Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kwa hivyo mama yangu hii Qurani ameihifadhi nsni mpaks ikatufikia kiasi kwamba usi,iamini hadithi baadhi?

Mfano kuna hadithi inasema

Allah hukunjua mkono wake wakati wamchana ili atubie aliekosea usiku.

Hii hadithi ni sahihi kabisa kwa bukhari na muslim.

Watu wanagombana kwamba Allah hakukusudia mkono bali alikusudia maghfira.

Na kundi lingine linasema Allah kakusudia mkono lakini sio mkono wa kiumbe,namna ulivyo snaujua mwenyewe.

Alafu kundi la wewe unasema unajiepusha na hadithi kila inayoifarakanisha umma wa kiislamu.yaani hiyo kwa lugha ya kitaalamu huitwa توكف yani ume توسطت yani huku haupo na kule haupo,hilo nalo ni kundi lako pia mama yangu.

Au huoni kama nawewe utakuwa umeanzisha kundi hapo la wakaa kimya?

Yaani unajitenga baina ya makundi mawili huoni kama waanzisha kundi lako la tatu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Nisome tena. Hakuna mahali nimesema siiamini Qur'an.
 
Fupisha maelezo. Weka point moja moja tutajadili vizuri. Kumbuka, wengi tunatumia simu ndogo ndogo.
 
Ohooooooooo mama yangu.

Hata Qurani inatuambia tumfate mtume kwa maana tuzifate hadithi zake.

Sasa inskuwaje mama yangu unashauri tuache au tuchague zinazoingia akilini.

Mfano tu kuna hadithi mtume kafundisha tufute juu ya khofu mbili yaani kama tumevaa vitu vinavyofunika mguu basi tusivue badala yake tufute juu ya hicho kitu(sio chini)
Sasa kiakili tu si ilibidi tufute kule chini kwenye uchafu?

Aliy bin abiy twaalib akasema "lau ingekuwa dini ni kutumia akili tuu basi mimi ningelifuta chini ya khofu(au viatu)kwa sababu ndo kunakokanyaga uchafu.

Sasa mama yangu unasema tutumie akili kwa misingi ipi?
Ukiweza ni vyema pia kama huwezi basi jitahidi utumie zile ambazo zinakuingia akilini na si za kufarakanisha au kutenganisha.

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
 
Yaani hujafahamu.

Nasema hivi.

Unasema unaamini Qurani hizo hadithi huziamini nyingi kama sio zote kwa sababu zinawatenganisha waislamu kwa waislamu.

Ndo nakuuliza kwamba unajipa imani gani juu ya usahihi wa Qurani ilhali nayo Qurani tumeipokea kwa watu hao hao waliosimulia hadithi ambazo wewe huzikubali kubali?

Unahakikisha vipi jee kama na hiyo Qurani imetungwa na hao hao waliotunga hadithi unajuaje hapo?
Dah! Nisome tena. Hakuna mahali nimesema siiamini Qur'an.

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
 
Yaani hujafahamu.

Nasema hivi.

Unasema unaamini Qurani hizo hadithi huziamini nyingi kama sio zote kwa sababu zinawatenganisha waislamu kwa waislamu.

Ndo nakuuliza kwamba unajipa imani gani juu ya usahihi wa Qurani ilhali nayo Qurani tumeipokea kwa watu hao hao waliosimulia hadithi ambazo wewe huzikubali kubali?

Unahakikisha vipi jee kama na hiyo Qurani imetungwa na hao hao waliotunga hadithi unajuaje hapo?

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Qur'an ina vipimo vyake imejiwekea na kama husadiki vijaribu. Na vimejaribiwa na vipo intact. Hakuna kasoro. Ni muujiza ambao haiwezekani kuwa ni maandiko tu ya binaadam.
 
Basi hata hadithi nazo zimepimwa usahihi wake na udhaifu wake mama yangu mpenzi,ulamaa walikuwa wanasafiri umbali mrefu kufuata hadithi moja tu,kama imam bukhari alikuwa anapiga rakaa mbili kwanza kabla ya kuitafuta hadithi alafu masharti aliyoweka ni masharti yanaingia akilini kwamba yakitimia naam imetoka kwa mtume

Mfano wewe ukisema umemsikia kikwete akisema jambo fulani,basi ili tuamini kama kweli alisema tutaangalia jee uliishi zama moja na kikwete? Kama ndio tunaangalia wakati yeye yupo mlipishana miaka mingapi na mliluwa mnaishi mazingira gani baina yenu? Pia inaangaliwa jewewe unaesema huna sifa ya kugeuza geuza maneno? Hivi ni baadhi ya vigezo tu kuziendea hadithi.

Qurani inatulazimu tumfuate bwana mtume sala na salamu ziwe juu yake.kwa maana tuzifuate hadithi zake.
Kama vile hadithi za kufundisha sala kwa utaratibu wake,sala kwa ujumla wake haijajitosheleza ndani ya Qurani mpaka uende katika hadithi ndo imeelezewa vizuri na mwalimu Muhammad sala na salamu ziwe juu yake.

Sasa ukisema ujikite na Qurani tu maana yake unaikhalifu na kuipinga hiyo Qurani yenyewe.

Ndo Allah akamuambie mtume wake

Atuambie sisi
قل إن كنتم تحبون الله فاتبعوني يحببكم الله ويغفر لكم ذنوبكم

[ AL I'MRAN - 31 ]
Sema: Ikiwa nyinyi mnampenda Mwenyezi Mungu basi nifuateni mimi, Mwenyezi Mungu atakupendeni na atakufutieni madhambi yenu.

