Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Asante sana ukht,ila mimi nilichotaka ni aya katika Qurani moja kwa moja inayoeleza kuwa ijumaa iwe rakaa ngapi.na sikutaka maelezo ya mtu.
Kwa sababu tukisema tulete maelezo ya watu wanavyoelezea kuna watu pia kwa kutumia Qurani hiyo hiyo kuna aya wanazielezea kuwa zinaonesha kuwa na adhabu za kaburi japokuwa aya haikusema kuwa kuna adhabu ya kaburi.

Na huku nyuma kuna mtu aliziweka aya kuonesha adhabu za kaburi kwa kuweka na maelezo ila uliyakataa kwa sababu ni kweli aya hazikutaja. NENO ADHABU YA KABURI KWA hyo ulikuwa na haki hiyo ya kukataa maelezo.
Na kuna aya ulizitoa kuwa Qurani iko wazi sana kwa maana haihitajii maelezo mengi ya watu kuifafanua.

Mm nataka Aya inayoeleza kuwa ijumaa iwe na rakaa kadhaa kama ambavyo wewe ulitaka aya inayoeleza kuwa kuna adhabu za kaburi.
Maelezo nje ya Qurani kila mtu anaweza kuyatoa ila sasa turudi kwenye Qurani peker.

Sent using Jamii Forums mobile app

Salat ya Ijumaa imetajwa kwenye Qur'an na nimeonesha juu huko Aya ilipotajwa. Usilinganishe na "adhabu ya kaburi"ambayo haijatajwa kabisa kwenye Quran.

Allah anasema kwenye Qur'an kuwa Ayat (ishara) zake anazipambanua kwa watu wanao fikiri na ndiyo sababu hata wewe unaniuliza mimi na halikadhalika nami pia nakuonesha watu wenye kufikiri wamepambanuwa nini kuhusu salat zote, Video niliyokuwekea hutokuta humo akielezea nje ya Qur'an...

Qur'an 10:
10_24.gif

24. Hakika mfano wa maisha ya dunia ni kama maji tuliyo yateremsha kutoka mbinguni, kisha yakachanganyika na mimea ya ardhi wanayo ila watu na wanyama. Mpaka ardhi ilipo kamilika uzuri wake, na ikapambika, na wenyewe wakadhani wamesha iweza, iliifikia amri yetu usiku au mchana, tukaifanya kama iliyo fyekwa - kama kwamba haikuwapo jana. Namna hivi tunazipambanua Ishara zetu kwa watu wanao fikiri.
 
Na ni kweli kuwa hakuna aya imetaja wazi kuwa ijumaa iwe na rakaa kadhaa ndio maana yamekuwa haya maelezo?
Laiti ingelikuepo aya iliyoelezea hivyo je kungelikuwa na maelezo mengi badala ya kuweka hiyo aya tu dadaangu.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani unachoshindwa kuelewa ni kuwa sala ya Ijumaa imetajwa kwenye Qur'an. Pia sala zimetajwa kwenye Qur'an na zilikuwepo. Na si vyema kusingizia kitu kama vile hakikuwepo kabla ya kushushwa Quran.

Kama zilikuwepo salat ina maana Qur'an iliposhushwa ilizikuta na ikayakinisha kuwa zilikuwepo. Vipi zinasaliwa hayo ni masala mengine kabisa, kwani si Waislam wote wanaswali namna moja duniani? Rakaa zinatofautiana, hata namna za kuswali zinatofautiana. Jiulize, kwanini? Rudi kwenye video niliyokuwekea utapata jawabu zuri kabisa la kutoka ndani ya Qur'an.

Narudia. Hakuna hadith ya mtume. Huo ni uzushi. Kuna hadith (masimulizi) ya watu anaelezewa Mtume. Ingekuwa kuna "hadith" ya kweli ya Mtume mwenyewe kwanini watu wakhitilifiane? na wapokee tofauti tofauti? Mbona Qur'an haina hitilafu hizo? Fikiri.
 
Kuhusu kuwepo sala sina shaka kuwa ilikuepo,ila ninachotaka kujua ni namna ya sala kiutaratibu wake katika namna na idadi ya rakaa zake kwani ni jambo muhimu sana.kwa ssbabu sidhani kama Allah kataka tusali alafu namna ya kusali atuachie sisi kila mtu afanye kwa vile alivyoelewa yeye.

Vidio sitoweza kuitizama kwa sababu lugha yake siijui hivyo sitoelewa.ila mwanzo ulisema kuwa Qurani haihitaji tafsiri na maelezo ya watu na ukaweka aya kuwa Qurani iko wazi kabisa.
Ila sasa nilichotaka kufahamu ni aya gani ambayo imeeleza rakaa ndani ya Qurani kuhusu ijumaa?

Jee kama waislamu wanasali tofauti ina maana na Qurani pia ni uzushi kama hadithi tu kutokana na hizo ikhtilaafu za watu juu ya kusali kama ulivyosema wanasali tofauti?

