Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kwa upande wangu sioni tatizo.

Kwakuwa, ninapokosea napenda sana kukosolewa ili nipate kujifunza zaidi.

Na kumbuka katika/kwenye Maisha kila siku tunajifunza.

Kwahiyo, kama inatokea Mtu kukukosoa pale unapokosea, ulipokosea, Shukuru sana.

Hebu fikiria Mtu anapoteza Muda wake kukurekebisha.

Ujue huyo Mtu anakutakia mema.

Kwa Mtu mwerevu hapo hawezi kusema au kuhisi anaumbuliwa, bali unasahihishwa.

Na kama utakifanyia kazi unachosahihishwa nakuahidi hiyo ni hatua moja kubwa sana
We ni faiza?
 
Naomba kujua kinachozima moto nini!! Make hata maji ya moto yaliyochemka sana ukiyamwaga kwenye mkaa unazima!!? Kwa nini?

Kinachozima moto ni kukosa "oxygen". Moto hauwezi kuwaka bila "oxygen".

Kwenye maji "hydrogen" na "oxygen" zimeshatumika (zime ungua) kwa hiyo haziwezi kuungua (kutumika) mara ya pili.

Kisayansi maji yana uwezo mkubwa wa kuhimili moto na ndiyo maana yana uzima.

Soma zaidi: How does water help extinguish fire?
 
mama FaizaFoxy naomba kuuliza yafuatayo hata kama umewahi kujibu tafadhali nijibu kwa faida ya wengi,
Je, kuna aina ngapi za majini? [taja majina yake na kazi zao]
Na je, unaweza kumuita jini na ukamueleza shida yako na kukusaidia?
Ni yapi madhara ya kuita majini kwa mtu aliye yaita?
Na nini ushauri wako juu ya haya?

Ni hayo tu
By malambi
 
Aina za majinni zipo nyingi sana na ukipenda kuyajuwa majina yao pitia hapa: Demonology: A-E List of Demon Names, Devils, & Evil Spirits

Watu hufanya hivyo lakini nnaona si sahihi kuwaita majinni na siamini kama wanaweza kukusaidia kwani majinni yamewekewa mipaka baina yao na binaadam na ukiona jinni linaitwa na kuja na kuivuka mipaka iliwekewa basi huyo ni asi na anachofanya ni kinyume na matarajio. Wanaweza kukudanganya tu ili uepukane na njia za Mwenyeezi Mungu na kuanza kutegemea viumbe. Ni shirki.

Madhara ya kuita majinni ni mengi sana mojawapo na kubwa zaidi ni la kufanya shirki. Hasamehewi mwenye kufanya shirki.

Ushauri wangu ni kuwa binaadam tumeumbwa na uwezo mkubwa kuliko viumbe vingine vyovyote na sisi ni Ma khalifa (viongozi) basi kwanini tuanze kutumia viumbe wengine ambao ni "inferior" kwetu? Na kwanini tujiingize kwenye shirki?

Tuepukane na mambo tusiyoyaelewa vizuri na tujikite kwenye ibada na kusoma sana tutaelewa uwezo wetu kuwa ni mkubwa kuliko wa majinni.
 
Yeyote ambae anamkufuru Mwenyeezi Mungu na kumshirikisha huyo ni kafir, iwe au asiwe Mkristo.

Sisi tunasema kama Mkristo maana yake kumfata Yesu alayhi salaam basi Waislam ni Wakristo wazuri zaidi kwani tunamfata Yesu alyhi salaam na tunaamini ni Mtume wa Mwenyeezi Mungu aliyefanya miujiza. Nnakusihi msome Yesu alyhi salaaam kwenye Qur'an na mama'ke Bibi Maryam uone Uislam unasemaje kuhusu viumbe hao watukufu.

Kula nguruwe ni haram na dhambi hata kwenye biblia, isome:

“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).

Hakuna dhambi yenye ubora. Ukiona mtu anafanya zinaa ujuwe huyo amekiuka amri za Allah na anafanya makosa.
Asante Faiza kwa ufafanuzi..majibu haya yamenifanya nikumbuke kitu flan. Kwa asili waarabu wanafuga sana ngamia kutokana na mazingira yao yalivyo (mchanga/jangwa/ukame upepo mkali n.k) na pia nafahamu ngamia hana kwato zilizogawanyika, nafahamu pia ngamia analiwa sana uarabuni. Je Quran yasemaje kuhusu ngamia? ni Halal?haram?
 
Nnaomba upitie hii link, hilo swali limejibiwa ki undani zaidi: why camel meat is allowed
 
Kinachozima moto ni kukosa "oxygen". Moto hauwezi kuwaka bila "oxygen".

Kwenye maji "hydrogen" na "oxygen" zimeshatumika (zime ungua) kwa hiyo haziwezi kuungua (kutumika) mara ya pili.

