Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
Hakuna unyanyapaa bali ndio utaratibu wa ibada usiromokweKwa nini waislamu mkaamua kuwanyanyapaa wanawake wenye hedhi? Kwani wao kosa lao ni nini haswa mpaka wasiruhusiwe kufanya sawa ya jumla kama watu wengine?. Na pia mbona mkisali mnawaweka nyuma?? Au ndio hivyo tena mnaogopa kuu face mzigo
Kwa nini waislamu mkaamua kuwanyanyapaa wanawake wenye hedhi? Kwani wao kosa lao ni nini haswa mpaka wasiruhusiwe kufanya sawa ya jumla kama watu wengine?. Na pia mbona mkisali mnawaweka nyuma?? Au ndio hivyo tena mnaogopa kuu face mzigo
Je ni kweli RC Makonda anacheti feki?General Knowledge.
Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.
Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.
Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.
Update 1:
Tafadhalini tuulize maswali kiheshima . Heshima ni kitu cha bure na hii JF yetu pendwa inasomwa na wengi, tujiheshimu.
Update 2:
Siku kadhaa zimepita toka tuanzishe uzi huu na nimesikitishwa na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye huu uzi.
Tumetowa fursa ya kuulizana na kila niwezapo kujibu au kutafuta majibu muafaka kutokana na hayo maswali na fursa ya wachangiaji kujibu maswali yatakayojitokeza ya "general knowledge" lakini hadi hii leo ni maswali machache sana yenye faida kwa wengi yameulizwa. Maswali yaliyojaa ni amma ya kutaka kuanzisha ubishi "ligi" na amma yamelenga mtu binafsi, hususan amelengwa mleta mada. Ni masikitiko makubwa sana.
Nnawashauri wote waliouliza maswali yenye kulenga binafsi na wale waliouliza maswali yenye kubomoa badala ya kujenga wabadilike na waanze kuuliza maswali yenye kujenga, kuelimisha, kutujaza hekima na maarifa.
Nilipoweka aina ya elimu niliyoisomea nilidhani ntakumbana na kibano kikali kuhusu hilo na nijibu ili iwe faida kwa wengi lakini kwa bahati mbaya au nzuri hakuna hata mmoja aliyeuliza swali lolote kuhusu hilo.
Isitoshe, mna fursa ya kuuliza kuhusu chochote. Ndege, mimea, dunia, sayari, nyota, maajabu, maswali yasiyokuwa na majibu, viumbe kwa ujumla vinavyojulikana na visivyojulikana, maajabu ya duniani, elimu na vitu vingi kama hivyo na vinginevyo.
Nnauhakika wale walioleta maswali ya kiajabu ajabu ya ubishi wana mengi sana ya kuuliza yanayoweza kuwapa faida wengi na kuna wengi kati yao wana mengi wanayajuwa na wanaweza kuchangia kwenye majibu kwa faida ya wengi.
Ombi langu kwa wote ni tuboreshe aina ya maswali na majibu.
Karibuni.
acha chuki binafs kama kuna sehemu amekosea si useme amekosea wapi hakuna binaadamu anaejua kila kitu au asiyekosea pale anapokosea msahihishe au msaidie kujibu lengo ni kujenga siyo kubomoa kama unavyofanya ww acha chuki mkosoe anapokoseaAcha ujuaji na ufute uzi bibi hakuna unachokijua
Nipe maana ya maneno yafuatayo 1.Maji 2. Chakula 3. Sahani 5. Mbinja. Jibu alaf tuendelee na darasa huru la faiza foxy
Hata ueleweki we bibi?Sina sababu ya kumchukia Nyerere kama Nyerere wala sina sababu ya kumpenda.
Naweza kukusaidia kuwapa majibu??1. Maji
- Maji / woreda ni mji uliopo Kusini Magharibi ya Ethiopia.
- Maji, kijiji kimoja cha huko Iran
- Maji, jina la ukoo huko India.
- Maji, lugha ya Kioma huko Ethiopia pi inajulikana ka lugha ya Dizin.
Pia kama ujuavyo kwa Kiswahili inamaanisha nini.
2. Chakula
- Chakula ni kile kinacholiwa na watu kwa kudumisha maisha yao. Mwili unahitaji virutubishi, nishati na maji. Haya yote hupatikana katika chakula.
Soma zaidi: Chakula - Wikipedia, kamusi elezo huru
- Kijana ambae si riziki.
3. Sahani
- Ni neno llililotokana na Kiarab "sahan" likimaanisha cha kuandalia chakula.
- Jina la ukoo la India, maarufu mwenye jina hilo , Kidar Nat Sahani - Aliyewahi kuwa Gavana wa jimbo la Sikkim na Goa huko India.
Mengine ntaendelea baadae.
Yeah. Swali langu hili halikujibiwa mpaka leo. Mwenye jibu tafadhali. Napenda sana kujua jibu lake sahihi.Haya madai kwamba Mwislamu akifa katika kuupigania Uislamu (mf. Kwa kujitoa mhanga maisha yake) anakwenda akhera na anakabidhiwa mabikra 72 wasiomaliza ubikra na kuwafaidi milele na milele ni ya kweli na yana misingi yo yote katika Uislamu au ni porojo tu za makundi haya ya kigaidi yanayotumia Uislamu kama mwamvuli wake? Madai haya yamo katika Quran tukufu au katika hadithi za Mtume?
Haya madai kwamba Mwislamu akifa katika kuupigania Uislamu (mf. Kwa kujitoa mhanga maisha yake) anakwenda akhera na anakabidhiwa mabikra 72 wasiomaliza ubikra na kuwafaidi milele na milele ni ya kweli na yana misingi yo yote katika Uislamu au ni porojo tu za makundi haya ya kigaidi yanayotumia Uislamu kama mwamvuli wake? Madai haya yamo katika Quran tukufu au katika hadithi za Mtume?
Sio waislamu walioamua hivyo unavyoona kunyanyapaliwa wanawake bali ni sheria aliyoileta Allah mwenyewe muumba wa hao wanawake.Kwa nini waislamu mkaamua kuwanyanyapaa wanawake wenye hedhi? Kwani wao kosa lao ni nini haswa mpaka wasiruhusiwe kufanya sawa ya jumla kama watu wengine?. Na pia mbona mkisali mnawaweka nyuma?? Au ndio hivyo tena mnaogopa kuu face mzigo