Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

who are the real children of Israel?


In the Qur'an we have a complete surah (chapter) on Children of Israel, called Al Isra or Bani Israel, besides, we have many other verses in the Qur'an which mentions Children of Israel.

We strongly advise you to read the said surah (Surah Al-Isra [17]) and you may also want to read the following verses on Children of Israel; Quran Index - Children Of Israel
 


Kama usemavyo hayo ni "madai" tu, sasa ni "madai" ya nani, mimi sielewi.

Ukitaka kuujuwa Uislam nnakushauri usijifunze kutoka kwa wasio Waislam. Jifunze amma kutoka kwa Waislam wenyewe au pitia Qur'an, jisomee:

Qur'an 04:95.
The holders back from among the believers not disabled by injury, and those who strive hard in Allah's way with their property and their persons, are not equal. Allah has made the strivers with their property and their persons to excel the holders-back a (high) degree. And to each Allah has promised good. And Allah has granted to the strivers above the holders-back a mighty reward
 
Kwanini ume-quote kwa kingereza na sio kiarabu wala kiswahili?
 
FaizaFoxy nijibu swali langu. Kwanini unapenda kusahihisha watu saana wakati wewe unakosea zaidi ya unaowasahihisha katika lugha ya kiswahili.

Kwenye kichwa cha mada.
Darsa ndiyo nini?
 


Hizo "millioni kumi" mimi nnazisoma humuhumu JF, sijaona ushahidi wowote kwa hiyo siwezi kuziongelea zaidi ya kupiga porojo za hapa na pale kama ilivyo kawaida ya barza lolote lile. Si kila ukisikiacho ni ukweli, jee mwenzangu ulikuwepo wakigawana hizo "million kumi kumi"?

Hayo mengine yote uliyoyauliza ukipitia mkanda wa video wa Rais Magufuli alipoongea na waandishi wa habari Ikulu alishayajibu, sionisababu yamimi kujibu maswali amabayo Rais kishayajibu. Tazama hii:

 
Umekuwa mkosoaji mkubwa wa matumizi mabovu ya misamiati hususani katika lugha ya kiswahili, je wewe ni mmoja wa wanataaluma wa lugha ya kiswahili?


Ukinisoma vizuri, mara nyingi huwa nnasahihisha inapokosewa pa kuwekwa herufi ya R na L. Inanikera.

Mimi si mtaalam wa Kiswahili isipokuwa ndiyo lugha mama kwangu.
 
Ufaulu unaletwa na NECTA??

ebu leta ushahidi kuwa wanafelishwa na NECTA.

na sio kutumia itikadi.
Mimi siamini kama ufaulu unaletwa na NECTA ila nafahamu NECTA ni waratibu wa mitihani Wanasimamia utungaji, ufanyaji wa mitihani hiyo (kwa kushirikiana na baadhi ya walimu na askari polisi) , usahihishaji (hapa ni baadhi ya walimu wanahusika pia) na utoaji wa matokeo
Kwaiyo kwa maana nyepesi NECTA hawana mamlaka ya kuleta ufaulu maana hata wao hawashughuliki nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…