Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Wewe ni mtetezi wa waislamu au wananchi wote
Candidate index number za wakristo zimeandikwa kwa kikristo na za waislamu zimeandikwa kiislamu !!!??? Hivyo kurahisisha kufelishwa waislam !!!?? Ujinga na uzezeta ni kama bahari kwa baadhi ya viumbe !! Sijajua kwa upande WA wanadamu !!!!
 
Wambieni watoe mikopo kwa wanafunz ao mnaoona viongoz bora
 
Candidate index number za wakristo zimeandikwa kwa kikristo na za waislamu zimeandikwa kiislamu !!!??? Hivyo kurahisisha kufelishwa waislam !!!?? Ujinga na uzezeta ni kama bahari kwa baadhi ya viumbe !! Sijajua kwa upande WA wanadamu !!!!
Kwanini walisema kompyuta imekosea na kurudisha points za Waislam, baada ya maandamano?
 
Candidate index number za wakristo zimeandikwa kwa kikristo na za waislamu zimeandikwa kiislamu !!!??? Hivyo kurahisisha kufelishwa waislam !!!?? Ujinga na uzezeta ni kama bahari kwa baadhi ya viumbe !! Sijajua kwa upande WA wanadamu !!!!
How FaizaFoxy?
 
Candidate index number za wakristo zimeandikwa kwa kikristo na za waislamu zimeandikwa kiislamu !!!??? Hivyo kurahisisha kufelishwa waislam !!!?? Ujinga na uzezeta ni kama bahari kwa baadhi ya viumbe !! Sijajua kwa upande WA wanadamu !!!!
Kuandikwa kwa kikristo su Kiislam kukoje, hizi si lugha!
 
Unaweza kunipa kipande cha shamba kati ya mashamba yako yale
 
Kwanini wengi wenu ni magaidi?
Kwanini bado unaipenda ccm na walikuzalisha wakakuacha?
 
ni kweli chadema inakoelekea inaweza kikawa chama cha kigaidi maana kimeshindwa uchaguzi zaidi ya mara 5
 
Si kweli.

Uislam haufundishi ugaidi wala haufungamani na kundi lolote la kigaidi.

Uislam unafundisha:


Qur'an 5:
32. Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.

33.Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.
mbona magaidi ya ISIS HUWA YANASOMA KURAN KABLA YA KICHINJA WATU?
 
Abubakar wapo wengi, lakini kama unamaanisha Abubakar Abdallah Bin Quhafah As-Siddiq, huyu alikuwa ni swahaba na baba mkwe wa Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam kwa Bi Aisha na pia alikuwa Muislam wa kwanza kutangaza wazi Uislam wake wakati wa Mtume nje ya familia ya Mtume.

Licha ya hayo, pia alikuwa ni mshauri muaminifu wa Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam na kaja kuwa kiongozi mkuu (khalifa) wa Waislam wa kwanza baada ya Mtume.
Abdurahmaani bin abii Kuhaafa
 
Mkuu samahani..wewe ni Faiza Foxy?...
Rejea kichwa cha habari
Kwani wewe umekuja kurejea kichwa cha Habari au umekuja kujibu hoja? Kwaiyo kwa kua mimi sio faiza hata Faiza akijibu kwa kupotosha tukubali tu! Sasa Faiza kasema Ndalichako na baraza la mitihani lilifelisha waislam je wewe unakubali? Toa maoni yako
 
Mbona walikiri kuwa eti waliweka wrong command kwenye kompyuta ndiyo ikawafelisha?

Au hawajuwi kuwa wengine tunaelewa kuwa kompyuta ni dumb na itafanya utavyoiamrisha ifanye (program).

Walvyokiri hilo kosa nani alikuwa mkubwa wa NECTA? Na kwanini kwanza alikataa?

Unafikiri zile habari watu waliota kama anavyoota Lema? For your information, zilivuja kutoka hukohuko kwa Ndalichako ndiyo zikajulikana.
mnafundishana karate ndii mtegemee mtafaulu? endeleen kusubiri meli airport
 
Je ni kweli wewe FaizaFoxy una support TOHARA kwa WANAWAKE? na je, wewe ULIKEKETWA ukiwa na umri gani!?

NB: Nimeongea kutokana na experience, kuna post yako ulisema raha ya "K" iliyokeketwa ni murua sana!
 
Unalichukuliaje swala la wanafunzi wengi waliomaliza kidato cha sita mwaka huu na wanaoendelea na masomo kukosa mikopo au kupata kiasi kidogo kisichokidhi mahitaji tofauti na miaka mingine iliyopita?

Unahisi kwamba kigezo cha mwanafunzi kusomea shule ya binafsi (either a'level, o'level au kote, bila kujali kama amepewa ufadhili) ni sahihi kuzingatiwa ili mwanafunzi aweze kukopeshwa? (Kwa maana ndicho kigezo kikuu ambacho bodi ya mikopo wametumia)

Je umelifurahia jambo hilo au limekusikitisha na kwanini?

Je una maoni gani au ushauri upi kwa serikali ya ccm kuhusiana na jambo hilo?
 
1- Jihad ni kujitahidi. Kwa Muislam anatakiwa ajitahidi katika kila jambo alifanyalo. Iwe kusoma, kufanya kazi, kufanya biashara, kulingania mema na kukataza mabaya. Kwa kifupi, kila tulifanyajo tuwe tunajitahidi sana kulifanya katika njia zilizo bora na tulizowekewa wazi na Allah.

2. Jihad kwa maana hiyo kwenye namba moja, ina faida kubwa sana.

3. Kwa mtu yeyote yule ni lazima awe na jitihada kama ilivyo kwenye namba moja hapo juu.

4. Jihad ni kujitahidi, ugaidi ni "terror" kutisha watu (nielewavyo mimi).

Lengo kuu la Jihad ni kuwa na maisha bora kama uonavyo kwenye namba moja.
jihadi n ugaidi kadanganye wajinga waloishia LA 3 wachexa judo
 
Back
Top Bottom