Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Ntaka
Hiyo aya 6:29 iliyokuwa attached umeisoma kwanza? Tumalizane hiyo halafu tuendelee kwingine. Kuna mauaji hapo?

Kuwa mkweli tu.
 
Hayo nimeyasikia sana lakini nadiriki kusema nimefanya "research" binafsi kuhusu hilo na iwe ni kweli au si kweli sijaliona tatizo.

Naomba uelewe kuwa ndoa ya Kiislam inatimia na kukamilika pale tu ambapo mwanamke anakubali kuoana kwa ridhaa yake na baada ya tendo la ndoa kufanyika (marriage consummated).

Baada ya kupata kuelewa huo, sasa napenda ufahamu kuwa kwa mila na desturi za makabila hata kwetu Tanzania (wengi hadi leo hii) wanafungishwa uchumba wangali wadogo kabisa (nasikia Wamasai hufunga (booking) uchumba hata mtoto hajazaliwa, kwa mimba tu. Kuwa binti akizaliwa atakuwa mke wa fulani.

Kwa maana hiyo, Mtume Muhammad sala Allahu alayhi wasalaam hana kosa hata ingekuwa kafunga uchumba na binti wa miaka mitatu wacha sita.

Muhimu hakutimiza ndoa (marriage consummated) binti akiwa na miaka 6. Hilo hapana ni uzushi tu.
Alifanya naye mapenzi akiwa Ana miaka Tisa,Je ni sawa mtu wa miaka 52 Tena anayejiita mtume kufanya mapenzi na binti wa miaka 9????,kwa hiyo wamasai kuoa mabinti wa umri mdogo ndo kunahalalisha mtume kufanya hivyo??

Noma
 
Hujaelewa nini??? Wakti ayat IKO wazi kwamba hilo ni agizo la allah kwa kinywa cha Muhammad, linatakiwa litekelezwe! Usipo TEKELEZA ujue wewe sio muislamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza u muongo! Hiyo aya wapi imeandikwa "Wafuasi wake wawauwe makafir kama alivyo agiza allah kwa kinywa cha Muhammad"? Kama mnavyodanganyana!

Aya ya Surat Tawba (6) 29 umeiweka wewe na sijaona hayo maneno "wawauwe makafir" uliyoyaandika wewe kwenye hiyo aya, unataka nikujibu hewa?

narudia ayat hii hapa suratul tawba:29 au 9:29! Hiyo 6:29 umeweka wewe kupoteza watu! Vipi bibie daawa ndio imepenya?
IMG_20190120_105435_304.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alifanya naye mapenzi akiwa Ana miaka Tisa,Je ni sawa mtu wa miaka 52 Tena anayejiita mtume kufanya mapenzi na binti wa miaka 9????,kwa hiyo wamasai kuoa mabinti wa umri mdogo ndo kunahalalisha mtume kufanya hivyo??

Noma
Oooh., naona la miaka 6 tumemaliza sasa umekuja na habari ya kufanya nae mapenzi akiwa na miaka 9.

Mbona hata ikiwa hivyo pia hakuna tatizo! Tumeona watoto wa miaka 10 wakizaa tena nje ya ndoa, hapa hapa kuna habari hii: Mtoto wa kike miak 5 na miezi 7 na siku 17 azaa mtoto mwenzi wake! - JamiiForums

Kama msichana kishakuwa mwanamke na umbo linamruhusu na ni mke wa halali kwanini iwe tatizo?

Kumbuka kuwa leo unaishi na sheria ambazo hazikuwepo miaka hiyo. Tanzania hii yetu mpak juzi juzi tu umri halali wa ndoa ulikuwa miaka 14. Sasa fikiri kabla ya hiyo sheria? Fikiri makabila yanayooza watoto wakiwa bado ni mimba tu huwa wanachukua wake zao wakiwa na miaka mingapi?

Mimi nashangaa mtu kuleta argument ya mwanamke kuolewa akiwa na miaka 9 miaka 1400 iliyopita, hivi hamsomi historia? Kuwa watoto wa kike miaka hiyo walikuwa wakizaliwa tu wa kike wanauliwa kwa kuwa ni wanawake tu! Nani alikuja kuondosha hayo kwenye ujahalia uliokithiri?

Leo kuna mabalaa chungu nzima ya mapadri na maaskofu kuharibu watoto wadogo makanisani kwa maelfu, hamnyanyui mdomo. Mnanyanyua mdomo mtu kujaribu kushutumu mtu kuoa kihalali kwa idhini ya wazazi wa mtoto wa kike bila kulazimishwa wala kubakwa? Hebu jaribuni leo hii kunyanyua mdomo kwa haya kama kweli nyinyi ni wapenda haki: Catholic Church sexual abuse cases - Wikipedia
 
Bado hujanijibu,unahalalisha upumbavu wa Mohammed kwa vitendo vya ulawiti vinavyofanywa na baadhi ya mapadri,unajibu hoja zako kidini,labda nikwambie tu Mimi siamini katika dini,swali langu Ni hili,je Ni sawa mtu wa miaka 52 Tena mnayemwita mtume kufanya mapenzi na binti wa miaka 9???

