Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Mambo ya kikwete yanatoka wapi tena?
Tunajadili Bashite na vita yake ya kusadikika ya mihadarati unaleta Kikwete?
Any way nikushukuru kwa chit chat.

Si ya kusadikika, ni vita kweli. Sema approach yake sikukubaliana nayo toka mwanzoni.

Kasome nilichokijibu kuhusu Kikwete.

Kikwete ni kiongozi wa kupigiwa mifano daima, hatutamsahau.
 
Unfortunately many theories behind stress are being discussed everywhere in this fast moving life we are into in this age and time.

Fortunately in Islam we have a solution.

Simply five times a day prayers are the best ever solution of stresses, fatigue, anger and many other mind related illnesses.

Take wudhu and offer your prayers, the tranquility and felocity you experience since the time you take wudhu until you finish your prayers is unmatched and miracle indeed.

Try it you'll like it.
faiza bana, mwenzio natakiwa niandike paper
 
Hahahahaha, si ungesema hivyo basi.

Bofya hapa, utakumbana na papers na citations kibao kuhusu "mind, body and stress": BOFYA

Paper yako ukiiweka na solution hiyo niliyokuwekea inayopatikana kwenye Uislam pekee ingefana kweli.
 
Si ya kusadikika, ni vita kweli. Sema approach yake sikukubaliana nayo toka mwanzoni.

Kasome nilichokijibu kuhusu Kikwete.

Kikwete ni kiongozi wa kupigiwa mifano daima, hatutamsahau.
Leo kwa mara ya kwanza tupo pamoja.Mbinu zilizotumiwa na Bashite katika vita vya mihadarati ni mbovu sana.Na kuna tetesi alikuwa ana bambika watu watu kesi.Sio siri kuwa wakati wa Kikwete tulikuwa na amani sana na demokrasia ilishamiri.

Leo nina swali la kijamii.Nimekutana na binti mrembo.Nimempenda.Ni mkenya.Ila kwa bahati mbaya ana mchumba wake kwa miaka miwili sasa.Ila huyo mchumba amekuwa akimsaliti na wanawake tofauti tofauti.Binti hajui amchague nani kati ya mimi na huyo bwana.
JE unanishauri nifanyaje?
 
Kaoe.
 
Hahaha...asante.Ngoja nimalizie kujenga nyumba yangu kwanza.
Duh eti kaoe!kaka nikusaidie,wanawake wanaoweza kujigawa kwa wanaume wawili mie huwa nna mashaka nao,kama kaweza kuwa na wewe wakati ana mwanamme hata kama anadai anam cheat,huyo si mtu wa msimamo.
Kama kweli anataka kuwa na wewe amalizane kwanza na wa zamani ndio aanze na wewe.Kama hajui wa kuchagua huyo ni msanii, basically she is greedy!she wants to have her cake and eat it. Anaweza hata akaongeza mwengine mkawa watatu.Ova!
 
Kwa nini unapenda kutumia haya maneno[emoji116][emoji116][emoji116]

"Huko shule ulienda kusomea ujinga?"
 
Nyumba ndiyo inayooa au wewe?
Mwanamume kabla ya kuoa ni lazima uandae mazingira kwa familia.Ndio jukumu namba moja la mkuu wa kaya.SIWEZ kuoa alafu nimpeleke binti wa watu nyumba ya kupanga.

Ila binti tayari ana mtoto alizaa na mtu hapo awali.Na ni daktari bingwa wa akina mama.
JE kuna hatari yoyote kuoa mwanamke mwenye mtoto?
 
Duh eti kaoe!kaka nikusaidie,wanawake wanaoweza kujigawa kwa wanaume wawili mie huwa nna mashaka nao,kama kaweza kuwa na wewe wakati ana mwanamme hata kama anadai anam cheat,huyo si mtu wa msimamo.
Kama kweli anataka kuwa na wewe amalizane kwanza na wa zamani ndio aanze na wewe.Kama hajui wa kuchagua huyo ni msanii, basically she is greedy!she wants to have her cake and eat it. Anaweza hata akaongeza mwengine mkawa watatu.Ova!
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja.Saa zingine Faiza Foxy anatoa ushauri wa kumuingiiza mtu chaka.

Kimsingi ata mimi nahofia tunaweza kuwa zaidi ya wawili.
 
Yote kheri tu.

Hakuna athari kuoa mwanamke mwenye mtoto mradi mtoto umlee na kumpenda, wa mkeo ni wako.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja.Saa zingine Faiza Foxy anatoa ushauri wa kumuingiiza mtu chaka.

Kimsingi ata mimi nahofia tunaweza kuwa zaidi ya wawili.

Mkioana si ndiyo unahakikisha kuwa ni wewe tu.
 
Duh eti kaoe!kaka nikusaidie,wanawake wanaoweza kujigawa kwa wanaume wawili mie huwa nna mashaka nao,kama kaweza kuwa na wewe wakati ana mwanamme hata kama anadai anam cheat,huyo si mtu wa msimamo.
Kama kweli anataka kuwa na wewe amalizane kwanza na wa zamani ndio aanze na wewe.Kama hajui wa kuchagua huyo ni msanii, basically she is greedy!she wants to have her cake and eat it. Anaweza hata akaongeza mwengine mkawa watatu.Ova!

Think logically.

Hata angekuwa na kumi lakini kakubaki kuoana na wewe inamaanisha wewe ndiye "the special one".

Isitoshe, wewe kama mwanamme utajidhihirisha vipi uanaume wako kama unaogopa ku compete na wanaume wenzio?
 
Ndio maana nikaandika kuwa inabidi huyo mwanamke amalizane na huyo bwana wake wa kikenya ndipo awe na jamaa.kwenye mapenzi hamna competition,ni makubaliano tu.someone once wrote "love is not a favour,never beg for it.Never beg for something you will need forever,otherwise you will end up being a permanent love beggar!Anything you acquire through begging will need begging to mantain.
 
Oaneni achaneni na ujinga wa I love you I love you kabla ya ndoa, mapenzi ya kweli huja baada ya kuoana na kabla ya hapo ni kujidanganya tu.
 
Unfortunately many theories behind stress are being discussed everywhere in this fast moving life we are into in this age and time.

Fortunately in Islam we have a solution.

Simply five times a day prayers are the best ever solution of stresses, fatigue, anger and many other mind related illnesses.

Take wudhu and offer your prayers, the tranquility and felicity you experience since the time you take wudhu until you finish your prayers is unmatched and its a miracle indeed.

Try it you'll like it.
Nmepnda sana jibu lako kwani ni ukweli mtupuu.
 
hello Faiza,

is obesity genetic??? if yes,WHY??? if not genetic WHY?

is obesity influenced by environmental causes??, if yes WHY ,if not environmental WHY??

is obesity caused by both enviroment and genetics?,if yes, WHY,if not WHY?
 
General Knowledge.

Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.

Utatupatia majibu 'Murwa' au Murua?
 
Back
Top Bottom