

Umeshasema nimeyabuni halafu unatafuta "source", kama si upunguani ni nini huo?
 
tehh....

ni kipi sijajibu?????

fine, labda sijakuelewa........

nini maana ya "njuti"?

Ni viatu, njuti hilo limetokana na jina la viatu vya Kipunjab "Jutti" vinavyotengenezwa na ngozi na kudariziwa na "jute".

Men Jutti:



Women Jutti:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…