Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kwanini Quran inakusha yaliyo katika biblia?

Ililetwa ili ikanushe biblia?

Napata shaka kwamba ilishushwa!!

Ntakujibu baadae tuwape fursa na wengine nje ya maswali ya dini.

Hauna maswali mengine ya "general knowledge" zaidi ya haya ya dini? Maana kuna watu wengine yanawapa mushkel, na ni vyema tukawapa fursa kwa maswali mengine, au unaonaje?
 
Dah! umenikumbusha zamani sana "urafiki wa kalamu" na "kutafuta mchumba" kupitia magazeti.

Ngoja nikupe kisa kimoja kuhusu kutafuta mchumba:

Mume wangu kuna siku alifanya utani kwa rafiki yake, akachukuwa picha yake akaituma kwenye magazeti Tanzania kuwa huyo rafiki yake anatafuta mchumba, na kina dada walivyoona mtu yuko nje, baada ya wiki mbili yule jamaa alipata barua zaidi ya 2,000 kwa wakati mmoja. Ilikuwa ni vichekesho, yeye mwenyewe hajatuma kutafyta mchuba na hajuwi nini kinaendelea mwishowe ikabidi akubali matokeo tu, akaanza kuwa analeta barua tuzisome na tujibu.

It was fun.

Siku hizi mambo yote si hapa hapa JF, huu ni zaidi ya urafiki wa kalamu, kama hivi tunaulizana, tunafundishana, tunapapurana. Yote kheri hii.

Karibu sana.
Nilikuchokoza tu nilijua uta ignore ila you took your time to write back Thanks. Well mimi nilishakuwa na rafiki wa kalamu toka Denmark enzi hizo za 70s tulienda wee mpaka nilipopoteza picha ya mwanangu nikamuomba anipe copy that was 1986. Alinitujmia halafu picha yenyewe nikaipata after 2 months and that was the end of my pen pal. Ningepata wapi picha ya mwanangu kipindi kile wakati kupiga picha ya rangi ilikuwa dill? Ila unaniudhi unapomsema vibaya kifimbo wakati wengine sisi ni watoto wa maskini tusingesoma kama kifimbo asingeweka elimu bure mpaka UNi. Labda wewe unatoka familia yenye uwezo sisi tuliokolewa na kifimbo mpaka tukafika tulipofika na hakuwa na dini wala kabila. Marafiki zangu wakubwa na marafiki wakubwa wa familia yetu ni waislam na tumekua hiyo mpaka kesho. Mambo yamekuja kusarika wakati watu wanaanza kutoa speech bungeni na kanza kuomba wakati nchi haina dini. We should separate politics from individual believes.
 
Nina Tatizo la Uti wa mgongo,tatizo hilo ni Pingiri za uti wa mgongo ile ya chini kukauka ule uroto wake au tunaita Ute Ute wa kwenye joint zake"!
Nilipima kwenye MRI pale Muhimbili na dawa hawana nilipewa za kupunguza maumivu tu nazo hazikusaidia chochote lkn pia nilienda Hosp za Regency,Tumaini.Apollo,Saint Benard lkn kote ni vile vile na nikawakuta Madaktari wale wale sasa natafuta tiba za asili nimeambiwa zinaponyesha sbb mimi sijavunjika!
Mwenye kujuwa Wataalam wa Asili wa hili tatizo anisaidie haraka maana napata maumivu ya Mwili muda wote!
Maussein kama kweli unatatizo la uti wa mgongo tafadhali nitafute.
Wanaopigana vita na vurugu ni Waislamu "ZAIDI".Note a comparative form must be related with another article.Kwa hiyo nchi nilizozitaja ni lazima ni linganisha na nchi zingine zote duniani.Ni ukweli usiopingika kuwa mahali popote walipo Waislamu vita na vurugu ndio mahali pake.Eleza sababu kwa nini Waislamu hawapendi amani kama ambavyo dini yao ina-justify.Wewe ndio utakuwa ulienda kusomea ujinga.
 
h

ahaha sasa ndo yale mambo mtu kafika form four kwavile kijiji kizima hamkusoma mnamuona msooomi .......... haya mkuu msalimie mama wa kijijini kuwenu
Unaleta ubishi bureeeeeeeeeee mama yangu. Mwantumu hajasoma canada wala wapi, alisoma diploma na akawa mwalimu na huko alikofika ni uswahiba na mama salma na mumewe mzee mahiza alikiwa somewhere serikalini.
 
Naomba niwie radhi bi mkubwa, mara nyingi nimekuwa nikikuchukulia kama msichana tu, hata maswali nilouliza sikujua namuuliza nani, nimeona kwenye moja ya comments zako kuwa kwa sasa uko unalea wajukuu, kwa kweli nimejisikia vibaya sana kwa swali moja nilokuuliza ambalo halikustahili, naomba radhi yako.
Huu ndo uungwana; sio wengine unawaambia fanyeni staha lakini ndo kwanza wanazidisha ufedhuli!
 
