Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Sijawahi soma quran ktk maisha yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri uisome utapata kuelewa Yesu alayhi salaam na mama yake Bi Mariam wanatajwa vipi katika Uislam. Utashangaa kufahamu kuwa kuna sura nzima ndani ya Qur'an imepewa jina la mama yake Yesu alayhi salaam. Inaitwa surah Maryam.

Hapa utapata yote kuhusu Maryam alayhi salaam: QuranIndex.Net

Hapa utapata yote kuhusu Yesu alayhi salaam: QuranIndex.Net

Hapa utapata index ya yote yaliyomo kwenye Qur'an kwa alphabet index: QuranIndex.Net

Hapa utapata Qur'an na tafsiri ya Kiswahili: Qur'ani Tukufu
 
Sasa mi sijui kiarabu hyo Quran ntailewa vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kwa kutokutoa tafsiri ya neno kwa neno ni kwamba ukubali tu ya kuwa hujajibu swali la muulizaji bali ukaelekeza moja kwa moja nguvu yako kwenye maelezo ya uarab na uislam. Samahani lakini kama ninakukwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muulizaji hakutaka tafsiri muulizaji kataka kuelewa maana. Maana na tafsiri ni vitu tofauti.
 
Sasa mi sijui kiarabu hyo Quran ntailewa vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo link zote ni kwa Kingereza na ya chini kabisa ni kwa Kiswahili.

Kiarabu ni lugha nyepesi sana kuielewa hususan Ikiwa unaongea Kiswahili. Maneno mengi ni hayo kwa hayo tofauti ni matamshi tu.

Kwa kukutoa wazi wazi kuhusu Kiarabu, fahamu kuwa neno "Alphabet" kwa Kingereza limetokana na herufi za Kiarabu, "Aliph, Be, Te".
 
Swali hili napenda nijibiwe na mtoa mada.

Ni mwanamke yupi anafaa zaidi kuwa mke au mpenzi mwenye penzi tamu daima.. binti ambae alikua na hisia za kimapenzi baada ya kutimiza age ya mtu 18 years mzima na kuamua kufanya mapenz akiwa chuo na kuonesha uthutu kwa hili na akenda gest na mwanaume na kutolewa bikra yake na kuanza sex lasmi akiwa chuo,

au msichana ambae alibana usichana wake kwa uwoga wa kutolewa kwa bikra yake na kukosa ujasil kabisa kuogopa kinacho kuja kutokea siku akifanya sex kwa mala ya kwanza na kuja kufanya sex mala ya kwanza akiwa na umri takriban akiwa na miaka 27 au kuto kuona kabisa umaana wowote wa kufanya sex mapema. ???

lasmi = rasmi
ujasil = ujasiri
mala = mara

SWALI:
Asalam alaikum warahmatul Allah wabarakat.

Mimi ni kijana wa kiislam ninaishi Zanzibar. Sina suala ila nimefikia umri wa kutaka kuowa hivyo naomba munitumie sifa sahihi na vigezo vya mke bora katika uislam. Najua mtume katuamrisha kuwa tuangalie vitu vinne, kamamali, uzuri, ukoo au familia pamoja na dini. Ila naomba munielimishe sifa nyengine muhim za kuangalia kwan unapochagua mchumba unatakiwa kuwa makini kwan mke ndie anaetangeneza familia na anae harib familia. Pia wake zetu ni mtihan kwetu hivyo ili kuweza kujikinga na mtihan huu ningepend munipatie siza hizo.

Ahsanten, Nakutakieni kazi njema na inshhaallah awalipe ujira ulio mwema kwa jihan yenu.

Assallam alaikum warrahmatullahi wabarakat

JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihiwa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.

Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu sifa zinazohitajika katika kuchagua mke. Uislamu ikiwa ndiyo Dini ya kimaumbile imetupatia muongozo katika kila nyanja ya maisha pamoja na kuchagua mke, ambaye ni mshirika wa mwanaume wa maisha. Miongoni mwa sifa zinazohitajika katika kuchagua mke ni:
  1. Mwanamke kuwa na Dini, tabia na maadili mema. Ama mas-ala ya Dini ni ile Hadiyth ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) aliyosema:Chagua mwenye Dini usije ukapata hasara (al-Bukhaariy na Muslim). Dini si ya kinadharia bali imfanye abadilike katika mambo yake yote kamakuwa na tabia njema na maadili mema.

  1. Kumpendeza mume anapomuangalia. Kupendeza na uzuri ni vitu ambavyo kila mwanamme ana kile anachokiona kuwa ni kizuri. Ndiyo nasaha aliyotoa Mtume (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) kwa Mughiyrah bin Shu‘bah (Radhiya Allaahu ‘anhu):Kamwangalie kwali kufanya hivyo kutaleta mapenzi baina yenu (an-Nasaa’iy).