Kwa maana bwana mtume ana haki ya kufuatwa kwa hali ya mtu awezayo,kwa kumfuata kwake mtume maana yake ni kipimo cha kumpenda Allah.

Mtume sio QURANI kwa sababu ingekuwa kufata QURANI tu ndio jambo bora basi tungeambiwa kwamba peke yake kwamba "ikiwa tunampenda Allah basi tufate Qurani tuu"lakini tumeambiwa tumfate Mtume kwa sababu ndo anaifafanua hiyo Qurani yenyewe mama yangu.

Hadithi zimekusanywa miaka mingapi toka Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam afariki?

Hizo aya ulizotoa zinamuhusu Mtume au Bukhari au Muslim?
 
Kukusanywa au kuwepo?

Kwani hadithi baada ya kuandikwa zinapoteza sifa ya usahihi wake mama yangu ?

Aya niliyotoa inamhusu mtume wala sio bukhari na muslim.mfano wa bukhari na muslim ni kama mimi nikusikie wewe faiza umesema alafu baadae nikaandika kile nilichokusikia wewe umesema nikaandika kwenye kitabu nikakiita sahihi ya safuha kwa maan safuha kaandika maneno sahihi ya faiza katika kitabu hiko,hapo kuna tatizo juu ya usahihi wa maneno yako eti kwa kuwa yapo katika mfumo wa maandishi?

Zingekuwa hazipotezi sifa ya u sahihi zisingekuwepo sahihi, hasan, dhaif, maudhu'u, maglub. Unafahamu maana zake? Kama unafahamu nifahamishe.

Pia kuna zanni na taqrir na khabar. Hii khabar unaweza kuwa ukweli au uongo kwa mujibu wa Maulamaa.

pia kuna mutawatir, mashhur.

Hizo sifa zote ni za kuletwa na maulamaa tofauti na kati yao hao wengine wanasema hadithi hii dhaif wengine hiyo hiyo wanasema hii hasan.

Kuna kitu nilikuuliza juu hapo lakini hukunijibu, kabla hatujaendelea naomba unijibu na kama hauna jibu kwa kuwa hulijuwi pia nambie ili tuendelee. Maana mimi nakujibu maswali yako, wewe hunijibu maswali yangu. Tutafika kweli hivyo?
 
Kukusanywa na kufanyiwa kitabu.

Sasa kama aya liyoandikwa inamhusu Mtume. Nipe hadith iliyoandikwa wakati wa Mtume na ipo kwenye kitabu kipi?
 
Kwani uliyoyaleta wewe ulikuwa unajibu kuhusu post ipi hapo juu?
Nilikuwa nakuelekeza maana umemeza kifungu kimoja tu, waonekana vingine huvifahamu ndio maana nimekuwekea hapo ili upate kufahamu siku nyingine utafute namna nyingine na sio hicho kifungu kimoja ulichokariri
 
Ungekijbu hicho kifungu ulichokimeza kikakukaa kooni, jikumbushe...

Mathayo 27:
46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
 
Zingekuwa hazipotezi sifa ya u sahihi zisingekuwepo sahihi, hasan, dhaif, maudhu'u, maglub. Unafahamu maana zake? Kama unafahamu nifahamishe.

Pia kuna zanni na taqrir na khabar. Hii khabar unaweza kuwa ukweli au uongo kwa mujibu wa Maulamaa.

pia kuna mutawatir, mashhur.

Hizo sifa zote ni za kuletwa na maulamaa tofauti na kati yao hao wengine wanasema hadithi hii dhaif wengine hiyo hiyo wanasema hii hasan.

Kuna kitu nilikuuliza juu hapo lakini hukunijibu, kabla hatujaendelea naomba unijibu na kama hauna jibu kwa kuwa hulijuwi pia nambie ili tuendelee. Maana mimi nakujibu maswali yako, wewe hunijibu maswali yangu. Tutafika kweli hivyo?
Swali lipi msms yangu mbona katika comment iliyopita sikuona swalii?

Samahani kama utarejea itafaa zaidi,kabla hatujaendelea na hapo embu lirejee hilo swali kwanza

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
 
Swali lipi msms yangu mbona katika comment iliyopita sikuona swalii?

Samahani kama utarejea itafaa zaidi,kabla hatujaendelea na hapo embu lirejee hilo swali kwanza

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Hadithi zimekusanywa miaka mingapi toka Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam afariki?
 
Kukusanywa na kufanyiwa kitabu.

Sasa kama aya liyoandikwa inamhusu Mtume. Nipe hadith iliyoandikwa wakati wa Mtume na ipo kwenye kitabu kipi?
Hadithi zilizoandikwa wakati wa Mtume hakuna,kams ilivyokuwa kwamba hakukuwa na aya ambazo zilikuwa zinaandikwa kwenye kitabu maalumu,mtume aliwakataza watu kuiandika Wurani badala yake ikawa wengi wanaiweka vifuani.

Na hali kadhalika hivyo hivyo hadithi hazikuandikwa katika kitabu maalumu kama ilivyo qurani.

Hadithi ni maneno au matendo ya mtume ambayo ameyaona ama ameyasikia na akayasimulis swahaba.lskini pia kuns hadiythu qudsi.

Wakati huo Wurani ni maneno ya Allah ambayo ameteremshiwa mtume mwenyewe kwa maana ameyasikis mwenyewe mtumi.

Kwa hvyo mtiririko uko hivo.

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
 
Back
Top Bottom