Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]Nasikitika sana.
Huu Uzi ndio nimeuona hivi punde, kwanini sikuuona kwa muda muafaka?
Kwa kweli huu Uzi mtamu sana.
Ngoja nishie hapa.
Nitaendeleo nao panapo majaliwa.
InshaAllah
Kama kanuni hii ingekuwa inafanya kazi Dunia ingekuwa na mafuriko ya wanaume. lakini wataalam wa sensa/Takwimu wanasema wanawake ni mara 3 ya wanaume duniani kote.Pitia hii Hadith:
While I was standing beside the Prophet, one of the rabbis of the Jews came [...] then said: "I have come to ask you about something no one on earth would know except a Prophet [...]. I have come to ask you about the child." The Prophet said: "The fluid of the man is white and that of the woman yellow. When they unite and the male fluid prevails upon the female fluid, their child is male (adhkaraa) by Divine permission. When the female fluid prevails upon the male fluid, their child is female (aanathaa) by Divine permission." The Jew said: "What you said is true; you are truly a Prophet!" He turned and went away. The Messenger of Allah said: "This man just asked me about things of which I had no knowledge whatever until Allah had that knowledge brought to me!"
Soma zaidi: Hadiths On The Formation Of Human Life
Post 190 hujanijibu Dada faiza foxy
Kama kanuni hii ingekuwa inafanya kazi Dunia ingekuwa na mafuriko ya wanaume. lakini wataalam wa sensa/Takwimu wanasema wanawake ni mara 3 ya wanaume duniani kote.
Sidhani kama wanawake wanawahi kufika kileleni kuliko wanaume kwa wingi kiasi hicho.
( Tungeomba Wataalam wa Mahusiano na Ngono watusaidie kudhibitisha hili kama wanawake wengi huwahi kumwaga )
Haya mambo wewe hupaswi kuyajua wewe ufahamu wako umeanza baada ya kuzaliwa yaliyotokea kabla ya hapo hadi wewe ukapatikana hupaswi kuyachimbua kabisa ndiyo sababu mtoto akizaliwa huwa hana ufahamu wala kumbu kumbu...
Kwa upande wangu sioni tatizo.FaizaFoxy kwa nini wapenda kuumbua watu haswa wanapokosea kiswahili?
Je wafahamu ya kuwa kuna watu wanapandikizwa kwa ajili ya maslahi yao?Kwanini wanaua watu wasio na hatia kwa kutumia aya zenu?
NAMLI hiyo Sura ya 27.Ni sura gani katika Quran INA bismillah mbili?
Ni sahihi, tena sahihi sana.Swali langu ni hivi kusema inalillah wainailaih rajiun kwa asiyekuwa muislam ni sahihi?
Hebu rudi nyuma na utembelee michango yote utapata jibu.Swali la 3 na la mwisho kwa sasa: Je, hiyo picha/avatar ni ya kwako?
Kwanza kabla ya kusaidiwa inabidi na wewe mwenyewe ujisaidie.UNASHAURI NN KWA VIJANA WA KITANZANIA WASIO NA AJIRA NA JE UKIPATA NAFASI YA KUWASAIDIA UTAWASAIDIAJE?
WALAA KHALAQA JINNI WAL INSI ILLAA LIYA'ABUDUUN.Waislamu muna uhusiano gani na majini na kwa nn yanaitwa kwa majina ya kislamu tu
Mapepo ni majiniWALAA KHALAQA JINNI WAL INSI ILLAA LIYA'ABUDUUN.
Mwenyezi Mungu anasema, Na wala sikuwaumba Majini na Watu isipokuwa waniabudu mimi.
Unaweza nijibu swali langu kwanza, kisha tuendelee na mjadala.
Swali ....
Pepo/Mapepo ni nini?
Ni yeye Mwenyezi Mungu mmoja tu."Qur'an 49:13.
Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu niMwenye kujua, Mwenye khabari"
Kwakuwa wewe umekuwa mwenye kurekebisha makosa yote yafanywayo na watu hapa JF kwenye lugha ya kiswahili kimaandishi, naamini una uelewa mpana wa lugha ya kiswahili, swali langu ni;
- Maandishi yenye rangi nyekundu hapo juu yana maana gani?
- Uumbaji ulifanywa na wangapi?
Natanguliza shukrani za dhati.
Safi sana.Mapepo ni majini
Naomba unifafanulie haya maneno maana naona ni mazito, (tupu ya mbele ya mwanamke au mnyama au tupu zao za nyuma).
FaizaFoxy nisaidie pa kuanzia kumsaidia kaka yangu,
Alipendana sanaa na binti wa kiislam na mama wa binti anampenda sana broh (Mkristo)
Kaka yangu alimsomesha huyu binti (namwita shem mpaka kesho) ada ya 2nd na 3rd year chuoni.
Kaka amejipanga kupeleka mahari upareni ghafla mwezi wa 6 Baba wa binti akamtafutia binti yake mchumba wa kiislam na wakaoana.
Alikuwa anamtishia binti kuwa akiolewa na Mkristo basi baba yake hatomtambua tena kuwa ni mwanae na hata salamu asimpe mpaka aingie kaburini
Sasahv binti anataka hata leo aridi kwa kaka yangu.
Hiyo ni Haki kweli? Ni jambo la Busara?
Cc: Babu na mjukuu