Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Nasikitika sana.

Huu Uzi ndio nimeuona hivi punde, kwanini sikuuona kwa muda muafaka?

Kwa kweli huu Uzi mtamu sana.

Ngoja nishie hapa.

Nitaendeleo nao panapo majaliwa.

InshaAllah
[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
 
Pitia hii Hadith:

While I was standing beside the Prophet
durood.gif
, one of the rabbis of the Jews came [...] then said: "I have come to ask you about something no one on earth would know except a Prophet [...]. I have come to ask you about the child." The Prophet said: "The fluid of the man is white and that of the woman yellow. When they unite and the male fluid prevails upon the female fluid, their child is male (adhkaraa) by Divine permission. When the female fluid prevails upon the male fluid, their child is female (aanathaa) by Divine permission." The Jew said: "What you said is true; you are truly a Prophet!" He turned and went away. The Messenger of Allah said: "This man just asked me about things of which I had no knowledge whatever until Allah had that knowledge brought to me!"

Soma zaidi: Hadiths On The Formation Of Human Life
Kama kanuni hii ingekuwa inafanya kazi Dunia ingekuwa na mafuriko ya wanaume. lakini wataalam wa sensa/Takwimu wanasema wanawake ni mara 3 ya wanaume duniani kote.
Sidhani kama wanawake wanawahi kufika kileleni kuliko wanaume kwa wingi kiasi hicho.
( Tungeomba Wataalam wa Mahusiano na Ngono watusaidie kudhibitisha hili kama wanawake wengi huwahi kumwaga )
Post 190 hujanijibu Dada faiza foxy
 
Kama kanuni hii ingekuwa inafanya kazi Dunia ingekuwa na mafuriko ya wanaume. lakini wataalam wa sensa/Takwimu wanasema wanawake ni mara 3 ya wanaume duniani kote.
Sidhani kama wanawake wanawahi kufika kileleni kuliko wanaume kwa wingi kiasi hicho.
( Tungeomba Wataalam wa Mahusiano na Ngono watusaidie kudhibitisha hili kama wanawake wengi huwahi kumwaga )

Hudhani kwa kuwa labda hufati mafundisho na au una walakin fulani.

Nnakushauri soma kitabu kinachoitwa The Perfumed Garden.
 
Haya mambo wewe hupaswi kuyajua wewe ufahamu wako umeanza baada ya kuzaliwa yaliyotokea kabla ya hapo hadi wewe ukapatikana hupaswi kuyachimbua kabisa ndiyo sababu mtoto akizaliwa huwa hana ufahamu wala kumbu kumbu...


Duh! sijuwi kama umekielewa ulichokisoma. Kina uhusiano upi na "ufahamu"?

Hilo la watoto kutokuwa na kumbukumbu kitaalam huitwa "infantile amnesia".
 
FaizaFoxy kwa nini wapenda kuumbua watu haswa wanapokosea kiswahili?
Kwa upande wangu sioni tatizo.

Kwakuwa, ninapokosea napenda sana kukosolewa ili nipate kujifunza zaidi.

Na kumbuka katika/kwenye Maisha kila siku tunajifunza.

Kwahiyo, kama inatokea Mtu kukukosoa pale unapokosea, ulipokosea, Shukuru sana.

Hebu fikiria Mtu anapoteza Muda wake kukurekebisha.

Ujue huyo Mtu anakutakia mema.

Kwa Mtu mwerevu hapo hawezi kusema au kuhisi anaumbuliwa, bali unasahihishwa.

Na kama utakifanyia kazi unachosahihishwa nakuahidi hiyo ni hatua moja kubwa sana
 
Ni sura gani katika Quran INA bismillah mbili?
NAMLI hiyo Sura ya 27.

Ukiacha Bismillah inyoanza na Sura.

Bismillah nyingine unakutana nayo Aya ya Thelathini (30), ambayo inasema:-

INNAHUU MIN SULAYMAANA WAINNAHUU BISMILLAHI RRAHMAANI RRAHYIIM.

Na je wafahamu siri ya hiyo Bismillah?

Sura ya Tisa ambayo ni TAWBA, inaanza bila Bismillah, au kwa lugha nyingine haina Bismillah, jibu ni kwamba hakuna Sura ambayo ndani ya Qur'aan inakosa Bismillah.

Sura zote zina Bismillah, na ile TAWBA ambayo haijaanza na Bismillah, Bismillah yake inalipwa ndani ya Suuratul NAMLI, aya ya Thelathini (30) ambayo nimeshaitaja hapo juu
 
Swali langu ni hivi kusema inalillah wainailaih rajiun kwa asiyekuwa muislam ni sahihi?
Ni sahihi, tena sahihi sana.

Hapo kilichokuchanganya ni Lugha, hebu tuilete kwenye Lugha yetu ya Kiswahili, maana yake ni:-

HAKIKA SISI (BINAADAM) NI WA MWENYEZI MUNGU, NA KWAKE YEYE (MWENYEZI MUNGU) SISI SOTE (BINAADAM) TUTAREJEA KWAKE.

Kwanini nimesema sahihi?

Hapo Binaadam yoyote, bila kujali Kabila yake/lake, Imani yake, Cheo chake, Wadhifa wake N.K.

Lazima arejee kwa Muumba ambae ni Mwenyezi Mungu
 
Swali la 3 na la mwisho kwa sasa: Je, hiyo picha/avatar ni ya kwako?
Hebu rudi nyuma na utembelee michango yote utapata jibu.

Mbona ameshajibu tayari.

Ndio maana kuna maswali hawajibu kwakuwa mnarudia, inakuwa kama mnampotezea Muda wakati bado ana maswali mengine ya kujibu.

Pitia Mchango wake namba 74 ameshajibu hilo swali.

