Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa majibu mazuri na ya kina.Swali moja la nyongeza na la mwisho kuhusu wafanyakazi hewa.Ndugu yetu RC Bashite alilivalia njuga suala la watumishi hewa na wengi wakafukuzwa bila huruma.Leo kuna tuhuma kuwa Bashite nae ni mtu aliyeghushi hati zake za elimu.Ni kwa nini hajatenguliwa au kuna matabaka Tanzania?
Naunga mkono hoja.Bashite aachwe.Hili zoezi lililenga walala hoi.Hapana, hajatuhumiwa. Mtuhumiwa anapelekwa mahakamani.
Dada Faiza Foxy hoja zako siku zote ni dhaifu sana.Tuhuma zingekuja kabla ya kutangaza kuanzisha vita dhidi ya madawa ya kulevya ningekuelewa.
Uliwahi kuona vita ya upande mmoja?
Dada Faiza Foxy hoja zako siku zote ni dhaifu sana.
1.Hakukuwa na vita dhidi ya madawa ya kulevya.Lengo lilikuwa ni kuwachafua watu kwa kuwabambika kesi.
2.SUALA la kutangazwa majina ya watu bila ya kuwa na ushahidi limeshapigwa marufuku na Kamishna wa mihadarati na halikuwa na tija.
3.Hakuna hata mmoja aliyetajwa ambaye amefungwa
4.Tulisikia wafanyakazi wa Clouds wakilalamika kuwa Bashite alitishia kuwabambika kesi ya mihadarati iwapo wasingefanya anayotaka.
5.Watu wanyonge kibao wameendelea kufukuzwa na kushtakiwa kwa kughushi vyeti.Au tuna matabaka?Au wengine wapo juu ya sheria?
Mwenyekiti TUGHE kortini kwa kugushi
Sodoka, Diwani wa zamani wa CCM katika Manispaa ya Moshi, alifikishwa mahakamani jana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kugushi vyeti.
Soma zaidi: http://www.mwananchi.co.tz/habari/M...wa-kugushi/1597578-3888186-sk4pn9z/index.html
Wabantu ni akina nani katika vitabu vya dini?Hata Kikwete mlimwita dhaifu, leo mnamtamani.
Mambo ya kikwete yanatoka wapi tena?Hata Kikwete mlimwita dhaifu, leo mnamtamani.
😳 😳 😳 😛 😛 😛 😛 😛 😛Hizi pesa tunazozishika siku zote kwani hakuna zinazopita kwa wauza "kiti moto"?
Naam, nnaweza. Si imeoshwa.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ninataka kushawishi, JF members wote wawe verified users kwa maana watumie majina yao halisi. Je,utaniunga mkono? Au una maoni gani.
Faiza please,what is mind body problem and how can stress illustrates this??? lol
Asante.Hilo nililiunga mkono zamani, nisome hapa: https://www.jamiiforums.com/threads...s-ushauri-kwa-uongozi-wa-jamiiforums.1166345/
Asante.
Mabadiliko yaweza kuanza na mtu mmoja! Naomba uanze,nami nikuunge mkono,then tushawishi wengine. Hapa nieleweke kuwa nina maana nzuri ya ninachotaka kukishawishi. Baada ya kupitia kwa umakini thread yako hii na nyingine nimegundua jambo. As you are potential in several social aspects, I believe the "powers" can push you to a stage! At that "stage", no doubt the mass is going to reap your positivity with minimal risks. As it is now, who is FaizaFoxy? Why Foxy and not Athumani that we used to hear? And by supporting her can't I get into trouble? Who will rescue me? She is not known! All this comes about when using false IDs. Be informed even the "powers" are interested with your articles at hand!!