Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Ufaulu unaletwa na NECTA??

ebu leta ushahidi kuwa wanafelishwa na NECTA.

na sio kutumia itikadi.
wewe the book ebu angalia taswira nima kwa sasa ya wizara ya elimu huyu mama hafai mimi ni mkristu ila kwa kwer huyu mama fitina zake ana mengi ya kuya jibu baada ya umauti wake je ni haki kuwabadilishia ufaulu vijana wa kidato cha sita baada ya mtihani si haki hata sekunde pili swala la mikopo ana ruka ruka tu kwa hili namuunga mkono kabisa faiza foxy juu ya figisu zake pale necta ila atmbue kila kitu kina mwisho wake ........
 
Abubakar wapo wengi, lakini kama unamaanisha Abubakar Abdallah Bin Quhafah As-Siddiq, huyu alikuwa ni swahaba na baba mkwe wa Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam kwa Bi Aisha na pia alikuwa Muislam wa kwanza kutangaza wazi Uislam wake wakati wa Mtume nje ya familia ya Mtume.

Licha ya hayo, pia alikuwa ni mshauri muaminifu wa Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam na kaja kuwa kiongozi mkuu (khalifa) wa Waislam wa kwanza baada ya Mtume.
HUYO HUYO MAMA JE NI KWELI UKOO WAKE NDO UNATAWALA SAUDIA LEO?
 
wewe the book ebu angalia taswira nima kwa sasa ya wizara ya elimu huyu mama hafai mimi ni mkristu ila kwa kwer huyu mama fitina zake ana mengi ya kuya jibu baada ya umauti wake je ni haki kuwabadilishia ufaulu vijana wa kidato cha sita baada ya mtihani si haki hata sekunde pili swala la mikopo ana ruka ruka tu kwa hili namuunga mkono kabisa faiza foxy juu ya figisu zake pale necta ila atmbue kila kitu kina mwisho wake ........
Mkuu,hata kwangu hafai ila sio kwasababu za 'kidini'.!!!!
 
Mara kwa mara tumekuwa na kusikia neno JIHAD likihusishwa na kuwafanyia mambo ya kikatili dhidi ya binadamu wenye imani tofauti na imani ya Kiislam..

Naomba kujuzwa yafuatayo kulihusu neno JIHADI:-

1. Maana ya neno JIHAD, asili na malengo yake ni ipi.?

2. Je, JIHAD ina faida / hasara, kama ina faida ni zipi na kama hasara ni zipi?

3. Ni watu wa aina gani wanapaswa kutekeleza JIHAD au ni kwa mtu yeyote yule?

4. Nitaitofautisha vipi JIHAD na Ugaidi?

Mwisho; Lengo kuu la JIHAD ni lipi katika huu ulimwengu?
 
Sina chuki na Joyce Ndalichako bali nnauhakika si kiongozi mzuri, alivurunda kama mkuu wa NECTA mpaka baadhi ya Waislam wa Tanzania wakaandamana kumkataa. Jikumbushe:

DSC08684.jpg
Wewe ni mtetezi wa waislamu au wananchi wote
 
iyo avatar ndio wew mwenyew?

Hapana, si mimi, huyo ni Lisa Valentine na nimempenda sana msimamo wake nilipokisoma kisa chake, jisomee:

Judge Throws Muslim Woman In Jail For Refusing To Remove Headscarf In Court
In the past eight days, a judge in Georgia has sparked controversy after barring two Muslim women wearing Islamic headscarves from entering his courtroom, and landing one of them behind bars. Now, he has prompted an inquiry from the civil rights officer at the U.S. Department of Justice.

Judge Keith Rollins of Douglasville, Georgia reportedly ordered 41-year-old Lisa Valentine to jail after she refused to remove her scarf before entering the courtroom. Judge Rollins pointed to rules that governed appropriate dress as listed by the state.

This is not the first time Rollins had made the controversial call. Last week, Sabreen Abdulrahmaan was forced to leave his court before her son’s probation hearing because she would not remove her scarf.

Valentine was handcuffed by security and sentenced to 10 days in jail when she declined to defend her actions at the security checkpoint, her husband Omar Hall reports.

“It’s an issue of religious freedom,” Ibrahim Hooper, a spokesman for the Council on American-Islamic Relations old reports. “It’s an issue of access to the American legal system.”

Soma zaidi: Judge Throws Muslim Woman In Jail For Refusing To Remove Headscarf In Court - World Politicus
 
Kasome post namba 43.

Licha ya hiyo, kuna kozi nyingi sana na seminar nyingi sana za taaluma mbali mbali nimepitia sehemu nyingi duniani. Lakini katika yote hayo hakuna taaluma niliyoipata zaidi na iliyonifunguwa ubongo na macho kama Qur'an, kusafiri na kujisomea mwenyewe kila nnapopata nafasi.
Maa Sha Allah..
 
FaizaFoxy tunaomba analysis yako, nini hitma ya Tanzania iwapo Trump akichukua nchi?
Tayari USA baby wameshatukatia msaada wa Millennium Challenge Goal pamoja na msaada wa madawa uliokuwa ukipitia USAID.
Mpaka sasa Donald Trump anaongoza kwa kura 244 dhidi ya 214 za Hilary Clinton


Khatima ya Tanzania ni Allah pekee mwenye kuijuwa, mimi nnaamini kwenye ghaib lakini si mjuzi wa ghaib.

Kuhusu kukatiwa misaada nnauhakika hiyo ni "blessing in disguise" kwetu. Siamini kama misaada inakuja kwa kuwa tunapendwa sana au tuna shida sana.

Iwe Trump au Clinton yeyote atakaeshika kwetu ni sawa tu, wana sheria na kanuni zao kuhusu mambo ya nje ya nchi yao.
 
Back
Top Bottom