Ngoja nikuwekee hapa chini:-
 
Hapana, si mimi, huyo ni Lisa Valentine na nimempenda sana msimamo wake nilipokisoma kisa chake, jisomee:

Judge Throws Muslim Woman In Jail For Refusing To Remove Headscarf In Court
In the past eight days, a judge in Georgia has sparked controversy after barring two Muslim women wearing Islamic headscarves from entering his courtroom, and landing one of them behind bars. Now, he has prompted an inquiry from the civil rights officer at the U.S. Department of Justice.

Judge Keith Rollins of Douglasville, Georgia reportedly ordered 41-year-old Lisa Valentine to jail after she refused to remove her scarf before entering the courtroom. Judge Rollins pointed to rules that governed appropriate dress as listed by the state.

This is not the first time Rollins had made the controversial call. Last week, Sabreen Abdulrahmaan was forced to leave his court before her son’s probation hearing because she would not remove her scarf.

Valentine was handcuffed by security and sentenced to 10 days in jail when she declined to defend her actions at the security checkpoint, her husband Omar Hall reports.

“It’s an issue of religious freedom,” Ibrahim Hooper, a spokesman for the Council on American-Islamic Relations old reports. “It’s an issue of access to the American legal system.”

Soma zaidi: Judge Throws Muslim Woman In Jail For Refusing To Remove Headscarf In Court - World Politicus
 
UNASHAURI NN KWA VIJANA WA KITANZANIA WASIO NA AJIRA NA JE UKIPATA NAFASI YA KUWASAIDIA UTAWASAIDIAJE?
Kwanza kabla ya kusaidiwa inabidi na wewe mwenyewe ujisaidie.

Maisha si lazima ajira, kuna kitu kinaitwa kujiajiri.

Kujiajiri kupo kwa aina nyingi, ikiwemo na Biashara pia.

Tatizo Watu wengi wanajibweteka na hawataki kujituma, na kuna wengine ni Watu wa kuchagua Shughuli/Biashara.

Jamani tusijibweteke, tujitume, inawezekana sana
 
Waislamu muna uhusiano gani na majini na kwa nn yanaitwa kwa majina ya kislamu tu
WALAA KHALAQA JINNI WAL INSI ILLAA LIYA'ABUDUUN.

Mwenyezi Mungu anasema, Na wala sikuwaumba Majini na Watu isipokuwa waniabudu mimi.

Unaweza nijibu swali langu kwanza, kisha tuendelee na mjadala.

Swali ....

Pepo/Mapepo ni nini?
 
WALAA KHALAQA JINNI WAL INSI ILLAA LIYA'ABUDUUN.

Mwenyezi Mungu anasema, Na wala sikuwaumba Majini na Watu isipokuwa waniabudu mimi.

Unaweza nijibu swali langu kwanza, kisha tuendelee na mjadala.

Swali ....

Pepo/Mapepo ni nini?
Mapepo ni majini
 
"Qur'an 49:13.
Enyi watu! Hakika
Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu niMwenye kujua, Mwenye khabari"

Kwakuwa wewe umekuwa mwenye kurekebisha makosa yote yafanywayo na watu hapa JF kwenye lugha ya kiswahili kimaandishi, naamini una uelewa mpana wa lugha ya kiswahili, swali langu ni;

- Maandishi yenye rangi nyekundu hapo juu yana maana gani?
- Uumbaji ulifanywa na wangapi?


Natanguliza shukrani za dhati.
Ni yeye Mwenyezi Mungu mmoja tu.

Hapo Mwenyezi Mungu anaitukuza Nafsi yake, yaani ule ukubwa wake.

Mfano hai angalia Viongozi, mfano Rais lugha wanazotumia huwa hawaoneshi Ubinafsi
 
Naomba unifafanulie haya maneno maana naona ni mazito, (tupu ya mbele ya mwanamke au mnyama au tupu zao za nyuma).
d0039b9e6b6885f73b75d2451a06e438.jpg

8e7b41acedef103126bbc7b6345f6d66.jpg

Bora yawe hivyohovyo mazito, hakuna atakaekufafanulia.



SAFIINATUN NAJAA - BAABU MAA JAA
 
Huu Uzi bado unanihusu sana.

Leo naishia Ukurasa huu, basi kesho nitaanzia hapa nilipoishia na kuendelea kufungua kurasa zinazoendelea ambazo bado sijazifungua.

InshaAllah.

WABILLAHI TAWFIQ
 
FaizaFoxy nisaidie pa kuanzia kumsaidia kaka yangu,

Alipendana sanaa na binti wa kiislam na mama wa binti anampenda sana broh (Mkristo)

Kaka yangu alimsomesha huyu binti (namwita shem mpaka kesho) ada ya 2nd na 3rd year chuoni.

Kaka amejipanga kupeleka mahari upareni ghafla mwezi wa 6 Baba wa binti akamtafutia binti yake mchumba wa kiislam na wakaoana.

Alikuwa anamtishia binti kuwa akiolewa na Mkristo basi baba yake hatomtambua tena kuwa ni mwanae na hata salamu asimpe mpaka aingie kaburini

Sasahv binti anataka hata leo aridi kwa kaka yangu.

Hiyo ni Haki kweli? Ni jambo la Busara?

Cc: Babu na mjukuu

Naam, ni sahihi kabisa, hakuna ndoa ya Mwanamke wa Kiislam kwa mwanamme asiye Muislam.

Mkristo wa kweli, kwa maana ya kumfata Yesu Alayhi Salaam, ni Muislam.

Usome Uislam kutoka kwa Waislam utashangaa kwa mema yaliyojaa humo. Achana na media za kutunga uongo kuhusu Uislam.
 
Back
Top Bottom