  1. Kuwa ni mwenye kuingiliana na watu na mwenye moyo wa bashasha kabisa. Mafungano ni baina ya familia mbili, yako na yake. Kwa ajili hiyo anatakiwa awe ni mwanamke mwenye kufanya mahusiano na watu wako wa karibu ili kuwe na maendeleo na uhusiano mwema.

  1. Mwenye kuzaa, na hilikama wanavyuoni walivyosema ni kuangalia kizazi cha madada zake na jamaa zake wa karibu
Hata hivyo, muhimu zaidi ni Dini na ikiwa ana sifa nyingine ziwe ni baada ya hiyo sifa ya kwanza.

Bonyeza viungo vifuatavyo upate maelezo zaidi:
Sifa Gani Za Kutafuta Mke?
Na Allaah Anajua zaidi.

Vyanzo: Sifa za Mke Bora (Kielelezo) | Alhidaaya.com
 
Mkuu, mimi nitaka kuchagua kati ya hayo makundi mawili niliyo fanya kuelezea hapo juu, kati ya binti aliye chelewa kianza ngono na binti aliye anza ngono mapema kidogo.

Mkuu, mimi nitaka kuchagua katibya hayo makundi mawili niliyo fanya kuelezea hapo juu, kati ya binti aliye chelewa kianza ngono na binti aliye anza ngono mapema kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Natumai u Muislam maana majibu nje ya ndoa ya Uislam siyahafahamu sana.

Kwa kuwa hao wanawake wote wewe unawafahamu inabidi usome yale majibu kwa kina na ufate zile link kwani huko yapo masuala mengi yanayohusiana na ndoa na In shaa Allah utapata jawabu wewe mwenyewe, mimi sitoweza kukuchagulia huyu au huyu.

Kwa kuongezea, soma hii hapa na fata link:

}}الزَّانِي لَا يَنكِحُ إلَّا زَانِيَةً أَوْ مُشْرِكَةً وَالزَّانِيَةُ لَا يَنكِحُهَا إِلَّا زَانٍ أَوْ مُشْرِكٌ وَحُرِّمَ ذَلِكَ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ{{

{{Mwanamume mzinifu hamwoi ila mwanamke mzinifu au mwanamke mshirikina. Na mwanamke mzinifu haolewi ila na mwanamume mzinifu au mshirikina. Na hayo yameharimishwa kwa Waumini.}} An Nuur:3

inakusudiwa wale ambao bado wanaendelea katika kitendo hicho cha zinaa. Ama waliotubu kikweli wanaweza kuoa na kuolewa na waliotakasika.

Soma zaidi:
Wazinifu Waliotubu Wanaweza Kufunga Ndoa Na Waliotakasika | Alhidaaya.com
 
Sawa mkuu

Wote tunajua katika ulimwengu wa kiislamu Mungu hawezi kua na mtoto. Yuko mbali sana, ni Mtakatifu sana, haiwezekani kueleweka kibinadamu na hata kimapokeo haina maana, wapo hata wakristo wengine ambao wanapata shida tunaposema Yesu ni mwana wa Mungu. Lakini mawazo yote haya yabadilishi ukweli kuwa Yesu ni mwana wa Mungu.

Ukweli huu ninaoutoa hapa chini haupingiki.

●Huu ni uthibitisho ambao unajulikana sana.
Yohana 1:1 "__Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."

na ili kukuelewesha zaidi..soma msitari hapa chini

Yohana 1:14__"Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli."

●Katika Yohana 10:29-30 Yesu mwenyewe anasema kuwa yeye na Mungu ni wamoja

Yohana 10:29-30__"29 Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu.
30 Mimi na Baba tu umoja."

Maneno haya yaliwafanya wale wasioamini watake kumpiga mawe Yesu, kwasababu ya kutokuamini kwao

●Kitabu cha Waebrania 1:8 kinasema "
Lakini kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.
Mungu hapa anamuita Yesu mwana wake "Mungu" ambapo tukirudi nyuma inaonekana pia katika Zaburi 45:6-7

●Pia katika Waebrania 1:6 Mungu anasema "Hata tena, amletapo mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, asema, Na wamsujudu malaika wote wa Mungu."

Hili linathibitisha kuwa Yesu ni Mungu na na malaika wote wa Mungu wamsujudu.

●Biblia inafundisha kuwa Mungu ndiye ahukumuye katika (1Samweli 2:10, Zaburi 50:6 na vifungu vingine vingi).
Hata Yesu naye pia ni hakimu katika (Yohana 5:22; 27, Yohana 9:39, Matendo 10:42 na 2Timotheo 4:1)
Kwahiyo Yesu ni Mungu.

Kwahiyo nawambia, katika kila kona kwenye Biblia, hitimisho moja tu ndilo linawezekana kuleta maana halisi ya vifungu vyote hapo juu vikiwekwa pamoja, nali ni...

