Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kuzaliwa na Waislam hakumaanishi unaujuwa UISLAM.

Ungeujuwa Uislam usingethubutu kuritadi.

Sasa rudi ulete hadith siyo porojo.
Nimeritad maana nimeujua ,hata wewe ukitoka nje ya boksi utaritad na kumpokea Yesu awe Bwana na mwokozi wa Maisha yako
 
Hauujuwi Uislam.

Leta hizo hadith tukufundishe au kiri hauna uulize kingine.

Huu siyo uzi wa porojo.
Nimekupa hadithi umezikataa ,

Kama...ni za uongo wewe ndiwe unatakiwa uzikanushe kwa kuleta halisi

Hiyo ndio kanuni

Uislamu naujua ,na niliukana ndani ya msikiti mji mwema kigamboni mbele ya shekh .Nimezaliwa humo na kukulia madrasa ,

Muombe Mungu akuoneshe Njia ya kweli na Uzima .....usijifungie ndani ya boksi

Kama hizi hadithi ni uongo au napotosha leta za ukweli ,
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa: Mtume (s.a.w) amesema, "Ye yote mwenye kutukana, basi huyo amejambiwa na Shetani katika Mdomo wake." (Fat'hul Baary J. 10, Uk. 176)

SHETANI ANALALA KWENYE PUA ZA WAISLAMU:

Amesimulia Abu Huraira (r.a) Mtume (s.a.w) alisema “Mmoja wenu anapoamka kutoka usingizini, basa atawadhe na apandishe maji puani, na apenge mara tatu, kwa sababu shetani alilala ndani ya tundu za pua yake” (Bukhari, Hadithi na. 516, juzuu ya 4)

Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
 
Hadith zote ni hadithi na zitabaki kuwa hadith kwa maana halisi ya neno hadith.

Naamini, hakuna hata moja ambayo ni "hadith ya mtume" kama wengi wanavyotaka ifahamike. Hizo ni hadith (riwaya) za watu wengine walioelezea wanavyodhani au wanavyofikiri ilivyokuwa wakati wa Mtume au waliokuwa karibu na Mtume, zinaweza kuwa kweli au uongo. Zote za kuokoteza okoteza miaka takriban 200 baada ya Mtume Kufariki.

Mfano, Mimi nikwambie "Magufuli kasema hasaidii mtu ataesombwa na mafuriko Rufiji", hiyo hadith ni ya Magufuli au yangu namuongelea Magufuli?

Au Mimi nihadithie " nilimuona Nyerere kashuka kwenye gari anasalimiana na watu Lumumba", hiyo hadith ya Nyerere au yangu naelezea ya Nyerere?

Mimi nasema hizo ni hadith zangu si za Magufuli wala Nyerere.

Ingawa naamini kuwa hizo hadith zote si za Mtume Muhammad na kwa kuwa hizo hadith zote zipo na waliozikusanya na kuziandika wamejitahidi na hakuna kati yao aliyeandika kuwa hizi "hadith za mtume" (kama yupo basi kakosea) bali wanaandika "kahadithia fulani...". Waliandika kama historia tu, miaka takriban 200 baada ya Mtume Muhammad na masahaba (marafiki) zake kufariki.

Katika hizo hizo pia zote zinazopingana na mafundisho ya Qur'an sizikubali.

Zote zenye lugha isiyokuwa na adabu sizikubali.

Zote zote ambazo hukuti maudhui yake kwenye Qur'an sizikubali.

Umeelewa? Wajulishe na wenzako wanaojiita Zurri na safuher.

Hujui dini na ndio maana maswali yangu unayakimbia.
 
Nimekupa hadithi umezikataa ,

Kama...ni za uongo wewe ndiwe unatakiwa uzikanushe kwa kuleta halisi

Hiyo ndio kanuni

Uislamu naujua ,na niliukana ndani ya msikiti mji mwema kigamboni mbele ya shekh .Nimezaliwa humo na kukulia madrasa ,

Muombe Mungu akuoneshe Njia ya kweli na Uzima .....usijifungie ndani ya boksi

Kama hizi hadithi ni uongo au napotosha leta za ukweli ,
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa: Mtume (s.a.w) amesema, "Ye yote mwenye kutukana, basi huyo amejambiwa na Shetani katika Mdomo wake." (Fat'hul Baary J. 10, Uk. 176)

SHETANI ANALALA KWENYE PUA ZA WAISLAMU:

Amesimulia Abu Huraira (r.a) Mtume (s.a.w) alisema “Mmoja wenu anapoamka kutoka usingizini, basa atawadhe na apandishe maji puani, na apenge mara tatu, kwa sababu shetani alilala ndani ya tundu za pua yake” (Bukhari, Hadithi na. 516, juzuu ya 4)

Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Hayo majina uliowataja kwenye hizo hadithi zako wote hawakuwahi kuandika KISWAHILI.