Ikiwa kama tunasema kinachoitwa hadithi za mtume ni uzushi kwa sababu lau zingekuwa hadithi basi watu wasingekhitilafiana,basi kwa nini pia watu wakhitilafiane katika Qurani ina maana Qurani nayo ni uzushi kwa sababu watu wanakhitilafiana juu ya baadhi ya mambo ya humo?

Mfano umekiri mwenyewe kuwa sio waislamu wote duniani wanasali kwa namna mojs,kwa maana hiyo wanasali tofauti na sala imetajwa kwenye Qurani ila bado watu wanasali tofauti kwa hyo hapa tuseme na Qurani ni uzushi?

Nadhani unachoshindwani kuelewa ni kuwa sala ya Ijumaa imetajwa kwenye Qur'an. Pia sala zimetajwa kwenye Qur'an na zilikuwepo. Na si vyema kusingizia kitu kama vile hakikuwepo kabla ya kushushwa Quran.

Kama zilikuwepoa salat Una.maana Qur'an uliposhushwa ilizikuta na ikayakinisha kuwa zilikuwepo. Vipi zinasaliwa hayo no masala mengine kabisa kwani si Waislam wote wanaswali namna.moja duniani. Rakaa zinatofautiana, hata namna za kuswali zolinatofautiana. Jiulize, kwanini? Rudi kwenye video niliyokuwekea utapata jawabu zuri kabisa la kutoka ndani ya Qur'an.

Narudia. Hakuna hadith ya mtum. Huo ni uzushi. Kuna hadith (masimulizi) ya watu anaelezewa Mtume. Ingekuwa kuna "hadith" ya kweli ya Mtume mwenyewe kwanini watu wakhitilifiane? na wapokee tofauti tofauti? Mbona Qur'an haina hitilafu hizo? Fikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twayyib kama hayo maelezo hayatoki nje ya Qurani basi naomba niwekee hayo maelezO katika aya zake maalumu kwa sababu lugha ya humo siijui.ninukulie hizo aya ambazo kazitoa kwa kuwa maelezo yake hayatoki nje ya Qurani ingekuwa bora ukanifanyia hivyo.
Salat ya Ijumaa imetajwa kwenye Qur'an na nimeonesha juu huko Aya ilipotajwa. Usilinganishe na "adhabu ya kaburi"ambayo haijatajwa kabisa kwenye Quran.

Allah anasema kwenye Qur'an kuwa Ayat (ishara) zake anazipambanua kwa watu wanao fikiri na ndiyo sababu hata wewe unaniuliza mimi na halikadhalika nami pia nakuonesha watu wenye kufikiri wamepambanuwa nini kuhusu salat zote, Video niliyokuwekea hutokuta humo akielezea nje ya Qur'an...

Qur'an 10:
10_24.gif

24. Hakika mfano wa maisha ya dunia ni kama maji tuliyo yateremsha kutoka mbinguni, kisha yakachanganyika na mimea ya ardhi wanayo ila watu na wanyama. Mpaka ardhi ilipo kamilika uzuri wake, na ikapambika, na wenyewe wakadhani wamesha iweza, iliifikia amri yetu usiku au mchana, tukaifanya kama iliyo fyekwa - kama kwamba haikuwapo jana. Namna hivi tunazipambanua Ishara zetu kwa watu wanao fikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibi huna uadilifu wa kujibu maswali unayoulizwa hili jambo halipendezi kwa mtu mzima kama wewe tuoigishane kelele hapa.

Nimekuuliza kuhusu waznu wa neno KUOWANA katika fani ya swarfu itapimwaje?

Umeleta upinzani mpaka sasa jibu sijapata.mimi naona nikuwache yaendelee mambo mengine najua hata kwenye maudui zingine tutazongana tu.

Ila sio jambo zuri halipendezi kwa kweli jishushe kama jambo hujui sema hujui,kumbuka anaejipandisha Allah atamshusha na wewe usiwe na dhana ya kujiona mjuzi wakati elimu ni pana.

Mimi siwezi kuminyana kwa sababu nina imani sipati dhambi nikiacha kubishana.
Unaanza kuelewa kidogo kidogo kuwa hakuna "hadithi ya Mtume" bali ni masimulizi tu ya watu wanamuongelea Mtume.

Heko.

Ongezea tu, yanaweza kuwa na ukweli, uongo, porojo au uzushi na siyo wahyi.

Umenifundisha Mimi wakati hayo ndiyo nnakufundisha siku zote humu. Nimefurahi leo darsa linaanza kukuingia. Keep it up.

Ingawa unaanza kuelewa maana ya hadith,hiyo haikuondelei hukumu la Amma kutubu kwa kutaka kuizulia Qur'an kuwa eti "ndani ya Qur'an kuna adhabu za kaburi" au leta Ayat ulizoahidi. Mwambie na mwenzako anaejiita safuher akusaidie. Nasubiri na wasomaji wanasubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwenyewe leo nimemuacha rasmi,anapotezea watu muda.
Kuna wadau hapo juu wamemuuliza mas'ala mazuri sana na mimi nasubiri kama atajibu vile alivyoulizwa.ila huyu bibi ni wakufundishwa inaonesha dini haijui walau kwa uchache.

