We ni faiza?Kwa upande wangu sioni tatizo.
Kwakuwa, ninapokosea napenda sana kukosolewa ili nipate kujifunza zaidi.
Na kumbuka katika/kwenye Maisha kila siku tunajifunza.
Kwahiyo, kama inatokea Mtu kukukosoa pale unapokosea, ulipokosea, Shukuru sana.
Hebu fikiria Mtu anapoteza Muda wake kukurekebisha.
Ujue huyo Mtu anakutakia mema.
Kwa Mtu mwerevu hapo hawezi kusema au kuhisi anaumbuliwa, bali unasahihishwa.
Na kama utakifanyia kazi unachosahihishwa nakuahidi hiyo ni hatua moja kubwa sana