Kwa hiyo siwezi ku "entertain forgery". Kama unazo hadith "original" weka kama huna basi usinipotezee muda na huo uzushi wako.

Wewe huoni Mimi nikiweka Aya za Qur'an? Naweka Aya "original" na tafsiri au ya Kiswahili au ya Kingereza ambayo si Qur'an, ni maneno ya aliyetafsiri kajitahidi wasiojuwa Kiarabu waelewe.

Sasa Mimi naelewa Kiarabu, hizo ulizoleta ni hadithi zako tu usiwabambikie hayo majina uliyoandika kwenye hizo tungo zako. Tazama hadith hii...

كتاب صفة القيامة والجنة والنار
52
Characteristics of the Day of Judgment, Paradise, and Hell

Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
A bulky person would be brought on the Day of judgment and he would not carry the weight to the eye of Allah equal even to that of a gnat. Nor shall We set up a balance for them on the Day of Resurrection" (xviii. 105).

حَدَّثَنِي أَبُو بَكْرِ بْنُ إِسْحَاقَ، حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ بُكَيْرٍ، حَدَّثَنِي الْمُغِيرَةُ، - يَعْنِي الْحِزَامِيَّ - عَنْ أَبِي الزِّنَادِ، عَنِ الأَعْرَجِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، عَنْ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏"‏ إِنَّهُ لَيَأْتِي الرَّجُلُ الْعَظِيمُ السَّمِينُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ لاَ يَزِنُ عِنْدَ اللَّهِ جَنَاحَ بَعُوضَةٍ اقْرَءُوا ‏{‏ فَلاَ نُقِيمُ لَهُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَزْنًا‏}‏ ‏"‏ ‏.‏
Reference : Sahih Muslim 2785
In-book reference : Book 52, Hadith 1
USC-MSA web (English)
 
Hujui dini na ndio maana maswali yangu unayakimbia.
Bado nasubiri ulivyosema uongo wako ulioizulia Qur'an kuhusu Aya za adhabu ya kaburi. Nasubiri. Unaona haya kukiri kuwa hujaziona? Usione haya ulidanganywa na hadith za uongo....

Una mengi ya kujifunza. Soma kijana...

Qur'an 2:
2_256.gif

256. Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua. 256

2_257.gif

257. Mwenyezi Mungu ni Mlinzi wa walio amini. Huwatoa gizani na kuwaingiza mwangazani. Lakini walio kufuru, walinzi wao ni Mashet'ani. Huwatoa kwenye mwangaza na kuwaingiza gizani. Hao ndio watu wa Motoni, na humo watadumu. 257
 
Sasa kama hujibi maswali yangu na aya moja tu nimekuwekea lakini umeshindwa, hii inakuwa haina maana na nakuwa napoteza muda tu.

Silei ujinga bi mkubwa. Jibu maswali yangu kisha nikuwekee nyingine. Itifaki izingatiwe tu.
 
Naendaje na huku sijui kiarabu
Onana na imam wa hapo msikitini. Sura moja ya mistari saba inakuchukuwa siku ngapi kufundishwa ukaielewa? Sura hii tu inakutosha kujifunza na kuanzia kuswali, mengine atakuelekeza imam...

Qur'an 1:
1_0.gif

1. KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 1

1_2.gif

2. Sifa njema zote ni za Mwenyeezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; 2

1_3.gif

3. Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; 3

1_4.gif

4. Mwenye kumiliki siku ya malipo. 4

1_5.gif

5. Wewe tu tunakuabudu, na wewe tu tunakuomba msaada. 5

1_6.gif

6. Tuongoe njia iliyonyooka. 6

1_7.gif

7. Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
7
 
Sasa kama hujibi maswali yangu na aya moja tu nimekuwekea lakini umeshindwa, hii inakuwa haina maana na nakuwa napoteza muda tu.

Silei ujinga bi mkubwa. Jibu maswali yangu kisha nikuwekee nyingine. Itifaki izingatiwe tu.
Kasome nilikujibu. Uliongezea maneno yako nikakupa ya uso.

Nikakwambia hakuna adhabu ya kaburi hapo. Unataka kulazimisha?

Qur'an ipo waziwazi.
 