Yesu ni Mungu

Yesu ni mwana wa Mungu.
Ukweli ni kwamba Yesu ni Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli kwa mujibu wa isiyokuwa uislamu.
Kwa mujibu wa uislamu ukweli kwamba sio Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapingana na Biblia:

Mathayo 27:
46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
 
Kuna swali uliulizwa hapa, kwamba kunyonyana sehemu za siri kwa wanandoa ni halali kisheria, baadhi ya social network wanasema kwamba kufanya hivo mnaweza pata kansa ya koo n.k.

Na nurdin kishki anakwambia kufanya hivo ni haramu, sababu watu wameiga mila za kimagharibi.

Je waweza tuthibitishia kisheria kama ni halali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote tunajua katika ulimwengu wa kiislamu Mungu hawezi kua na mtoto. Yuko mbali sana, ni Mtakatifu sana, haiwezekani kueleweka kibinadamu na hata kimapokeo haina maana, wapo hata wakristo wengine ambao wanapata shida tunaposema Yesu ni mwana wa Mungu. Lakini mawazo yote haya yabadilishi ukweli kuwa Yesu ni mwana wa Mungu.

Ukweli huu ninaoutoa hapa chini haupingiki.

●Huu ni uthibitisho ambao unajulikana sana.
Yohana 1:1 "__Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."

na ili kukuelewesha zaidi..soma msitari hapa chini

Yohana 1:14__"Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli."

●Katika Yohana 10:29-30 Yesu mwenyewe anasema kuwa yeye na Mungu ni wamoja

Yohana 10:29-30__"29 Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu.
30 Mimi na Baba tu umoja."

Maneno haya yaliwafanya wale wasioamini watake kumpiga mawe Yesu, kwasababu ya kutokuamini kwao

●Kitabu cha Waebrania 1:8 kinasema "
Lakini kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.
Mungu hapa anamuita Yesu mwana wake "Mungu" ambapo tukirudi nyuma inaonekana pia katika Zaburi 45:6-7

●Pia katika Waebrania 1:6 Mungu anasema "Hata tena, amletapo mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, asema, Na wamsujudu malaika wote wa Mungu."

Hili linathibitisha kuwa Yesu ni Mungu na na malaika wote wa Mungu wamsujudu.

●Biblia inafundisha kuwa Mungu ndiye ahukumuye katika (1Samweli 2:10, Zaburi 50:6 na vifungu vingine vingi).
Hata Yesu naye pia ni hakimu katika (Yohana 5:22; 27, Yohana 9:39, Matendo 10:42 na 2Timotheo 4:1)
Kwahiyo Yesu ni Mungu.

Kwahiyo nawambia, katika kila kona kwenye Biblia, hitimisho moja tu ndilo linawezekana kuleta maana halisi ya vifungu vyote hapo juu vikiwekwa pamoja, nali ni...

Yesu ni Mungu

Yesu ni mwana wa Mungu.
Swali lako ni lipi?
 
Kuna swali uliulizwa hapa, kwamba kunyonyana sehemu za siri kwa wanandoa ni halali kisheria, baadhi ya social network wanasema kwamba kufanya hivo mnaweza pata kansa ya koo n.k.

Na nurdin kishki anakwambia kufanya hivo ni haramu, sababu watu wameiga mila za kimagharibi.

Je waweza tuthibitishia kisheria kama ni halali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kuwa wanazuoni wamekhitilafiana.

Kuhusu hilo la kansa, maradhi ni mengi tu yanayoambukiza kutoka binaadam kwenda kwa binaadam mwengine. Si kwa sababu ya kunyonyana.

Binafsi Sijaona lilipokatazwa kwa hiyo nalikubali kwa misingi ya kufanyika bila kulazimishana, kiasi chake ni karaha, kama mkeo / mumeo inamkirihisha basi kukirihishana ni dhambi.
 
Swali lako ni lipi?
Rudia tena kusoma, utagundua nilikua nakuelewesha kuwa Yesu ni mwana wa Mungu. Maana umeleta msitari wa biblia ili kutetea hoja yako kuwa Yesu si mwana wa Mungu, nadhani vifungu hivyo umeviacha makusudi, kama hukuwa unavifahamu kajisomee vifungu hivyo
 
Kwanini usianze kwa kujibu kifungu nikichokileta mimi cha Yesu alayhi salaam kumlilia Mungu kuwa anamuacha. Hujakiona?
 
Sikupinga matumizi kwa kuwa zipo, bali ninachosema mimi, Hadith siyo wahyi (hazikuhifadhiwa, zipo za kweli, zipo za kutunga, zipo za uongo) wahyi ni Qur'an.

