babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Tatizo ni kupiga magoti kwenye benchi na kuitikia ndioo... Unashindwa hata kutafakariAbubakar, Anasema: "Hakika mimi ninae shetani hunifikia mara kwa mara, basi wakati wowote atakaponifikia muniepuke" (Tabaqatul Kubra, J. 3 Uk. 212)
SASA KAMA "QURAN" KILIANDIKWA NA MTU ALIYEKUWA NA SHETANI, KWA NINI TUSIKUBALI KUWA NI AYA ZA SHETANI?