Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Mama yangu FaizaFoxy anaweza kuwa mkubwa zaidi ya mama yangu.FaizaFoxy kwa nini wapenda kuumbua watu haswa wanapokosea kiswahili?
unaffikiri ni kwa nini wanajamii forum wanapenda kukushambulia haswa kwenye swala la udini?
kwa nini wewe ni mkali?una stress?how old are you?
Si chini ya 50 miaka yake.