Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faiza, kwa kuwa umeishi kwenye nchi nyingi zilizoendelea na umebahatika kupata elimu nzuri na mafanikio. Unatoa ushauri gani kwa vijana wa Tanzania kuhusu fursa zinazopatikana nje ya mipaka ya Tanzania?

Umesema kwa sasa unafanya shughuli ya ufugaji na miongoni mwa hiyo mifugo ni samaki, je, unafuga samaki kwa ajili ya biashara, kitoweo? Kama ni biashara soko lake lipoje maana nataka kuanza huu ufugaji baada ya kuufanyia utafiti wa kina.
 
najua lazma utetee c n wenzenu?


Kuwa "open minded" na usiwe na chuki za kupandikizwa ambazo huna ushahidi nazo, utaishi vizuri na watu duniani.


Ukiisoma hiyo link niliyokuwekea utaona kuwa CIA wenyewe wanakiri, sikuongeza langu hata moja, sasa nnaetetea ni mimi au CIA? Fikiri.
 
endeleen kufundishana judo na karate mdhan kuwa kuna div one za judo


Si haramu kujifundisha "self defence", mimi nilijifunza "art" ya kujihami pale YWCA miaka ya 70 na zaidi ya 90% kati ya tuliokuwa tunajifunza pale walikuwa si Waislam na Sensei wetu pia alikuwa si Muislam.
 
Hakufa atafufukaje? Jisomee:
U AUWAWE KWA DHAMBI ZAKE MWENYEWE"


Quran tukufu inasema hivi,"Na kwa kauli yao kuwa: ‘Tumemuua Yesu mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu’. Hakika ni kuwa hawakumuua wala hawakumsulubu, lakini walishabihishiwa kwao. Wale wanaotofautiana katika hilo wako katika shaka wala hawana ilimu ya uhakika kuhusu hilo, wanafuata tu dhana. Hakika ni kuwa hawakumuua".
"Bali Mwenyezi Mungu Alimnyanyua Kwake, na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima". [An-Nisaa: 157-158]

Soma zaidi: Wakristo Njooni Kwa Mungu: Yesu hakusulubiwa, Mwenyezi Mungu alimwokoa.
Kwanini Quran inakusha yaliyo katika biblia?

Ililetwa ili ikanushe biblia?


Napata shaka kwamba ilishushwa!!
 
Hujajibu swali kwa ufasaha..umechemka
Sasa wanaenda kupigana na civilians... wanaua civilians wengi..tuchukulie mfano hao bokoharam wa nigeria...swali langu ni kwa nini waue civilians(watu wasio na hatia)?

Wakati madege za kivita na manowari za kivita na misaili za masafa marefu na mafupi zinashambulia Iraq na Afghanistan na askari wake wamejijaza kila aina ya silaha (uzijuazo na usizozijuwa) huwa wanaenda kupigana na "civilians"?

Au wao mabomu yao yanachaguwa huyu "civilian" na huyu "mwanajeshi"? Jionee, wanajeshi waliouliwa na mabomu ya NATO:

image003.jpg
gaza4.jpg
 
wanachexa judo na karate alafu wanataka wapate div 1 labda wapate 1 za kufuga ndevu
Una division ipi form 4 na six ? Judo na karate ni extra curricula activities inayochezwa kutegemea na hobby za mtu, wewe inakukera nini? Nakushauri ujiunge nawe kama njia ya kujenga mwili na afya yako.
 
Sili nguruwe.

Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao”(Walawi 11: 7 – 8)

Vipi, wewe unakula nguruwe ilhali aya hiyo ya Biblia imekataza tena inasema wazi kabisa kuwa ni najisi?
Acha kukariri Faiza hakuna mnyama abaye hacheui wa jamaii ya mammalian.
 
Faizafoxy,

Eti huwa unapata muda wa kulea wajukuu kweli?

Maana muda wote unashinda huku JF bibi yangu-Faizafoxy.
 
Ndio Watanzania walivyo, hawajui kuwa hata Kama Faiza foxy wanamchukia au Wana misimamo tofauti lakin ni Miongoni mwa Member wachache waliojipambanua kuwa na General knowledge kubwa sana na huenda tungefaidika kwa kuuliza Maswali muhimu.
Inashangaza sana mkuu, na hii ndo sample frame ya Watanzania tulionao, I wonder what were our expectations kwa Wahariri waliopewa nafasi ya kuuliza maswali Ikulu ikiwa IQ yetu wanajamii ipo too low to Ask meaningful questions.
 