Na nnachokisema mimi ni kuwa hadith na mapokeo yake ndiyo chanzo kikuu cha kuwafarikisha (kuwatenganisha) Waislam.
Basi kama ni hivyo tuzifuate zile za kweli ambazo wanazuoni wamekubaliana kuwa ni za kweli lakini si kuzipa kisogo kabisa,kwa kufanya hivyo tutakosa mafunzo muhimu ya Mtume S.A.W. ambayo huwezi kuyapata katika Quran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kama ni hivyo tuzifuate zile za kweli ambazo wanazuoni wamekubaliana kuwa ni za kweli lakini si kuzipa kisogo kabisa,kwa kufanya hivyo tutakosa mafunzo muhimu ya Mtume S.A.W. ambayo huwezi kuyapata katika Quran.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sizipi kisogo bali nafata zile zenye mafundisho yasiyoleta kufarikiana Waislam na zinazoleta maana pana na njema.

Na hilo ni kwa hadithi njema ya yeyote yule. Itabaki kuwa hadithi yake lakini si wahyi na itabaki kuwa hadithi ya huyo anaeitoa lakini si ya Mtume. Kinaweza kuwa ni kisa cha Mtume kinachoelezewa.

Hadithi bora na wahyi zipo ndani ya Qur'an.

Qur'an 7:185
أَوَلَمْ يَنْظُرُوا فِي مَلَكُوتِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَمَا خَلَقَ اللَّهُ مِنْ شَيْءٍ وَأَنْ عَسَىٰ أَنْ يَكُونَ قَدِ اقْتَرَبَ أَجَلُهُمْ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَهُ يُؤْمِنُونَ
185. Je, hawatazami ufalme wa mbingu na ardhi, na vitu alivyo viumba Mwenyezi Mungu, na pengine ajali yao imekwisha karibia? Basi maneno gani baada ya haya watayaamini

*Neno "maneno" kwenye tafsiri ya Kiswahili linatumika kutafsiri neno "Hadith" kwenye Kiarabu, nililoliwekea rangi ya kijani.
 
Ok nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikupinga matumizi kwa kuwa zipo, bali ninachosema mimi, Hadith siyo wahyi (hazikuhifadhiwa, zipo za kweli, zipo za kutunga, zipo za uongo) wahyi ni Qur'an.

Na nnachokisema mimi ni kuwa hadith na mapokeo yake ndiyo chanzo kikuu cha kuwafarikisha (kuwatenganisha) Waislam.
Kwa hivyo tuachane nazo zotee tuu mama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizipi kisogo bali nafata zile zenye mafundisho yasiyoleta kufarikiana Waislam na zinazoleta maana pana na njema.

Na hilo ni kwa hadithi njema ya yeyote yule. Itabaki kuwa hadithi yake lakini si wahyi na itabaki kuwa hadithi ya huyo anaeitoa lakini si ya Mtume. Kinaweza kuwa ni kisa cha Mtume kinachoelezewa.

Hadithi bora na wahyi zipo ndani ya Qur'an.

Qur'an 7:185
أَوَلَمْ يَنْظُرُوا فِي مَلَكُوتِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَمَا خَلَقَ اللَّهُ مِنْ شَيْءٍ وَأَنْ عَسَىٰ أَنْ يَكُونَ قَدِ اقْتَرَبَ أَجَلُهُمْ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَهُ يُؤْمِنُونَ
185. Je, hawatazami ufalme wa mbingu na ardhi, na vitu alivyo viumba Mwenyezi Mungu, na pengine ajali yao imekwisha karibia? Basi maneno gani baada ya haya watayaamini

*Neno "maneno" kwenye tafsiri ya Kiswahili linatumika kutafsiri neno "Hadith" kwenye Kiarabu, nililoliwekea rangi ya kijani.
Kwa hivyo mama yangu hii Qurani ameihifadhi nsni mpaks ikatufikia kiasi kwamba usi,iamini hadithi baadhi?

Mfano kuna hadithi inasema

Allah hukunjua mkono wake wakati wamchana ili atubie aliekosea usiku.

Hii hadithi ni sahihi kabisa kwa bukhari na muslim.

Watu wanagombana kwamba Allah hakukusudia mkono bali alikusudia maghfira.

Na kundi lingine linasema Allah kakusudia mkono lakini sio mkono wa kiumbe,namna ulivyo snaujua mwenyewe.

Alafu kundi la wewe unasema unajiepusha na hadithi kila inayoifarakanisha umma wa kiislamu.yaani hiyo kwa lugha ya kitaalamu huitwa توكف yani ume توسطت yani huku haupo na kule haupo,hilo nalo ni kundi lako pia mama yangu.

Au huoni kama nawewe utakuwa umeanzisha kundi hapo la wakaa kimya?

Yaani unajitenga baina ya makundi mawili huoni kama waanzisha kundi lako la tatu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom