Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Hakuna.

Ambalo sikubaliani nalo silipigii debe na nnalipinga kiutaratibu tuliojiwekea ndani ya chama.
kwakuwa wewe ni mwanachama hai tu wa kawaida.... Hizo taratibu unazotumia kufikisha maoni yako hasa unapoona imekosewa ni zipi?? Nimeona ukipinga baadhi ya vitu vinavyofanywa na serikali yako hapa..... Je, ndio hizo taratibu mlizojiwekea??
 
General Knowledge.

Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.

Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.

Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.

Update 1:
Tafadhalini tuulize maswali kiheshima . Heshima ni kitu cha bure na hii JF yetu pendwa inasomwa na wengi, tujiheshimu.

Update 2:
Siku kadhaa zimepita toka tuanzishe uzi huu na nimesikitishwa na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye huu uzi.

Tumetowa fursa ya kuulizana na kila niwezapo kujibu au kutafuta majibu muafaka kutokana na hayo maswali na fursa ya wachangiaji kujibu maswali yatakayojitokeza ya "general knowledge" lakini hadi hii leo ni maswali machache sana yenye faida kwa wengi yameulizwa. Maswali yaliyojaa ni amma ya kutaka kuanzisha ubishi "ligi" na amma yamelenga mtu binafsi, hususan amelengwa mleta mada. Ni masikitiko makubwa sana.

Nnawashauri wote waliouliza maswali yenye kulenga binafsi na wale waliouliza maswali yenye kubomoa badala ya kujenga wabadilike na waanze kuuliza maswali yenye kujenga, kuelimisha, kutujaza hekima na maarifa.

Nilipoweka aina ya elimu niliyoisomea nilidhani ntakumbana na kibano kikali kuhusu hilo na nijibu ili iwe faida kwa wengi lakini kwa bahati mbaya au nzuri hakuna hata mmoja aliyeuliza swali lolote kuhusu hilo.

Isitoshe, mna fursa ya kuuliza kuhusu chochote. Ndege, mimea, dunia, sayari, nyota, maajabu, maswali yasiyokuwa na majibu, viumbe kwa ujumla vinavyojulikana na visivyojulikana, maajabu ya duniani, elimu na vitu vingi kama hivyo na vinginevyo.

Nnauhakika wale walioleta maswali ya kiajabu ajabu ya ubishi wana mengi sana ya kuuliza yanayoweza kuwapa faida wengi na kuna wengi kati yao wana mengi wanayajuwa na wanaweza kuchangia kwenye majibu kwa faida ya wengi.

Ombi langu kwa wote ni tuboreshe aina ya maswali na majibu.

Karibuni.



kumbe ni muislam eeeh!

umeolewa ??

Luna siku kuna mtu alitoa post namna ya kuandaa kabati la baba akiwa anamaanisha kufua na kuiandaa nguo ya ndani ya mume sasa wewe kama mwanamke ukacomment ukasema

*"kisa cha kunitoa sugu hayo mambo yamepitwa na wakati kila mtu anajifulia mwenyewe"*

swali

je ni maadili ya kiislam??


swali LA Tatu

kwanini umekua addicted sana na jamiiforum??
 
Hivi bibi faiza mfanyabiashara anaenunua vifaa vya kielectroniki zanzibar na kuvisafirisha kwenda mikoa ya Tanzania analipa kodi ya bandarini kama mzigo ya nje ya nchi???
 
Yesu alikua mweusi au mzungu kama tunavyo fundishwa makanisani

Hiyo ni "controversy" ambayo binafsi kwa kuwa ni Muislam siioni kama ina faida yoyote kwa yeyote.

Rangi na muonekano wa mtu si ubora wake, mbora kati yetu ni mcha Mungu na nnaamini Yesu alayhi salaam alikuwa ni Mtume wa Mungu na tunachotakiwa tupate ni ujumbe wake aliotumwa kutufikishia na si rangi yake.

Jaribu ku Google kidogo kuhusu hilo uone jinsi watu walivyoacha kufuata mafundisho ya Yesu alayhi salaam na kuanza kubishana kuhusu rangi yake.
 
Hiyo ni "controversy" ambayo binafsi kwa kuwa ni Muislam siioni kama ina faida yoyote kwa yeyote.

Rangi na muonekano wa mtu si ubora wake, mbora kati yetu ni mcha Mungu na nnaamini Yesu alayhi salaam alikuwa ni Mtume wa Mungu na tunachotakiwa tufate ujumbe wake aliotumwa kutufikishia na si rangi yake.

Jaribu ku Google kidogo kuhusu hilo uone jinsi watu walivyoacha kufuata mafundisho ya Yesu alayhi salaam na kuanza kubishana kuhusu rangi yake.
Heri ya Mwaka mpya we ajuza miss you.....
 
Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Unamaanisha aliyekuoa hukutaka kujibizana naye kwa sababu ni mjinga? Je, hii ndio sababu iliyokufanya uolewe ukiwa na miaka 14 au ulipenda dushere mapema? Kama jibu ni "ndio" eleza vigezo ulivyovitumia kujua kuwa huyo aliyekuoa ukiwa na umri wa miaka 14 alikuwa ni mjinga hivyo hukupaswa kujibizana nae. Kama jibu ni "hapana" fafanua.
 
Ningependa kujua kiwango chako cha elimu na CV yako
 
Nnakushauri rudi juu kaisome post namba moja kwa utuvu.
Je, hilo swali lilikuhusu wewe? Kama jibu ni "hapana"...kwa nini umejibu? Au huko ndio kujipendekeza? Je, una tabia za kujipendekeza? Je, tabia hizi ndizo zilikufanya uolewe ukiwa na miaka 14? Kama jibu ni ndio fafanua kwa kina.
 
sasa si ufanye copy & paste unijibu muheshimiwa.Kwa maana tunaogopa kuuliza maswali mengine kwa kuhofia kiwango chako cha uelewa.

Uzi upo usome. Una mengi sana, usingoje kila kitu kufanyiwa.

Ungeisoma post namba moja, ungeelewa kuwa maswali humu hayajibiwi na mtu mmoja tu.

Kumbuka, kiwango cha elimu hakipimwi kwa madarasa, uelewa, ujuzi na muono wa uhakika haupatikani kwenye kuta nne.
 
Back
Top Bottom