Noma
 
Unataka ayat ya wauweni sio?! Hiyo hapo OMBA jengineView attachment 1015468

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekubali kuwa ile ya kwanza ulidanganya.

Na hii aya uliyoweka ni nzuri sana na inaku desribe wewe to the dot na kukengeuka kwako.

Soma vizuri nnakuwekea "context" ili usiendelee kukengeuka na kupotosha watu:

Qur'an 4:
4_89.gif

89. Wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini ya Mwenyezi Mungu. Na wakikengeuka basi wakamateni na wauweni popote mnapo wapata. Wala msimfanye rafiki katika wao wala msaidizi 89

4_90.gif

90. Isipokuwa wale walio fungamana na watu ambao mna ahadi baina yenu na wao, au wanakujieni na vifua vyao vina dhiki kupigana nanyi, au kupigana na watu wao. Na lau angeli penda Mwenyezi Mungu angeli wasaliti juu yenu wakapigana nanyi. Basi wakijitenga nanyi, wasipigane nanyi, na wakakuleteeni amani, basi Mwenyezi Mungu hakukupeni njia kupigana nao 90

4_91.gif

91. Mtawakuta wengine wanataka wapate salama kwenu na salama kwa watu wao. Kila wakirudishwa kwenye fitna hudidimizwa humo. Ikiwa hawajitengi nanyi, na wakakuleteeni salama, na wakazuia mikono yao, basi wakamateni na wauweni popote mnapo wakuta. Na juu ya hao ndio tumekupeni hoja zilizo wazi 91

4_92.gif

92. Na haiwi Muumini kumuuwa Muumini ila kwa kukosea. Na mwenye kumuuwa Muumini kwa kukosea basi amkomboe mtumwa aliye Muumini, na atoe diya kuwapa jamaa za maiti, isipo kuwa waache wenyewe kuwa ni sadaka. Na akiwa ni jamaa wa maadui zenu, hali yeye ni Muumini, basi ni kumkomboa mtumwa aliye Muumini. Na akiwa ni miongoni wa watu ambao pana ahadi baina yenu na wao basi wapewe diya watu wake na akombolewe mtumwa Muumini. Na asiye pata, basi afunge miezi miwili mfululizo, kuwa ni toba kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye hikima. 92

4_93.gif

93. Na mwenye kumuuwa Muumini kwa kukusudia, basi malipo yake ni Jahannamu humo atadumu, na Mwenyezi Mungu amemkasirikia, na amemlaani, na amemuandalia adhabu kubwa. 93
 
Mkuu hao ni wazoefu ku-edit Kauli za allah, hadi wanamuona hajui ilaha wao ndio wajuzi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajisema mwenyewe. Tumekubamba umeleta aya halafu ukaongezea maneno yako, sasa unajitoa kimasomaso. Yamekushinda kule umekimbia unaona uje hapa? Hapa ndiyo umebuuugi maaaan.
 
Hayo nimeyasikia sana lakini nadiriki kusema nimefanya "research" binafsi kuhusu hilo na iwe ni kweli au si kweli sijaliona tatizo.

Naomba uelewe kuwa ndoa ya Kiislam inatimia na kukamilika pale tu ambapo mwanamke anakubali kuoana kwa ridhaa yake na baada ya tendo la ndoa kufanyika (marriage consummated).

Baada ya kupata kuelewa huo, sasa napenda ufahamu kuwa kwa mila na desturi za makabila hata kwetu Tanzania (wengi hadi leo hii) wanafungishwa uchumba wangali wadogo kabisa (nasikia Wamasai hufunga (booking) uchumba hata mtoto hajazaliwa, kwa mimba tu. Kuwa binti akizaliwa atakuwa mke wa fulani.

Kwa maana hiyo, Mtume Muhammad sala Allahu alayhi wasalaam hana kosa hata ingekuwa kafunga uchumba na binti wa miaka mitatu wacha sita.

Muhimu hakutimiza ndoa (marriage consummated) binti akiwa na miaka 6. Hilo hapana ni uzushi tu.
Alimuingilia akiwa na miaka.9 nahitmisha kwa kusema kwamba tukubaliane kwamba muhammad alimuingilia aishah akiwa bado mtoto! Hivyo watoto WETU wa kike tuwachunge hasa tukiona Babu Muumini kiguu na njia nyumbani kwako huku una mtoto wa kike! Sababu wameelekezwa na allah muhammad ndiye Kigezo chao chema...
IMG_20190207_113655_703.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20190207_112007_380.jpeg
    IMG_20190207_112007_380.jpeg
    12.1 KB · Views: 22
Ntaka
Hiyo aya 6:29 iliyokuwa attached umeisoma kwanza? Tumalizane hiyo halafu tuendelee kwingine. Kuna mauaji hapo?