Bi mkubwa wewe ni muongo, yale maelezo yamefafanua ile aya, ndio maana ulipo kataa nikakuuliza utuambie wewe sasa lile tamko la "...adhabu mara mbili" lina maanisha nini, mpaka sasa hujajibu hili swali.

Nikakuuliza tena swali dogo, kikao cha mwisho kabla ya kutoa salamu katika sala huwa unakisomaje ? Hili nahisi mpaka kesho huwezi kulijibu.

Swali lingine ni kuhusu hadithi, hili nimeoma ndio umelijibu sasa hivi. Sasa wewe katika mizani ya Uislamu wewe sio Muislamu, maana unaipinga Qur'aan wazi wazi.

Swali lingine, ibada zako huwa unazifanyaje bi mkubwa ?

Sasa hapa kwangubi mkubwa lazima utaumia, na laiti kama ungekuwa unajibu maswali,hili jambo lingekuwa limeisha kitambo sana.
 
Wewe Acha ujinga. Utafafanua vipi Aya isiyo na adhabu ya kaburi useme ni adhabu ya kaburi? Qur'an imekamilika hautakiwi uongeze yako.

Soma Qur'an inakufundisha nini...

Qur'an 6:
6_19.gif

19. Sema: Kitu gani ushahidi wake mkubwa kabisa? Sema: Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye shahidi baina yangu na nyinyi. Na nimefunuliwa Qur'ani hii ili kwayo nikuonyeni nyinyi na kila inayo mfikia. Ati kweli nyinyi mnashuhudia kuwa pamoja na Mwenyezi Mungu wapo miungu wengine? Sema: Mimi sishuhudii hayo. Sema: Hakika Yeye ni Mungu mmoja tu, nami ni mbali na mnao washirikisha. 19

6_20.gif

20. Wale Tulio wapa Kitabu wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao. Wale walio zikhasiri nafsi zao hawaamini. 20

6_21.gif

21. Na nani dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu, na akazikanusha Ishara zake? Hakika madhaalimu hawafanikiwi.
21
 
Nacheka tulia, nikufundishe. Wewe si ulidai na kukataa ule ufafanuzi wangu. Sasa katika ile aya lile tamko "....adhabu mara mbili" lina maanisha nini ? Hili ndio swali langu.

Sasa usikimbie swali.
 
Usije ukakimbia wewe tu.

Ingawa hujaiweka tena hiyo Aya lakini naifahamu.
Anza kupata darsa...

Kwanza elewa kuwa Aya hiyo inaongelea adhabu mara tatu si mara mbili pekee. Kasome vizuri kisha urudi useme umeziona mara mbili pekee unazozitajataja au mara tatu ninazokufundisha mimi?

Tuanzie hapo.
 
Hii ni hadithi kama ilivyoandikwa na Bukhari

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran sana. Nadhani na Vijana, Zurri na safuher walioogopa au walioshindwa hata kujaribu kujibu hilo watapitia kusoma. Ahsante sana kwa kuwasaidia lakini kidogo umekosea tafsiri ya neno ﺭﻭﺍﻩ nalo si "ilivyoandikwa" bali ni "ilivyosimuliwa".

Kwa hiyo tafsiri sahihi ya maneno hayo ni "Hadith hii ilisimuliwa na Al-Bukhari".

Sasa kama inasema "ilisimuliwa na ..." Ina maana Bukhari ndiyo mwandishi?
 
Usije ukakimbia wewe tu.

Ingawa hujaiweka tena hiyo Aya lakini naifahamu.
Anza kupata darsa...

Kwanza elewa kuwa Aya hiyo inaongelea adhabu mara tatu si mara mbili pekee. Kasome vizuri kisha urudi useme umeziona mara mbili pekee unazozitajataja au mara tatu ninazokufundisha mimi?

Tuanzie hapo.
Bi mkubwa acha porojo jibu swali langu nililo kuuliza. Nakusaidia tena hapa nakuwekea tarjama ya aya.

Anasa Allah aliye juu :

“Na katika mabedui walio jirani zenu wamo wanafiki; na katika wenyeji wa Madiynah pia wapo waliobobea katika unafiki. Wewe huwajui. Sisi tunawajua. Tutawaadhibu mara mbili, kisha watarudishwa kwenye adhabu kubwa” (at Tawbah : 101).

Haya jibu swali langu sasa.
 
Shukran sana. Nadhani na Vijana, Zurri na safuher walioogopa au walioshindwa hata kujaribu kujibu hilo watapitia kusoma. Ahsante sana kwa kuwasaidia lakini kidogo umekosea tafsiri ya neno ﺭﻭﺍﻩ nalo si "ilivyoandikwa" bali ni "ilivyosimuliwa".

