Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah...1982[emoji15] ....enzi za thermionic tubes [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in Telecommunications (Canada, 1982).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...1982[emoji15] ....enzi za thermionic tubes [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in Telecommunications (Canada, 1982).
Hapana, si hivyo.Hahahaaaa....inawezekana ana stress ...alitegemea atateuliwa kuwa waziri wa elimu awabebe waislam wenzie ikagonga mwamba, ndio maana anamwandama mama Ndalichako sana!!!!!!
Sawa,nasoma kama mnavyosoma Bibilia.Kitabu kimoja tu ndiyo hakina shaka ndani yake, nacho ni Qur'an. Soma.
Naam, soma tu. Qur'an ipo wazi na huru. Hakuna anaeweka kikao cha kuongeza au kubadili hata nukta. Ipo tofauti na Biblia ambayo huwa inabadilika badilika kutokana na vikao vya watu.Sawa,nasoma kama mnavyosoma Bibilia.
Siku kadhaa zimepita toka tuanzishe uzi huu na nimesikitishwa na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye huu uzi.
Tumetowa fursa ya kuulizana na kila niwezapo kujibu au kutafuta majibu muafaka kutokana na hayo maswali na fursa ya wachangiaji kujibu maswali yatakayojitokeza ya "general knowledge" lakini hadi hii leo ni maswali machache sana yenye faida kwa wengi yameulizwa. Maswali yaliyojaa ni amma ya kutaka kuanzisha ubishi "ligi" na amma yamelenga mtu binafsi, hususan amelengwa mleta mada. Ni masikitiko makubwa sana.
Nnawashauri wote waliouliza maswali yenye kulenga binafsi na wale waliouliza maswali yenye kubomoa badala ya kujenga wabadilike na waanze kuuliza maswali yenye kujenga, kueleimisha, kutujaza hekima na maarifa.
Nilipoweka aina ya elimu niliyoisomea,, nilidhani ntakumbana na kibano kikali kuhusu hilo na nijibu ili faida kwa wengi lakini kwa bahati mbaya au nzuri hakuna hata mmoja alieuliza swali lolote kuhusu hilo.
Isitoshe, mna fursa ya kuuliza kuhusu chochote. Ndege, mimea, dunia, sayari, nyota, maajabu, maswali yasiyokuwa na majibu, viumbe kwa ujumla vinavyojulika na visivyojulikana, maajabu ya duniani, elimu na vitu vingi kama hivyo na vinginevyo.
Nnauhakika wale walioleta maswali ya kiajabau ajabu ya ubishi wana mengi sana ya kuuliza yanyoweza kuwapa faida wengi na kuna wengi kati yao wana mengi wanayajuwa na wanaweza kuchangia kwenye majibu kwa faida ya wengi.
Ombi langu kwa wote ni tuboreshe aina ya maswali na majibu.
Karibuni.
Ulikuwa mchangiaji wa mwanzo katika huu uzi, bado jamii inahitaji hekima zako na nnaamini una mengi ya faida, naomba pitia hapa BOFYA HAPAje, ni kweli dini ya kiislamu ina mafungamano na makundi / matukio ya kigaidi?
Shukran sana kwa ushauri mzuri.
1) Hivi Nchi za Rwanda, Congo, Burundi nk zilitawaliwa na France na Belgium kwa wakati mmoja au kwa nyakati tofauti au ikoje? Kwa nini ushawishi wa France kwa Mataifa hayo ni Mkubwa baada ya ukoloni kuliko Belgium kwa Mataifa hayo?
2) Kwny Masuala ya Electronics ikitokea nimeacha switch on kwny Socket na Radio au TV nime zima lakin Moto unaingia jee hapo umeme unaenda au laa?
3) Chanzo cha Nuclear Energy ni nini?
Dah...lakini hazikuwa IC ....na processors zilipoozwa kwa maji[emoji13] [emoji13]Hahahaha, I would rather call them vacuum tubes.
Lakini tayari tulikuwa tunasomea digital switching pia.
Kabisa, tupo wengi humu ambao hatukujulikana kama tutakuja kuwepo duniani kwa mwaka alio graduate Bibi yetu FFDu kweli ww bibi yangu mm hapo bado sijazaliwa
Dah...lakini hazikuwa IC ....na processors zilipoozwa kwa maji[emoji13] [emoji13]
Kwanza nitangulize shukrani kwa uzi wako, su wengi wanapenda kushare life experience na wengine. Pia nakusalimu shikamoo, (kulingana na maelezo yako ya elimu umenidi sana ki umri) Asante,kwa huu mboresho. Lakini tatizo ulililea tangu mwanzo maswali ktk utangulizi na ktk kujibu maswali. Maswali yenye kuchonganisha imani imani ni vizuri usiyajibu , jibu yale ya kujenga itamfanya hata muulizaji wa hayo maswali kutouliza kichonganishi.Siku kadhaa zimepita toka tuanzishe uzi huu na nimesikitishwa na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye huu uzi.
Tumetowa fursa ya kuulizana na kila niwezapo kujibu au kutafuta majibu muafaka kutokana na hayo maswali na fursa ya wachangiaji kujibu maswali yatakayojitokeza ya "general knowledge" lakini hadi hii leo ni maswali machache sana yenye faida kwa wengi yameulizwa. Maswali yaliyojaa ni amma ya kutaka kuanzisha ubishi "ligi" na amma yamelenga mtu binafsi, hususan amelengwa mleta mada. Ni masikitiko makubwa sana.
Nnawashauri wote waliouliza maswali yenye kulenga binafsi na wale waliouliza maswali yenye kubomoa badala ya kujenga wabadilike na waanze kuuliza maswali yenye kujenga, kuelimisha, kutujaza hekima na maarifa.
Nilipoweka aina ya elimu niliyoisomea nilidhani ntakumbana na kibano kikali kuhusu hilo na nijibu ili iwe faida kwa wengi lakini kwa bahati mbaya au nzuri hakuna hata mmoja alieuliza swali lolote kuhusu hilo.
Isitoshe, mna fursa ya kuuliza kuhusu chochote. Ndege, mimea, dunia, sayari, nyota, maajabu, maswali yasiyokuwa na majibu, viumbe kwa ujumla vinavyojulikana na visivyojulikana, maajabu ya duniani, elimu na vitu vingi kama hivyo na vinginevyo.
Nnauhakika wale walioleta maswali ya kiajabu ajabu na yaubishi wana mengi sana ya kuuliza yanayoweza kuwapa faida wengi na kuna wengi kati yao wana mengi wanayajuwa na wanaweza kuchangia kwenye majibu kwa faida ya wengi.
Ombi langu kwa wote ni tuboreshe aina ya maswali na majibu.
Karibuni.