Faiza, what is developmental perspective research please?
Developmental Perspective Research ni dhanna ya tafiti za kuelewa/kumfanya binaadam kuanzia utotoni akuzwe/akuwe kwa kujengwa kwa kina cha tafiti.
Tafiti zinaendelea kila kukicha na "papers" nyingi zimeandikwa kuhusu hayo.
Miaka ya nyuma huko China walikuwa na dhanna na walienda mbali zaidi katika tafiti hadi kufikia kuweka vituo vya kulelea na ili kutimiza na kutaka kujenga taifa lenye maendeleo ya kila aina wakabuni vituo vya kulelea watoto na kuwakuza na kuwajenga vile walivyopanga.
Mfano, "forecasts" zilipoonesha kuwa miaka 25 ijayo watahitajai wahandisi kadhaa, madaktari kadhaa, madereva kadhaa, wakulima kadhaa...
Basi walichukuliwa watoto wangali wachanga na kuanza kulelewa kuwa mkulima amma mhandisi na kadhalika, katika kituo mahsusi, basi kuanzia michezo yake, maongezi yake, mafunzo yake, watu wanaomzunguka yote yanaongelea kilimo tu, hali kadhalika kwa dereva, mhandisi, rubani na wengineo. matokeo hayakuwa mema sana.
Nchi za magharibi wao approach yao ni ya "on going research" kwa hayo, na kuzitumbukiza hizo researches (tafiti) katika maisha ya kila siku ya kuanzia mtoto anapozaliwa. Hakuna njia mojawapo bali ni mchanganyiko wa tafiti.
Unaweza kusoma zaidi hapa:
Developmental Perspective: Definition & Explanation - Video & Lesson Transcript | Study.com
Napenda pia kukujulisha kuwa Uislam umeongelea kwa kina na umeainisha malezi na makuzi ya wototo miaka 1,400 iliyopita na hakuna hata mmoja katika wakosoaji wote wa Uislam aliyepinga namna ya malezi ya watoto yanavyofundishwa Kiislam. Soma zaidi:
http://www.reviewofreligions.org/11414/parenting-child-development-an-islamic-perspective/