Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo lugha uliyoitumia ni ya mtu aliyeuona ukweli ukamuuuma. Siiishangai.Bi mkubwa kwanini umeamua kuwa muongo wakati mja mwema Haroun poalipata kusema hivi "Laiti kama uongo ungekuwa ni jambo jema lenye kuruhusiwa kulitenda, nisinge litenda kwa ajili ya kujitakasa"
Uongo ni kinyume cha Ukweli, na uongo ni mbaya sana. Uliyo yaandika hapa hasa kwenye nukta ya kwamba mimi huwa natumia neno hilo au kauli hiyo baada ya kushindwa hoja, sio kweli.
Na tukiandika tuandike ya kweli.
Haina maana nimekudharau mama yangu,ila nilifanya vile kuepuka mabishano ila sio kwamba ushahidi sina.Naendeleza azma yangu ya kukufundisha uuungwana wa kutoharibu nyuzi za watu kwa kuendeleza mjadala wa mambo yaliyo nje ya mada iliyopo, ndiyo maana nakuleta huku. Na ndiyo sababu kuu ya mimi kuanzisha hizi nyuzi za mada tofauti.
Maajabu ya JF, hilo neno la "kazi yangu nimemaliza" analitumia sana mtu anaejiita Zurri pale anapoona anashindwa kujibu mada. Naona na wewe unamuiga, au?
Kazi huna, utaimaliza vipi?
Jibu hiyo hadith ya nani kwa ushahidi. Usikimbie.
Si ulijua kama unasema ndio maana ukan tag. Wangapi wanakosea na hawajui kama wamekosea bali wanajua wepatia ?Ningekuwa muongo nisinge ku tag. Kumbuka hilo.
Haina noma mama.Nimeonna unaharibu mada ya kanzu kwa makusudi ndiyo nikakuleta huku.
Mkuu naona kakuita mama yetu.Bi mkubwa kwanini umeamua kuwa muongo wakati mja mwema Haroun alipata kusema hivi "Laiti kama uongo ungekuwa ni jambo jema lenye kuruhusiwa kulitenda, nisinge litenda kwa ajili ya kujitakasa"
Uongo ni kinyume cha Ukweli, na uongo ni mbaya sana. Uliyo yaandika hapa hasa kwenye nukta ya kwamba mimi huwa natumia neno hilo au kauli hiyo baada ya kushindwa hoja, sio kweli.
Na tukiandika tuandike ya kweli.
Naongezea hapo, tena wanazuoni wanapo isherehesha hiyo hadithi huanza kwa kusema bali ndio maana aliyo ikusudia mtume wa Allah amani iwe juu yale ya kuwa "Kwa kawaida na ilivyo zoeleka mwanamke huolewa kwa moja kati ya hayo mambo manne ...." ndio maana mtume mwisho akasema izingatiwe dini ili mikono yako isije kushika mchanga kwa maana ukapomoka yaani ukapoteza.Haina maana nimekudharau mama yangu,ila nilifanya vile kuepuka mabishano ila sio kwamba ushahidi sina.
Labda nikupe nambari za hadithi.
ﻫﺬﺍ ﺍﻟﺤﺪﻳﺚ ﺭﻭﺍﻩ ﺍﻟﺒﺨﺎﺭﻱ ( 4802 ) ﻭﻣﺴﻠﻢ ( 1466 ) ﻋَﻦْ ﺃَﺑِﻲ ﻫُﺮَﻳْﺮَﺓَ ﺭَﺿِﻲَ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﻋَﻨْﻪُ ﻋَﻦْ ﺍﻟﻨَّﺒِﻲِّ ﺻَﻠَّﻰ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﻋَﻠَﻴْﻪِ ﻭَﺳَﻠَّﻢَ ﻗَﺎﻝَ : ( ﺗُﻨْﻜَﺢُ ﺍﻟْﻤَﺮْﺃَﺓُ ﻟِﺄَﺭْﺑَﻊٍ : ﻟِﻤَﺎﻟِﻬَﺎ ، ﻭَﻟِﺤَﺴَﺒِﻬَﺎ ، ﻭَﻟِﺠَﻤَﺎﻟِﻬَﺎ ، ﻭَﻟِﺪِﻳﻨِﻬَﺎ ، ﻓَﺎﻇْﻔَﺮْ ﺑِﺬَﺍﺕِ ﺍﻟﺪِّﻳﻦِ ﺗَﺮِﺑَﺖْ ﻳَﺪَﺍﻙَ ) .