Kisayansi maji yana uwezo mkubwa wa kuhimili moto na ndiyo maana yana uzima.

Soma zaidi: How does water help extinguish fire?
Nyongeza ya swali kwa yatokanayo!!
Kwamaana hiyo maji ya baridi hayazimi sababu oksijeni yake haijaungua? Naomba kuelewa hapo!!
 
Nnaomba upitie hii link, hilo swali limejibiwa ki undani zaidi: why camel meat is allowed
asante Faiza. NImefata link sentensi interesting nimekutana nayo inasema "Camel meat might've been forbidden upon the Jews as a punishment for them" nimefatilia atiko nzima kutaka kujua context ya haya maelezo nimekosa. Kwamba kuna adhabu flan zinatolewa kwa makundi flan tu ya watu kwa kipindi flan na wengine haziwagusi? (mathalani labda wawachaga waambiwe wasinywe mbege kama adhabu lakini mbege hiyo hiyo iruhusiwe kwa wasukuma?) naomba ufafanuzi zaidi nataka kujifunza
 
Yeyote ambae anamkufuru Mwenyeezi Mungu na kumshirikisha huyo ni kafir, iwe au asiwe Mkristo.

Sisi tunasema kama Mkristo maana yake kumfata Yesu alayhi salaam basi Waislam ni Wakristo wazuri zaidi kwani tunamfata Yesu alyhi salaam na tunaamini ni Mtume wa Mwenyeezi Mungu aliyefanya miujiza. Nnakusihi msome Yesu alyhi salaaam kwenye Qur'an na mama'ke Bibi Maryam uone Uislam unasemaje kuhusu viumbe hao watukufu.

Kula nguruwe ni haram na dhambi hata kwenye biblia, isome:

“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).

Hakuna dhambi yenye ubora. Ukiona mtu anafanya zinaa ujuwe huyo amekiuka amri za Allah na anafanya makosa.
Hiyo red!; wee mama kwa nini unapenda kupotosha? na kwa madhumuni yepi?! Hivi ni kwanini hukuanzia msitari wa kwanza ili muulizaji apate ilimu isiyo goshiwa? kama ni mkweli na hupo hapa kwa mahaba ya deen yako, MMungu agizo hilo anampa nani kwa ajili ya nani? NB muulizaji huyo mama no muongo mkubwa kuhusu kuliwa nyama ya nguruwe! Mungu hapo anawaagiza Musa na Haruni wakanene na wana Israel wale nini na wasile nini! Jiulize wewe ni mwana wa israeli, ili agizo hilo likuhusu? halafu tumuulize wote atuwekee ayat hata ndani ya Koran, kwmba; Mimi yeye, na wewe Mungu katupiga pin tusile nguruwe! Mungu anakuona kwa kumzushia ff...
 
Nyongeza ya swali kwa yatokanayo!!
Kwamaana hiyo maji ya baridi hayazimi sababu oksijeni yake haijaungua? Naomba kuelewa hapo!!

Kuunguwa kwa hydrogen na oxygen ni kwa maana kuwa (imetumika) kufanya maji.

Ungeifata ile link niliyokuwekkea ungefaidi sana.
 
jaribu kuwa na uhakika kwanza .Kwani tukisema mtu anaitwa John Joseph anakuwa ni mmoja tu duniani? Hudhani kuwa hilo jina la Lisa Valentine lina mtu zaidi ya mmoja hapa duniani?

Ukweli ni kuwa hajuwi alizungumzalo na ndiyo maana hajarudi kuleta ushahidi kwa ayasemayo.
 
Naona unanikwepa kiaina.

Ujue Sisi WAISLAM tunafundishwa HIKMA kabla ya kuuliza Swali ambalo unaona baadae linaweza umiza/jeruhi Hisia za Mtu.

Unajua kwanini?

Nimetumia HIKMA kukuuliza kama Mama yako Mzazi yuhai au hayuhai, ili nikupe FAIDA ya pande zote mbili.

Labda pengine Mama ako/yako Mzazi ameshafariki Dunia, na mimi nikalenga moja kwa moja kwenye Suali, si ungejisikia vibaya sana.

Huoni hapo ningekuwa nimejeruhi hisia zako?

Nikiwa na maana, Jibu lolote ambalo ungeweza kulitoa katika Swali langu, ningekupa Faida kutokana na jibu uliloleta.

Sasa wewe nilitaka nikupe FAIDA, ambayo ingekusaidia sana Maishani mwako, na nna hakika usingenisahau kwenye maombi yako hata siku moja.

Pamoja na yote, bado nnahitaji kukusaidia.
hii khutba peleka masigid kwenye watu kama
Kama unaona hapa jamvini huwezi jibu Suali langu.

Tafadhali, naomba nijibu kwa PM ili nipate kukupa FAIDA za bure.

Hebu wewe fikiria Mimi nakupenda (No HOMO) kiasi gani.

