FaizaFoxy kwa nini wapenda kuumbua watu haswa wanapokosea kiswahili?
unaffikiri ni kwa nini wanajamii forum wanapenda kukushambulia haswa kwenye swala la udini?
kwa nini wewe ni mkali?una stress?how old are you?
Hujasoma Bible neno la uzimaKasome post namba 43.
Licha ya hiyo, kuna kozi nyingi sana na seminar nyingi sana za taaluma mbali mbali nimepitia sehemu nyingi duniani. Lakini katika yote hayo hakuna taaluma niliyoipata zaidi na iliyonifunguwa ubongo na macho kama Qur'an, kusafiri na kujisomea mwenyewe kila nnapopata nafasi.
Hii sio kwa talaka 3.Njia nyepesi ya kukomboa Talaka ambayo weengi huifanya ni kufanya tendo la ndoa! Yaani ukifanya tendo La ndoa na mwanaume aliyekupa talaka unakua umerudiana nae automatically
Mkuu mbona ufafanuzi kwenye hili hutoi.. Am waitingKatika taaluma (siyo rasmi) nilizowahi kusoma ni kuwa, unazaliwa mwanamke siku mama alipopata mimba aliwahi kufika na unazaliwa mwanamme siku baba aliwahi kufika.
Naomba ufafanuzi kwenye hili mkuu
Ukinisoma vizuri, mara nyingi huwa nnasahihisha inapokosewa pa kuwekwa herufi ya R na L. Inanikera.
Mimi si mtaalam wa Kiswahili isipokuwa ndiyo lugha mama kwangu.
nmeona niulize hili
ukifungua account ya dolla au pound nikawa naweka dola 100 kila mwezi kwa muda wa miaka mitano je unaamini dola itashuka au shilingi itapanda thamani?
Je wewe una msimamo gani? na makundi haya ISIS, ISIL, BOKO HARAM, AL SHABAB, AL QAEDA kwa sababu unaonekana mwenye msimamo huo
Daah [emoji86] ...Hongera aisee.Nna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in Telecommunications (Canada, 1982).
Mara kwa mara tumekuwa na kusikia neno JIHAD likihusishwa na kuwafanyia mambo ya kikatili dhidi ya binadamu wenye imani tofauti na imani ya Kiislam..
Naomba kujuzwa yafuatayo kulihusu neno JIHADI:-
1. Maana ya neno JIHAD, asili na malengo yake ni ipi.?
2. Je, JIHAD ina faida / hasara, kama ina faida ni zipi na kama hasara ni zipi?
3. Ni watu wa aina gani wanapaswa kutekeleza JIHAD au ni kwa mtu yeyote yule?
4. Nitaitofautisha vipi JIHAD na Ugaidi?
Mwisho; Lengo kuu la JIHAD ni lipi katika huu ulimwengu?
Ni kichwa huyu bibiYaani hapa jf kwa huyo faiza hata tualikane members wote majukwaa yote tuanze kubishana nae wote mtaomba poo, Kwanza nachompenda faiza haongei bila ushahidi, Kila kitu atakupa kwa ushahidi labda ulete ubishi wako tu, huyu ni mmoja wa member wachache sana nnao wakubali hapa
Unaona sasa....!! Hapa umeuliza vizuri kabisa lakini kwa ule uulizaji wako wa awali; hapakuwa na namna nyingine zaidi ya kukupa maandiko!!!!!Faiza, hujajibu swali langu, nimeuliza hivi 'who are the real children of Israel?'' labda nizungumze ninachohitaqji, kuna uvumi kwamba waisrael wa leo sio wale waliotajwa kwenye vitabu vitakatifu na kwamba waliopo wamepachikwa na marekani kulinda interests zake pale middle east, sasa wenyewe ni wepi. Nadhani sasa utanijibu
Sina ubia na FF katika huu uzi lakini next time unapouliza kama ulivyofanya hapa; unatakiwa ku-quote hilo swali ambalo uliuliza manake kwa jinsi ulivyouliza; unatarajia jibu gani zaidi ya "jibu la swali lipi?!" Manake sioni ni namna gani ataanza kurudi nyuma kutafuta hilo swali!!!Lile jibu langu vipi?