Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Nani amekuambia ushoga uko pwani Kwa sababu tu wako Waislam Na Waarabu.
Huko Tarime ,UK(ukerewe) Na Sehemu nyingi mashoga wengi tu Hata Aunty Matola wapo.
Ushoga hauna dini wala kabila.Wapo Ma padri Na ma askofu mashoga ambao wanajitangaza
Kwa kuongezea anty James huyu ni mkuria aliyekulia mwanza
 
Jinsi unavyojibu inaonyesha Elimu yako na uwezo wako ni mdogo sana ila unamisifa tu!
Itapendeza sana, na wewe mwenye Elimu na uwezo mkubwa utusaidie kujibu Masuali ambayo unayaona hakuyajibu kiufasaha.

Nakuomba sana uoneshe ambapo alipokosea, kisha upasahihishe ili tupate kunufaika wengi.

Ama kama itawezekana, Suali alilolijibu na wewe lijibu ili tupate kunufaika mara mbili.

Karibu sana uwanjani, ili sisi wengine tunaopenda kujifunza, tujifunze kupitia kwako
 
Mungu kaamua meseji iende nusu nusu.....hahahah, how did u know alikuwa anataka hivi?? Alikuwa anataka hivi au wamefeli due to lack of technology... unataka kuniambia kama by then wangekuwa na technology wangeishi the same way na sio kufikisha ujumbe wa Mungu kadri wawezavyo.

Yaani mtu X kafikishiwa ujumbe wa kwamba asizini, oa mke mmoja tu (wakristo), oa mke 1,2,3 au 4 (waislamu), usiibe, usiseme uongo n.k. katika kipindi hicho hicho kuna mtu Y somewhere anafanya kinyume na hayo maagizo. Sasa why hayo maagizo yawe na umuhimu? (Mungu muweza wa yote kwanin mnampakazia.... na alikuwa na uwezo wa kufikisha meseji hiyo mpaka kwa huyu Y, kwanin aamue zambi za Y ni sawa tu ila X hapana, hauoni ni udouble standard huu na ni contradiction). Ukimuelezea Mungu alafu ukilinganisha na usemayo yanapingana nae. (Wana macho hawaoni, wapo (vipofu). Wana masikio hawasikii (viziwi)...wana midomo lakini hawaongei (bubu)).

unatumia references zenye uongo mwingi.... ambazo zinapelekea ubongo usifikirie ipasavyo. Hivi vitu vinadumaza akili... vimesababisha binadamu alale na kuamini kwamba kila kinachotokea ni mpango wa Mungu (anaesababisha ni Mungu). Hata ufukara pia tunamsema yeye ndie kasababisha..... Utendee ubongo haki yake ndio kazi ya ubongo hii. Sio kila kitu unapokea tu shirikisheni na bongo zenu.
 
Insha-Allah sheikh wangu nimekuelewa nitajitahidi
 
Khabari yako Faiza Nakumbushia swali langu # 1589,sijapata majibu. Ama jibu lake ni Kimya/Hewa?....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…