Ukienda katika swahihu al bukhaariy hadithi ya 4802 siio tu kwamba ipo kwa bukhari bali kwa muslim hadith nambari 1466.
Ukienda katika vitabu utakuta na sanadi za hadithi na uhakika wake.
Mtume katumia neno "tunkahu" kwa maana ya wazni wa "tuf'alu" yaani mtendwa.
Na hapo hasa katika swarfu inafahamika ya kuwa tufalu na tunkahu ni mtendwa sasa anatendewa nini ndo huko kuolewa.
Sasa ukisema iwe kuowana lingetumika neno gani hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani umemaanisha. "arkisus".Naendeleza azma yangu ya kukufundisha uuungwana wa kutoharibu nyuzi za watu kwa kuendeleza mjadala wa mambo yaliyo nje ya mada iliyopo, ndiyo maana nakuleta huku. Na ndiyo sababu kuu ya mimi kuanzisha hizi nyuzi za mada tofauti.
Maajabu ya JF, hilo neno la "kazi yangu nimemaliza" analitumia sana mtu anaejiita Zurri pale anapoona anashindwa kujibu mada. Naona na wewe unamuiga, au?
Kazi huna, utaimaliza vipi?
Jibu hiyo hadith ya nani kwa ushahidi. Usikimbie.
Saidianeni kwanza kutafsiri neno hili inapoanza hiyo hadithi...Haina maana nimekudharau mama yangu,ila nilifanya vile kuepuka mabishano ila sio kwamba ushahidi sina.
Labda nikupe nambari za hadithi.
ﻫﺬﺍ ﺍﻟﺤﺪﻳﺚ ﺭﻭﺍﻩ ﺍﻟﺒﺨﺎﺭﻱ ( 4802 ) ﻭﻣﺴﻠﻢ ( 1466 ) ﻋَﻦْ ﺃَﺑِﻲ ﻫُﺮَﻳْﺮَﺓَ ﺭَﺿِﻲَ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﻋَﻨْﻪُ ﻋَﻦْ ﺍﻟﻨَّﺒِﻲِّ ﺻَﻠَّﻰ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﻋَﻠَﻴْﻪِ ﻭَﺳَﻠَّﻢَ ﻗَﺎﻝَ : ( ﺗُﻨْﻜَﺢُ ﺍﻟْﻤَﺮْﺃَﺓُ ﻟِﺄَﺭْﺑَﻊٍ : ﻟِﻤَﺎﻟِﻬَﺎ ، ﻭَﻟِﺤَﺴَﺒِﻬَﺎ ، ﻭَﻟِﺠَﻤَﺎﻟِﻬَﺎ ، ﻭَﻟِﺪِﻳﻨِﻬَﺎ ، ﻓَﺎﻇْﻔَﺮْ ﺑِﺬَﺍﺕِ ﺍﻟﺪِّﻳﻦِ ﺗَﺮِﺑَﺖْ ﻳَﺪَﺍﻙَ ) .
Ukienda katika swahihu al bukhaariy hadithi ya 4802 siio tu kwamba ipo kwa bukhari bali kwa muslim hadith nambari 1466.
Ukienda katika vitabu utakuta na sanadi za hadithi na uhakika wake.
Mtume katumia neno "tunkahu" kwa maana ya wazni wa "tuf'alu" yaani mtendwa.