Pamoja na yote hayo, lakini Mimi Nia yangu ya kukusaidia wewe bado ipo.

Jibu Swali

hiyo khutba peleka masgid kwenye watu kama wewe ukaambulie takbirr...Mimi mgen rejea yangu ni Yesu tu na 'ATOSHA' na amenifundisha nimjibu mpumba& kulingana na u&%mbavu asije akaonekana anayo hekima machoni pake! Ref signature yangu!...
 
Hiyo red!; wee mama kwa nini unapenda kupotosha? na kwa madhumuni yepi?! Hivi ni kwanini hukuanzia msitari wa kwanza ili muulizaji apate ilimu isiyo goshiwa? kama ni mkweli na hupo hapa kwa mahaba ya deen yako, MMungu agizo hilo anampa nani kwa ajili ya nani? NB muulizaji huyo mama no muongo mkubwa kuhusu kuliwa nyama ya nguruwe! Mungu hapo anawaagiza Musa na Haruni wakanene na wana Israel wale nini na wasile nini! Jiulize wewe ni mwana wa israeli, ili agizo hilo likuhusu? halafu tumuulize wote atuwekee ayat hata ndani ya Koran, kwmba; Mimi yeye, na wewe Mungu katupiga pin tusile nguruwe! Mungu anakuona kwa kumzushia ff...

Kwa mantiki hiyo yako basi hata Yesu hakuhusu wewe kabisa, kwani anasema:

MATHAYO
MLANGO 15
24 Akajibu,
akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
 
Yeyote ambae anamkufuru Mwenyeezi Mungu na kumshirikisha huyo ni kafir, iwe au asiwe Mkristo.

Sisi tunasema kama Mkristo maana yake kumfata Yesu alayhi salaam basi Waislam ni Wakristo wazuri zaidi kwani tunamfata Yesu alyhi salaam na tunaamini ni Mtume wa Mwenyeezi Mungu aliyefanya miujiza. Nnakusihi msome Yesu alyhi salaaam kwenye Qur'an na mama'ke Bibi Maryam uone Uislam unasemaje kuhusu viumbe hao watukufu.

Kula nguruwe ni haram na dhambi hata kwenye biblia, isome:

“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).

Hakuna dhambi yenye ubora. Ukiona mtu anafanya zinaa ujuwe huyo amekiuka amri za Allah na anafanya makosa.

Tuliokoka [tuliomkubali Yesu kama bwana na mwokozi] hatupo chini ya sheria tena. Wala hatufungwi na sheria, sisi tunaamini Yesu ni mkombozi ulimwengu [mwanadamu]

Yesu amemaliza yote pale cavalry, kupitia Yesu mwanadamu amepata msamaha Wa dhambi
 
Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuwawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.
Kumbukumbu 24.16
 
FaizaFoxy said:
Kwa mantiki hiyo yako basi hata Yesu hakuhusu wewe kabisa, kwani anasema:

MATHAYO
MLANGO 15
24 Akajibu,
akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Fichaga uzwazwa wako, nikufundishe sasa na uhifadhi bibie kwamba Ujio wa Yesu duniani ulikuwa na Ratiba yake, kwanza isaya 49:6-7 Kisha baada ya hapo @Mt 28:18-20 pamoja na kunukuu ayat za Kitabu ambazo zinakufunua kwamba wewe ni kafir, Yuda .1:3-4 umelaaniwa, GAL 1:6-9 mpinga Kristo, @1Jn:22-23 una wazimu wa maswali, @1Tim6:3-6 makazi yako jehannam @Uf 14:9-12 halafu mshipa wa fedheha ulivyo jifia una kiwao eti kitetee ukafir wako! weka Ushahidi humu zaidi ya wana Israel wapi Mungu kapiga pin nyama ya nguruwe isiliwe?
TMPDOODLE1481105833619.jpg
TMPDOODLE1481105833619.jpg
 
hiyo khutba peleka masgid kwenye watu kama wewe ukaambulie takbirr...Mimi mgen rejea yangu ni Yesu tu na 'ATOSHA' na amenifundisha nimjibu mpumba& kulingana na u&%mbavu asije akaonekana anayo hekima machoni pake! Ref signature yangu!...
Nimesema HIKMA, sikusema KHUTBA.

Au wewe mwenzangu huelewi nini maana ya HIKMA!

Hivi hizo Shule mnaenda kusomea ujinga? (Kwa sauti ya Bibie FAIZA).

Jibu Swali
 
We ni faiza?
Sote tumekaribishwa kujadili, na kujibu Masuali.

Hiyo ndio faida ya kujumuika, na kukutana.

Hebu tuliza Akili yako, kisha soma Mada husika kwa uzuri, na utafakari, halafu uje kuniambia kosa langu liko wapi?

Hivi hizo Shule mlienda kusomea ujinga? (Kwa Sauti ya Bibie FAIZA)
 
Back
Top Bottom