Kwa hivyo mama yangu hii Qurani ameihifadhi nsni mpaks ikatufikia kiasi kwamba usi,iamini hadithi baadhi?
Mfano kuna hadithi inasema
Allah hukunjua mkono wake wakati wamchana ili atubie aliekosea usiku.
Hii hadithi ni sahihi kabisa kwa bukhari na muslim.
Watu wanagombana kwamba Allah hakukusudia mkono bali alikusudia maghfira.
Na kundi lingine linasema Allah kakusudia mkono lakini sio mkono wa kiumbe,namna ulivyo snaujua mwenyewe.
Alafu kundi la wewe unasema unajiepusha na hadithi kila inayoifarakanisha umma wa kiislamu.yaani hiyo kwa lugha ya kitaalamu huitwa توكف yani ume توسطت yani huku haupo na kule haupo,hilo nalo ni kundi lako pia mama yangu.
Au huoni kama nawewe utakuwa umeanzisha kundi hapo la wakaa kimya?
Yaani unajitenga baina ya makundi mawili huoni kama waanzisha kundi lako la tatu?
Sent using
Jamii Forums mobile app