Mimi ni mwanachama hai wa CCM toka kuanzishwa kwake.
Nini sababu ya viongozi wa awamu ya tano kuwa na matamko kila kukicha? Je,kuna madhara gani ya kutokeleza matamko haya mfano kuondoa ombaomba Dar na Makahaba?
Kanda na barafu.
Kiswahili ni Lugha ya Taifa hapa nchini. Lakini English(kiingereza ni Lugha ya kitaaluma) na kimataifa. Je, kuna umuhimu wa kuchagua Rais ambaye anaijua vizur lugha ya kimataifa(English)? Kama ni ndiyo je,moja ya sifa ya mtu kugombea urais ni sharti iwekwe kwenye katiba ili kuepuka kupata rais ambaye hayuko vizuri kwenye lugha za kimataifa???
Barafu ina nini kitachofanya maumivu yapungue?
Na kwa nini serratus ziume baada ya kupiga shoulder press sets kama 7 hivi?
Sura zote zinaanza na bismillahi kutoa moja tu. Hakuna suala la kulipa.NAMLI hiyo Sura ya 27.
Ukiacha Bismillah inyoanza na Sura.
Bismillah nyingine unakutana nayo Aya ya Thelathini (30), ambayo inasema:-
INNAHUU MIN SULAYMAANA WAINNAHUU BISMILLAHI RRAHMAANI RRAHYIIM.
Na je wafahamu siri ya hiyo Bismillah?
Sura ya Tisa ambayo ni TAWBA, inaanza bila Bismillah, au kwa lugha nyingine haina Bismillah, jibu ni kwamba hakuna Sura ambayo ndani ya Qur'aan inakosa Bismillah.
Sura zote zina Bismillah, na ile TAWBA ambayo haijaanza na Bismillah, Bismillah yake inalipwa ndani ya Suuratul NAMLI, aya ya Thelathini (30) ambayo nimeshaitaja hapo juu
WAMAA KHALAQTUL JINNA WAL-INSA ILLAA LIYA'ABUDUUNWALAA KHALAQA JINNI WAL INSI ILLAA LIYA'ABUDUUN.
Mwenyezi Mungu anasema, Na wala sikuwaumba Majini na Watu isipokuwa waniabudu mimi.
Unaweza nijibu swali langu kwanza, kisha tuendelee na mjadala.
Swali ....
Pepo/Mapepo ni nini?