FaizaFoxy 45 inaonesha Maryamu anaongea na Malaika,47 inaonesha Mwenyezi Mungu ndio anamjibu Maryamu baada ya kumuuliza,je Maryamu aliongea na Mungu kweli?
View attachment 431612


Pata ufafanuzi murwa kuhusu hilo, nnatumai lugha ya Kingereza unaifahamu:

Anti-Islamic Claim: 2.How many angels were talking to Mary? When the Qur'an speaks about the announciation of the birth of Jesus to the virgin Mary, Sura 3:42,45 speaks about (several) angels while it is only one in Sura 19:17-21.

My Response: Ayat (verses) 3:42-45 "Behold ! the angels said: O Mary ! Allah hath chosen thee and purified thee- chosen thee above the women of all nations. Oh Mary ! worship they Lord devoutly: Prostrate thyself, and bow down (in prayer) with those who bow down. This is part of the tidings of the things unseen, which We reveal unto thee (O Prophet !) by inpiration: Thou wast not with them when they cast lots with arrows, as to which of them should be charged with the care of Mary: Nor wast thou with them when they disputed (the point). Behold ! the angels said: O Mary ! Allah giveth thee Glad tidings of a word from Him: his name will be Christ Jesus. The son of Mary, held in honour In this world and the Hereafter And of (the company of) those Nearest to Allah."

Ayat (verses) 19:17-21 "She (Marry) placed a screen (to screen herself) from them; then We (Allah) sent to her Our angel, and he appeared before her as a man in all respects. She said: 'I seek refuge from thee to (Allah) Most Gracious: (come not near) if thou dost fear Allah.' He said: 'Nay, I am only a messenger from thy Lord, (to announce) to thee the gift of a holy son.' She said: 'How shall I have a son, seeing that no man has touched me, and I am not unchaste?' He said: 'So (if will be): Thy Lord saith, 'That is Easy for Me: and (we wish) to appoint him as a sign unto men and a mercy from us': It is a matter (so) decreed.'"

There is no contradiction in the Noble Verses above.

The above Holy Verses (3:42-45) and (19:17-21) might look like they are contradicting each others from a simple fact that (3:42-45) talk about multiple angels, while (19:17-21) talk about one angel. However, there is no contradiction !. These two sets of Holy Verses took place at two different times.

Let us look at Ayah (verse) 3:47 "She said: 'O my Lord ! how shall I have a son when no man hath touched me?' He (the angel) said: 'Even so: Allah creath what He willeth: When He hath decreed A Plan, He but saith To it, 'Be,' and it is!'"

Surah (3:47) is very identical to (19:17-21). They both talk about One Angel speaking to Mary. They both also mention that Mary will give birth to Jesus Christ without being touched by another man. They both also contain the short conversation that took place between Mary and the angel (peace be upon them). Both groups of verses combined together reveal to us what the angel told Mary about Allah Almighty and his will.

Another important point is that the angels were speaking to Mary at a different time when the single angel spoke to her. In (3:44) we read "as to which of them should be charged with the care of Mary: Nor wast thou with them when they disputed (the point)." This part of the verse proves that Mary had no male guardian at that time when they were looking for her, because one of them was going to be in charge of inspiring her and guarding her, since no guardian would be assigned to a married woman (if she were married to Joseph). So Jesus was not born right after the angels came to Mary, because after they came to her, one of them was assigned to guard her and inpire her. He didn't inspire her after she gave birth to Jesus. This part of the verse shows us that Mary was young when the angels came to her. They told her that Allah Almighty had chosen her and purified her from her sins from among all of the women of all nations. They also told her that she must worship Allah Almighty and bow down to him. They also told her that she will give birth later to a son named Jesus Christ who will be honored in this life and the life after.

Later, the single angel (3:47, 19:17-21) came to her (when she grew up) and informed her that she would get pregnant without being touched by another man and Allah Almighty was going to send a new messenger of God to the people of Isreal to reveal to them the words of God.

Note: (3:45) was a promise to Mary before she was married to Joseph. (3:47, and 19:17-21) were the actual timing of the formation of Jesus Christ himself in her womb after Mary was married to Joseph.


Source: Defending the Noble Quran #2
 
Back
Top Bottom