Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

What are you trying to accomplish?
 
Binafsi nachukulia kumuuliza mtu umri wake ni ubaguzi.

Wewe una mtazamo wako ambao una uhuru wa kufikiria upendavyo kwa "akili zako ndogo".

kweli mie akili zangu ndogo, wala sibishi. lakini kwa akili zangu ndogo nashindwa kuelewa kwa nini sababu zinakuwa nyingi, mara sio maadili mara ni ubaguzi. which is which sasa?
alafu katika ulimwengu huu ubaguzi utaendelea kuwepo tuu tupende tusipende
 

Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Maelezo
 
Na Mapepo ni nini?
Ukisoma comment ya mtu niliye m'quote' mimi utajua kwanini nilimjibu hivyo.

Ila waweza kunisaidia majina walau matatu ya majini unayoyajua kutokea hapo nadhani utaelewa zaidi.
 
Ukisoma comment ya mtu niliye m'quote' mimi utajua kwanini nilimjibu hivyo.

Ila waweza kunisaidia majina walau matatu ya majini unayoyajua kutokea hapo nadhani utaelewa zaidi.


Pata haya matatu uliyoyataka na mimi nimekuongezea 100%, mengine matatu.

  • Lucifer
  • Mammon
  • Asmodeus
  • Leviathan
  • Beelzebub
  • Belphegor
 
Kajirutaluka

Niliiona "argument" yako kuhusu talaka. Labda niongee Kiswahili; Mwanamke anaweza kumuacha mumewe Kiislam.

Nnakuomba urudie kusoma kuhusu "khulah" na "isma".

Pia sikiliza hii:

 
napenda sana kiswahili chako na unavyowasaidia ndugu zetu wa kanda ya ziwa na kuwasahihisha wanapofanya makosa hasa ya R na L, je una asili ya Pwani (Tanga,Dar, Pwani) ?.
 
What are you trying to accomplish?
Naomba unijibu Swali langu.

Mbona Swali lenyewe liko wazi.

Kwasababu mimi nataka tuwekane sawa.

Na ni kwa nia njema tu.

Swali ....

Je wafahamu kwanini Suuratu TAWBA haijaanza na Bismillah?
 
ntarudi kuendelea na darsa,nimechelewa kuona hii post japo kwa comment chache nimeona manyang'au fulani yanauliza maswali ya kijinga sana
Hata mimi nasikitika sana.

Huu Uzi sikuuona kwa Muda muafaka
 
Hongera mama, wewe ni mwanamke wa pekee!!! Unauwezo wakujibu kwa hoja pia atakaye kuja kwa utumbo utamjibu kiutumbo
Huu Uzi, Lengo lake lilikuwa zuri sana.

Na Mafundisho mengi sana, ambayo wengi tungenufaika nayo.

Sema tatizo kuna baadhi ya Wachangiaji lengo lao ni kuchafua hali ya Hewa.

Kama ungekuwa Uzi wa kiutani, au kimzaha, isingalikuwa tatizo.

Lakini huu Uzi ni wa kimafundisho.

Tungeelekezana, tungebadilishana japo hata machache.

Kuna faida nyingi sana ambazo tungefaidika nazo kama nilivyosema hapo juu mstari wa pili
 
Ndio Watanzania walivyo, hawajui kuwa hata Kama Faiza foxy wanamchukia au Wana misimamo tofauti lakin ni Miongoni mwa Member wachache waliojipambanua kuwa na General knowledge kubwa sana na huenda tungefaidika kwa kuuliza Maswali muhimu.
Umeona e...

Kama ulikuwepo kichwani mwangu.

Kwa kweli tungefaidika sana.

Hasa sie tunaopenda kujifunza.

Huwezi amini, Maswali machache ya msingi yaliyoulizwa ambayo mpaka kufikia Ukurasa huu niliopo hivi sasa, nimenufaika, nimejifunza jambo/kitu, napata mwangaza fulani.

Ujue katika Maisha tunayoishi, sio kila kitu/jambo tunafundishwa, hapana.

Kuna jambo wewe ukipewa/ukipata mwangaza japo kidogo na wewe mwenyewe muhusika ukichangamsha Ubongo wako, au ukiwa mtu wa kuuchangamsha Ubongo, siku zote utanufaika
 
Pole sana.

Je mna muda gani kwenye/katika uhusiano wenu?
 
Inashangaza sana mkuu, na hii ndo sample frame ya Watanzania tulionao, I wonder what were our expectations kwa Wahariri waliopewa nafasi ya kuuliza maswali Ikulu ikiwa IQ yetu wanajamii ipo too low to Ask meaningful questions.
Kwa kweli ni janga.

Ngoja mimi nijitoe kwa siku ya leo.

InshaAllah.

Panapo Majaliwa, kesho nayo siku.

Maana sijafika hata nusu ya Safari (Uzi).

Ila bado nipo Safarini
 
Naomba unijibu Swali langu.

Mbona Swali lenyewe liko wazi.

Kwasababu mimi nataka tuwekane sawa.

Na ni kwa nia njema tu.

Swali ....

Je wafahamu kwanini Suuratu TAWBA haijaanza na Bismillah?
Nafikiri tuishie hapa hayana faida kwa hadhira. Muhimu ni kuonyesha mahaasinil islaam kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…