Kuwa mkweli tu.
Sorry mi inayonitisha ni An-Nisaa(89), je ni kweli kama alivyoinukuu Mgen kwamba asiyekuwa muislam(ASIYEAMINI DINI YA MOHAMAD) mmtenge na kama vip mmuue kabisa? Kama siyo ukweli ni upi.
 
Unajisema mwenyewe. Tumekubamba umeleta aya halafu ukaongezea maneno yako, sasa unajitoa kimasomaso. Yamekushinda kule umekimbia unaona uje hapa? Hapa ndiyo umebuuugi maaaan.
Nikuulize kulingana na hii ayat kuna NENO PIGANENI HADI WALIPE KODI KWA HIARI! Sio Vita hiyo! Mnapo pigana lengo ni nini? Tulipo pigana na idi amini hawakufa watu? Umefikia mahali Hujui la dhara wala maskhara!
IMG_20190120_105435_304.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekubali kuwa ile ya kwanza ulidanganya.

Na hii aya uliyoweka ni nzuri sana na inaku desribe wewe to the dot na kukengeuka kwako.

Soma vizuri nnakuwekea "context" ili usiendelee kukengeuka na kupotosha watu:

Qur'an 4:
4_89.gif

89. Wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini ya Mwenyezi Mungu. Na wakikengeuka basi wakamateni na wauweni popote mnapo wapata. Wala msimfanye rafiki katika wao wala msaidizi 89

4_90.gif

90. Isipokuwa wale walio fungamana na watu ambao mna ahadi baina yenu na wao, au wanakujieni na vifua vyao vina dhiki kupigana nanyi, au kupigana na watu wao. Na lau angeli penda Mwenyezi Mungu angeli wasaliti juu yenu wakapigana nanyi. Basi wakijitenga nanyi, wasipigane nanyi, na wakakuleteeni amani, basi Mwenyezi Mungu hakukupeni njia kupigana nao 90

4_91.gif

91. Mtawakuta wengine wanataka wapate salama kwenu na salama kwa watu wao. Kila wakirudishwa kwenye fitna hudidimizwa humo. Ikiwa hawajitengi nanyi, na wakakuleteeni salama, na wakazuia mikono yao, basi wakamateni na wauweni popote mnapo wakuta. Na juu ya hao ndio tumekupeni hoja zilizo wazi 91

4_92.gif

92. Na haiwi Muumini kumuuwa Muumini ila kwa kukosea. Na mwenye kumuuwa Muumini kwa kukosea basi amkomboe mtumwa aliye Muumini, na atoe diya kuwapa jamaa za maiti, isipo kuwa waache wenyewe kuwa ni sadaka. Na akiwa ni jamaa wa maadui zenu, hali yeye ni Muumini, basi ni kumkomboa mtumwa aliye Muumini. Na akiwa ni miongoni wa watu ambao pana ahadi baina yenu na wao basi wapewe diya watu wake na akombolewe mtumwa Muumini. Na asiye pata, basi afunge miezi miwili mfululizo, kuwa ni toba kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye hikima. 92

4_93.gif

93. Na mwenye kumuuwa Muumini kwa kukusudia, basi malipo yake ni Jahannamu humo atadumu, na Mwenyezi Mungu amemkasirikia, na amemlaani, na amemuandalia adhabu kubwa. 93
Mbona hata hii uliyoleta wewe bado inawahimiza kutofanya marafiki miongoni mwao, kuwatenga mpaka wahame na kuwaua endapo watakengeuka. Si ni yaleyale tu
 
Aya ipi unaongelea? Mimi nime quote tu "context" na kuhimiza isomwe "context".

Unafahamu maana ya " context"?
 
Nikuulize kulingana na hii ayat kuna NENO PIGANENI HADI WALIPE KODI KWA HIARI! Sio Vita hiyo! Mnapo pigana lengo ni nini? Tulipo pigana na idi amini hawakufa watu? Umefikia mahali Hujui la dhara wala maskhara!View attachment 1015647

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam, sasa kikwenu ndiyo maana yake "wauweni makafiri" kama ulivyozua huko juu?

Hata Magufuli Tanzania anaamrisha watu kulipa kodi na kupambana na wakwepa kodi kwa njia yoyote ile. Cha ajabu nini hapo?
 
Mbona hata hii uliyoleta wewe bado inawahimiza kutofanya marafiki miongoni mwao, kuwatenga mpaka wahame na kuwaua endapo watakengeuka. Si ni yaleyale tu

Bado hujanijibu, ile ya 9:26 umekubali kuwa mgen alidanganya? Au una macho lakini hayaoni una masikio lakini hayasikii?

Kuhusu hoja yako, ulitaka wafanye urafiki na maadui waliokuwa na vita nao? Uliona wapi hiyo?
 
Back
Top Bottom