Kwa hiyo tafsiri sahihi ya maneno hayo ni "Hadith hii ilisimuliwa na Al-Bukhari".

Sasa kama inasema "ilisimuliwa na ..." Ina maana Bukhari ndiyo mwandishi?
Bi mkubwa una hangaika sana.
 
Bi mkubwa acha porojo jibu swali langu nililo kuuliza. Nakusaidia tena hapa nakuwekea tarjama ya aya.

Anasa Allah aliye juu :

“Na katika mabedui walio jirani zenu wamo wanafiki; na katika wenyeji wa Madiynah pia wapo waliobobea katika unafiki. Wewe huwajui. Sisi tunawajua. Tutawaadhibu mara mbili, kisha watarudishwa kwenye adhabu kubwa” (at Tawbah : 101).

Haya jibu swali langu sasa.

Usione haya hujaziona adhabu mara tatu hapo?
Porojo? Mimi au wewe uliyeziona mara mbili Tu na unapachika eti ni adhabu za kaburi. Khaaa; Nakushangaa sana kijana kutaka Qur'an iwe kama utakavyo wewe kwa sababu ya hadith ya uongo.

Sasa hapo kaburi lako liko wapi kijana?

Nenda kaanzie Aya ya 73 ukielewe hicho kisa. Hakuna adhabu ya kaburi hapo. Halafu hiyo uliyoiweka siyo Qur'an kijana ni 'tarjama" tu. Unarudia makosa yale yale ya wasio na kitabu "original" kijana.

Narudia, hakuna hapo adhabu ya kaburi. Usijidanganye. Tafuta kingine.
 
Bi mkubwa una hangaika sana.
Tena naona raha kweli kuwapa darsa hapa. Nafahamu linawaingia, na bado.

Soma...

Qur'an 31:6
وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ
Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua hadith (maneno ya upuuzi), ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungu pasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha
 
Usione haya hujaziona adhabu mara tatu hapo?
Porojo? Mimi au wewe uliyeziona mara mbili Tu na unapachika eti ni adhabu za kaburi. Khaaa; Nakushangaa sana kijana kutaka Qur'an iwe kama utakavyo wewe kwa sababu ya hadith ya uongo.

Nacheka sana, bi mkubwa nilikwambia lakini tangu mwanzo hapa lazima utaumia.

Adhabu ya tatu hapo ni ile kubwa imeshabainishwa, bado nipo hapa hapa kwenye "adhabu mara mbili" hizi ni adhabu gani ?

Bi mkubwa hapa lazima uumie, na silei ujinga.
Sasa hapo kaburi lako liko wapi kijana?

Bi mkubwa, usikimbie kivuli chako, hapa hutoki, niambie tamko "adhabu mara mbili" ina maana gani ? Usiruke ruke.
Nenda kaanzie Aya ya 73 ukielewe hicho kisa. Hakuna adhabu ya kaburi hapo. Halafu hiyo uliyoiweka siyo Qur'an kijana ni 'tarjama" tu. Unarudia makosa yale yale ya wasio na kitabu "original" kijana.

Na wewe unavyotuwekea tarjama kwahiyo tuwekee matini tupu ili itosheleze haja.

Bi mkubwa utakuwa na matatizo ya akili, naona unakikataa unacho kifanya, nani amekwambia hii ni Qur'aan hii ni tarjama ya Qur'aan kwa Kiswahili, kwahiyo nayo huitaki sio au sababu umeona huna pakutokea unasahau mpaka unachokifanya. Sasa tuliza akili, ujibu maswali niliyo kuuliza halafu mbona ni maswali rahisi sana.

Nakuuliza swali tu bi mkubwa, hiyo tarjama niliyo iweka imeenda kinyume na maana ya matini ya aya katika nini ? Embu nisaidie.
Narudia, hakuna hapo adhabu ya kaburi. Usijidanganye. Tafuta kingine.

Unajua mpaka najiuliza, kwanini hujibu maswali yangu ?

Ngoja nikuulize swali lingine dogo, maana wewe ni mdogo sana kielimu ndio maana nakuuliza maswali madogo madogo, hivi kwa mujibu wa Uislamu madawa ya kulevya ni halali au sio halali na je bangi je ?

Hivi ibada zako huwa unazifanya vipi huku ukiwa una kataa Hadithi tukufu za mtume. Umenikumbusha wajinga fulani waitwao "Qur'aaniyuun" wale ambao walikuja na code ya namba 19 katika uandishi wa Qur'aan, dunia ia vituko hii.

Sasa jibu maswali niliyo kuuliza.
 
Back
Top Bottom