Na hapo hasa katika swarfu inafahamika ya kuwa tufalu na tunkahu ni mtendwa sasa anatendewa nini ndo huko kuolewa.
Sasa ukisema iwe kuowana lingetumika neno gani hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bi mkubwa mwepesi tatizo mbishi mno, na hajui matumizi ya maneno,hapo umemueleza haki kabisa lakini kwa kujitia "Umakame nguvu" ana kataa na hoja za kielimu hana, una shangaa inakuwake anataguliza maana ya kilugha mbele ya maana ya kisheria ? Hakui kama mtume alivyokuja aliwafundisha maana za maneno waarabu kwa mujibu wa sheria imavyotaka japo wao walikuwa wanajua maana nyingine ?
Tena huko usiende kabisa kwa kuwa wewe kule tulipoanzia na hapa napo unajaribu kulitafsiri neno "Nikah" Kwa Kiswahili na kulifanya ni 'kuoa". Wakati aya haijaandika Kiswahili.Kwanza unaijua swarfu namna ya kubadilisha maneno kwa kutumia vipimo mbali mbali...?
Kama unajua naomba nipe tafsiri ya neno ينكح kwa wazni wa تفاعل
Ili tuone huo.wazni wake umetumika wapi katika Qurani na hadithi ikikusudia kuoawana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyo nitag ulinivaa na wenzangu au dhati yangu ?Kwa maandiko yako hayo umeshajidhihirisha wazi kuwa mjadala huuwezi.
Umeacha mjadala unanivaa mimi binafsi, inahusu nini?
Sikushangai, nafahamu ndipo uwezo wako ulipoishia.
Na kile ulichoni tag kwacho mimi nimekiendeleza. Na niliyo yasema kuhusu wewe sijakuzulia hata kimoja na nimekupa stahiki yako.Sababu za kuku "tag" niimeshakujulisha juu hapo. Nikukumbushe namba ya post?
Na nikakujibu. Hukuliona jibu lako nikuwekee namba ya post?Na kile ulichoni tag kwacho mimi nimekiendeleza. Na niliyo yasema kuhusu wewe sijakuzulia hata kimoja na nimekupa stahiki yako.
Na nikakujibu. Hukuliona jibu lako nikuwekee namba ya post?
Naona unajitahidi sana kuukwepa mjadala kwa kuendelea kunivaa binafsi.
Sikushangai, nafahamu ndipo uwezo wako ulipoishia.
Hadithi umepewa na marejeo na nambari ya hadithi wataka nini tena?Saidianeni kwanza kutafsiri neno hili inapoanza hiyo hadithi...
ﻫﺬﺍ ﺍﻟﺤﺪﻳﺚ ﺭﻭﺍﻩ ﺍﻟﺒﺨﺎﺭﻱ
Semeni Kiswahili chake nini?
Mada imekushinda unaleta ubishi wa kitoto. Waarabu wanasema...Bi mkubwa naona tamko "binafsi" linakushinda kulitumia. Nakukumbusha ya kuwa nilikukirimu kama ulivyokuja kwa kunitag na kile ulichokisema na mimi nikakukirimu kwa mtindo ule ule.
Ulipo nituhumu ya kuwa mimi hutumia ile kauli baada ya kuona nimeshindwa hoja kitendo kile kwangu kina tofauti gani na mimi kukufichua wewe ? Ukishindwa kutoa tofauti, nakuja kukuelekeza namna ya kumjeruhi mtu kwa mambo yake binafsi na kumjeruhi mtu kinyume chake. Nasisitiza hivi sijagusa mambo yako binafsi yaani sijaku jeruhi kwa binafsi yako.
Nimetaka tafsiri ya neno hili,Hadithi umepewa na marejeo na nambari ya hadithi wataka nini tena?
Kwani hadithi ilo iwe ya mtume unataka iweje mama angu?
Mbona huwi mzuri wa kutafakari.
Sent using Jamii Forums mobile app