FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #3,181
Asante sana ukht,ila mimi nilichotaka ni aya katika Qurani moja kwa moja inayoeleza kuwa ijumaa iwe rakaa ngapi.na sikutaka maelezo ya mtu.
Kwa sababu tukisema tulete maelezo ya watu wanavyoelezea kuna watu pia kwa kutumia Qurani hiyo hiyo kuna aya wanazielezea kuwa zinaonesha kuwa na adhabu za kaburi japokuwa aya haikusema kuwa kuna adhabu ya kaburi.
Na huku nyuma kuna mtu aliziweka aya kuonesha adhabu za kaburi kwa kuweka na maelezo ila uliyakataa kwa sababu ni kweli aya hazikutaja. NENO ADHABU YA KABURI KWA hyo ulikuwa na haki hiyo ya kukataa maelezo.
Na kuna aya ulizitoa kuwa Qurani iko wazi sana kwa maana haihitajii maelezo mengi ya watu kuifafanua.
Mm nataka Aya inayoeleza kuwa ijumaa iwe na rakaa kadhaa kama ambavyo wewe ulitaka aya inayoeleza kuwa kuna adhabu za kaburi.
Maelezo nje ya Qurani kila mtu anaweza kuyatoa ila sasa turudi kwenye Qurani peker.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salat ya Ijumaa imetajwa kwenye Qur'an na nimeonesha juu huko Aya ilipotajwa. Usilinganishe na "adhabu ya kaburi"ambayo haijatajwa kabisa kwenye Quran.
Allah anasema kwenye Qur'an kuwa Ayat (ishara) zake anazipambanua kwa watu wanao fikiri na ndiyo sababu hata wewe unaniuliza mimi na halikadhalika nami pia nakuonesha watu wenye kufikiri wamepambanuwa nini kuhusu salat zote, Video niliyokuwekea hutokuta humo akielezea nje ya Qur'an...
Qur'an 10:
24. Hakika mfano wa maisha ya dunia ni kama maji tuliyo yateremsha kutoka mbinguni, kisha yakachanganyika na mimea ya ardhi wanayo ila watu na wanyama. Mpaka ardhi ilipo kamilika uzuri wake, na ikapambika, na wenyewe wakadhani wamesha iweza, iliifikia amri yetu usiku au mchana, tukaifanya kama iliyo fyekwa - kama kwamba haikuwapo jana. Namna hivi tunazipambanua Ishara zetu kwa watu wanao fikiri.