FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #541
Kwanini Quran inakusha yaliyo katika biblia?
Ililetwa ili ikanushe biblia?
Napata shaka kwamba ilishushwa!!
Ntakujibu baadae tuwape fursa na wengine nje ya maswali ya dini.
Hauna maswali mengine ya "general knowledge" zaidi ya haya ya dini? Maana kuna watu wengine yanawapa mushkel, na ni vyema tukawapa fursa kwa maswali mengine, au unaonaje?