Nilikuchokoza tu nilijua uta ignore ila you took your time to write back Thanks. Well mimi nilishakuwa na rafiki wa kalamu toka Denmark enzi hizo za 70s tulienda wee mpaka nilipopoteza picha ya mwanangu nikamuomba anipe copy that was 1986. Alinitujmia halafu picha yenyewe nikaipata after 2 months and that was the end of my pen pal. Ningepata wapi picha ya mwanangu kipindi kile wakati kupiga picha ya rangi ilikuwa dill? Ila unaniudhi unapomsema vibaya kifimbo wakati wengine sisi ni watoto wa maskini tusingesoma kama kifimbo asingeweka elimu bure mpaka UNi. Labda wewe unatoka familia yenye uwezo sisi tuliokolewa na kifimbo mpaka tukafika tulipofika na hakuwa na dini wala kabila. Marafiki zangu wakubwa na marafiki wakubwa wa familia yetu ni waislam na tumekua hiyo mpaka kesho. Mambo yamekuja kusarika wakati watu wanaanza kutoa speech bungeni na kanza kuomba wakati nchi haina dini. We should separate politics from individual believes.

Hebu msome Mtikila kuhusu Nyerere hapahapa JF, halafu nambie na yeye alisukumwa na nini kuyasema haya:

Mahojiano ya Mchungaji Mtikila (Kiingereza)
 
Unaleta ubishi bureeeeeeeeeee mama yangu. Mwantumu hajasoma canada wala wapi, alisoma diploma na akawa mwalimu na huko alikofika ni uswahiba na mama salma na mumewe mzee mahiza alikiwa somewhere serikalini.
haa inaelekeaa nikiongeza neno utamwaga kuku kwenye mchele mwingi ............ kwahiyo upo canada hahaha
 
Huu uzi umefika mbaaali na nimeshindwa kutafuta swali langu kwa namba ili unijibu kwakuwa mpaka sasa hujajibu; naomba unipe majibu/maelezo:

Kuna quote uliiweka kutoka Qur'an 43, inasema, ".....sisi tulikuumbeni........"

1. Walioumba ni akina nani na walikuwa wangapi?
2. Kwa mujibu wa wewe, Mungu ndio aliotoa maandiko hayo, je, Mungu ana nafsi?
 
Wewe ni msemaji wake?

Je kama nimemuuliza hilo swali sekunde au dakika chache tu zilizopita?
NONSENSE!! Hivi mtu na akili yako timamu kwenye thread iliyojaa posts kama hii unaweza kuuliza
Lile jibu langu vipi?
Nakutoa ujinga kwa kukuelewesha unatakiwa kurudia swali unaleta kashifa?!!
Huyo jamaa ana kiherehere na kujipendekeza kwa FF.

Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
Piece of written masturbation!!! Kwanza, sina sababu ya kujipendekeze kwa FF bali nilitaka kukutoa ujinga wako ingawaje inaonekana ujinga ni kipaji ulichoajaaliwa na Mwenyezi Mungu manake ni mjin'ga tu ndie anaweza kuleta kashifa wakati alikuwa anaelekezwa kwa nia njema. Hata Mleta mada mwenyewe alishaweka wazi hapo juu kwamba:
Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.=
That's one but second, hii ni public/open forum... kwenye public forum swali anaweza kuulizwa mwingine na akaja kujibu mwingine na ndio maana kuna PM ili kama unataka hoja husika iwe exclusively attended na aliyelengwa, basi unamtumia PM... Hii indo maana ya public/open forum, kwahiyo kama ulikuwa hujui, jiongezee maarifa!
 
Naomba niwie radhi bi mkubwa, mara nyingi nimekuwa nikikuchukulia kama msichana tu, hata maswali nilouliza sikujua namuuliza nani, nimeona kwenye moja ya comments zako kuwa kwa sasa uko unalea wajukuu, kwa kweli nimejisikia vibaya sana kwa swali moja nilokuuliza ambalo halikustahili, naomba radhi yako.

Tuwiane radhi sote na tusameheane. Kwenye mitandao hususan hapa JF kama si verified member ni vigumu kujuwana lakini si hata vijana inapaswa mfanyiane heshima? Kumbe mnajikosesha vimwana humu vya stara na vizuri kwa ajili ya maandiko yenu, wasichana ndiyo wako "highly sensitive" kuliko sisi tuliojiishia. Nnawashauri muwe wapole kwenye ku deal na watu na wala msitazame umri wa mtu.

Unless mtu awe kakuletea "utumbo".
 
Huu uzi umefika mbaaali na nimeshindwa kutafuta swali langu kwa namba ili unijibu kwakuwa mpaka sasa hujajibu; naomba unipe majibu/maelezo:

Kuna quote uliiweka kutoka Qur'an 43, inasema, ".....sisi tulikuumbeni........"

