1. Maji
- Maji / woreda ni mji uliopo Kusini Magharibi ya Ethiopia.
- Maji, kijiji kimoja cha huko Iran
- Maji, jina la ukoo huko India.
- Maji, lugha ya Kioma huko Ethiopia pi inajulikana ka lugha ya Dizin.
Pia kama ujuavyo kwa Kiswahili inamaanisha nini.
2. Chakula
- Chakula ni kile kinacholiwa na watu kwa kudumisha maisha yao.
Mwili unahitaji
virutubishi, nishati na maji. Haya yote hupatikana katika chakula.
Soma zaidi:
Chakula - Wikipedia, kamusi elezo huru
- Kijana ambae si riziki.
3. Sahani
- Ni neno llililotokana na Kiarab "sahan" likimaanisha cha kuandalia chakula.
- Jina la ukoo la India, maarufu mwenye jina hilo , Kidar Nat Sahani - Aliyewahi kuwa Gavana wa jimbo la Sikkim na Goa huko India.
Mengine ntaendelea baadae.