Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba unisaidie kuhusu ufugaji wa nguruwe na masoko yake
Nnaogopa kuvunja sheria za nchi.Hayupo a maswali au darasa...
Okay mie naanza.
Faiza, ni kitu gani unakiogopa mno hapa duniani ukiacha muumba wako.
Swali jingine.. ni tukio gani la kijasiri ushawahi lifanya na hutolisahau
MashaallahSi kweli.
Uislam haufundishi ugaidi wala haufungamani na kundi lolote la kigaidi.
Uislam unafundisha:
Qur'an 5:
32. Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.
33.Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.
Hapa nimefurahi sana.Sasa vitani ulitaka wabebe nini, ruler?
Calgary ndio wapSasa hivi nipo Calgary lakini kwetu ni Mkuranga. Shughuli yangu kubwa kwa sasa ni kulea wajukuu.
Kwan Ukisema umeolewa kuna tatizo gan,maswali mengi hutaki kusema umeolewa bali mmeoana,labda unieleweshe hapo"mmeoanaSijaolewa isipokuwa tumeoana na mume wangu.
Nimetokea Dar na Pwani.
AlhamduliLlah, watano.
Kwa nini Waislamu wanafanya maamuzi kwa niaba ya Mungu.Kwa mfano ukikashifu Uislamu utaadhibiwa na Waislamu badala ya kumwachia Mungu.Ina maana Mungu wa Waislamu hana uwezo?
Kwan Ukisema umeolewa kuna tatizo gan,maswali mengi hutaki kusema umeolewa bali mmeoana,labda unieleweshe hapo"mmeoana
Nnakushauri tafuta mzuri mmoja muoane. Wazuri hawaishi utaekwisha ni wewe.Unanishauri nini kuhusu katabia kangu kakupenda wanawake wazuri tu, wanawake wabaya sina hisia nao kabisa hata nimkute yupo kama alivyo zaliwa.
"HONGERA SANA KWA KUTUELIMISHA KATIKA NYUZI MBALIMBALI HUMU JAMVIN"
Hiyo tafiti ulifanya wewe au asiyewapenda Waafrika?Kwa nini dunia nzima Waarabu ndio wa pili wa mwisho kwa ujinga baada ya Waafrika wakati ustaraabu ulianzia Uarabuni.
Kwani JF walikwambia wana ration ya data input kwenye server zao?Mod huyu mwanamke/mwanaume anajaza server ya JF.
Hapa anatafuta umaarufu tu na kick za kipumbavu.
We una roho mbaya sana na post zako wakati wa uvamizi wa Alshab huko garisa ulichekelea kimoyomoyo na ukafungua multiple ids ukachangia.Kwani JF walikwambia wana ration ya data input kwenye server zao?
Au hauelewi kuwa JF user's generated contents na ni furaha na fahari kwao kila tunavyochangia mada kwa wingi?
Kiki nnaitafuta na nimeipata. Vipi, inakuumiza?
We una roho mbaya sana na post zako wakati wa uvamizi wa Alshab huko garisa ulichekelea kimoyomoyo na ukafungua multiple ids ukachangia.
You are a destructive woman...nafsi yako inakusuta.
unapenda kutafuta kick za kijinga.