1. Walioumba ni akina nani na walikuwa wangapi?
2. Kwa mujibu wa wewe, Mungu ndio aliotoa maandiko hayo, je, Mungu ana nafsi?

1) Hiyo katika Kiarabu na Kingereza huitwa uwingi wa heshima au uwingi wa utukufu. Malkia wa Uingereza anatumia, We the queen of England, na yupo mmoja tu.

Ni utamu wa lugha, tena nnakushauri uwache u mimi, mimi, mimi, ni kujikweza na ubinafsi hata kwa Kiswahili, kujirudisha ni sisi, sisi, sisi.

2) Naam ni wahyi kutoka kwa Allah.

Nafsi zote ni za Mwenyeezi Mungu ndiye aliyeziumba.
 
Hebu msome Mtikila kuhusu Nyerere hapahapa JF, halafu nambie na yeye alisukumwa na nini kuyasema haya:

Mahojiano ya Mchungaji Mtikila (Kiingereza)
Nilisoma lakini ujue huyu mzee alikuwa na mapungufu yake lakini mazuri yalizidi mabaya. Nilikuwa namsikiliza sana Mtikila ila alikuwa mtu wa kujicontrudict sana mambo ambayo Mchonga alifanya huyu aliyachukia at the same time wakija wengine anaanza kurudi nyuma na mbele.
Imagine mchonga asingetaifisha shule za msingi na Secondari hata vyuo, wenzangu na wewe mungesoma wapi? Tulikuiwa na bahati kijijini kwetu tulikuwa na Muslimu extended primary school but not all villages had. Pamoja na hilo all prominet figures kwenye eneo letu waliwaleta shule niliyosoma ambayo ilikuwa boarding na run by white nuns na elimu ilikuwa the best. Ile shule ilipotaifishwa, after 15 years nilianeda, nililia na mpaka leo I can not set my foot there. Ile shule Head Mistress alipewa mwalimu ambaye alikuwa mkaristo akasirimu what happened later Sisemi zaidi.
Faiza ukimjaji mtu mmoja kwa matendo yake bila kujali nani alimzunguka utakuwa unamkosea. Some times Natural instincts au Common sense inaweza kuwa over looked by the people surrounding you mwewe.
 
Elimu ilivyouliwa wakati wa Nyerere ndiyo ilinifanya nihame Tanzania.
 
NONSENSE!! Hivi mtu na akili yako timamu kwenye thread iliyojaa posts kama hii unaweza kuulizaNakutoa ujinga kwa kukuelewesha unatakiwa kurudia swali unaleta kashifa?!!
Piece of written masturbation!!! Kwanza, sina sababu ya kujipendekeze kwa FF bali nilitaka kukutoa ujinga wako ingawaje inaonekana ujinga ni kipaji ulichoajaaliwa na Mwenyezi Mungu manake ni mjin'ga tu ndie anaweza kuleta kashifa wakati alikuwa anaelekezwa kwa nia njema. Hata Mleta mada mwenyewe alishaweka wazi hapo juu kwamba:That's one but second, hii ni public/open forum... kwenye public forum swali anaweza kuulizwa mwingine na akaja kujibu mwingine na ndio maana kuna PM ili kama unataka hoja husika iwe exclusively attended na aliyelengwa, basi unamtumia PM... Hii indo maana ya public/open forum, kwahiyo kama ulikuwa hujui, jiongezee maarifa!

Well said.
 
Elimu ilivyouliwa wakati wa Nyerere ndiyo ilinifanya nihame Tanzania.
Unaweza kutupa faida kidogo faiza? Una maana kwamba kufa kwa elimu yetu ulitokana na kubadilishwa kutoka Kingereza kwenda Kiswahili?
 
NONSENSE!! Hivi mtu na akili yako timamu kwenye thread iliyojaa posts kama hii unaweza kuulizaNakutoa ujinga kwa kukuelewesha unatakiwa kurudia swali unaleta kashifa?!!
Piece of written masturbation!!! Kwanza, sina sababu ya kujipendekeze kwa FF bali nilitaka kukutoa ujinga wako ingawaje inaonekana ujinga ni kipaji ulichoajaaliwa na Mwenyezi Mungu manake ni mjin'ga tu ndie anaweza kuleta kashifa wakati alikuwa anaelekezwa kwa nia njema. Hata Mleta mada mwenyewe alishaweka wazi hapo juu kwamba:That's one but second, hii ni public/open forum... kwenye public forum swali anaweza kuulizwa mwingine na akaja kujibu mwingine na ndio maana kuna PM ili kama unataka hoja husika iwe exclusively attended na aliyelengwa, basi unamtumia PM... Hii indo maana ya public/open forum, kwahiyo kama ulikuwa hujui, jiongezee maarifa!
Mbona we mama mbishi namna hii?

Jibu kwanza maswali yangu.

Uungwana wa mjadala ni kujibu ulichoulizwa kisha nawewe uulize swali.
 
Back
Top Bottom