Na inaonesha hakusoma dini utotoni walau kidogo akapitapita.

Anaonekana ni mtu wa hamasa jaahil hajui kitu kabisa.

Ila shida ya wasomi kama hawa hata kama hawajasoma dini wanataka na kwenye dini wakawe wasomi.

Juzi juzi professa assad aliyekuwa CIG eti anasema ukiwa na gari tu basi unadhima ya kwenda hijja,nikasema dooh hii mpya.

Sasa huyu bibi anataka atuletee mambo yake kwenye dini.

Huyu bibi wa kuhurumiwa na kupuuzwa tu.

Nakumbuka nilimuuliza swali dogo sana,kikao cha tashahuud anakisomaje kabla ya kutoa salamu ? Hili swali mpaka kesho hajajibu. Yaani mjinga mjinga.
 
Mkuu hana majibi nje ya hadithi.

Yani kadiani si kadiani Quraniyuun sio Quraniyuun yupo yupo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mwenzake Mokaze nilipo mwambia kwamba yeye ni Qadian amepotea mazima.

Tatizo lao wanataka kuvumbua katika hii dini,wanasahau kwamba kila kitu kimewekwa wazi na kimedhibitiwa bali maisha yote ya mtume alikuwa anaitafsiri Qur'aan kwa matendo na kauli.
 
Bibi huna uadilifu wa kujibu maswali unayoulizwa hili jambo halipendezi kwa mtu mzima kama wewe tuoigishane kelele hapa.

Nimekuuliza kuhusu waznu wa neno KUOWANA katika fani ya swarfu itapimwaje?

Umeleta upinzani mpaka sasa jibu sijapata.mimi naona nikuwache yaendelee mambo mengine najua hata kwenye maudui zingine tutazongana tu.

Ila sio jambo zuri halipendezi kwa kweli jishushe kama jambo hujui sema hujui,kumbuka anaejipandisha Allah atamshusha na wewe usiwe na dhana ya kujiona mjuzi wakati elimu ni pana.

Mimi siwezi kuminyana kwa sababu nina imani sipati dhambi nikiacha kubishana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi Kwa walimu wako waliokufundisha ujinga. Nimekufamidha Sana kuhusu "wazn" lakini huelewi.

Hatuandiki mashairi hapanwa.nyimbo kutafuta "mizani' (balance). Inaonesha wazi kuwa huelewi unachotaka kukiuliza Bali unatafuta pakutokea nduki.

Lete Ayat za Qur'an za "adhabu za kaburi" ulizoahidi mwaka jana. Mwambie na mwenzako anaejiita Zurri akusaidie.

Nnakuhakikishia hamtoweza kuleta Hilo kutoka kwenye Qur'an, mtalikuta Hilo nje ya Qur'an kwenye masimulizi yenu ya kujitungia.
 
Nakumbuka nilimuuliza swali dogo sana,kikao cha tashahuud anakisomaje kabla ya kutoa salamu ? Hili swali mpaka kesho hajajibu. Yaani mjinga mjinga.

Ndiyo maana nakwambia uko finyu ssana. Nilikujibu kwa kukuwekea Aya ya Qur'an na sikushangai kwa kutokuiamini kwako Qur'an hata unapowekewa Aya ya Qur'an huoni. Mpo wengi kama wewe.

Hilo la "Tashahud" wote mnaofata porojo mmehitilafiana Kwa vikundi na kila kikundi kina maneno maneno yake na hayafanani na kingine. Bisha hilo nikuwekee ushahidi.

Mimi nashahadia kama nilivyoelekezwa na Qur'an, sizidishi wala sipunguzi kufata porojo.
 
Yule mwenzake Mokaze nilipo mwambia kwamba yeye ni Qadian amepotea mazima.

Tatizo lao wanataka kuvumbua katika hii dini,wanasahau kwamba kila kitu kimewekwa wazi na kimedhibitiwa bali maisha yote ya mtume alikuwa anaitafsiri Qur'aan kwa matendo na kauli.
Sina mwenzangu zaidi ya Allah, kumbuka hilo.
 
Twayyib kama hayo maelezo hayatoki nje ya Qurani basi naomba niwekee hayo maelezO katika aya zake maalumu kwa sababu lugha ya humo siijui.ninukulie hizo aya ambazo kazitoa kwa kuwa maelezo yake hayatoki nje ya Qurani ingekuwa bora ukanifanyia hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka.nikutsfsirie darsa zima la zaidi ya saa moja?

Hapana, kazi hiyo siwezi kukufanyia. Kama lugha huielewi si tatizo langu ni tatizo lako kwani Qur'an inakwambia "soma" wewe hutaki, unangoja kusomewa? Fikiri.
 
Kuna wadau hapo juu wamemuuliza mas'ala mazuri sana na mimi nasubiri kama atajibu vile alivyoulizwa.ila huyu bibi ni wakufundishwa inaonesha dini haijui walau kwa uchache.

Na inaonesha hakusoma dini utotoni walau kidogo akapitapita.

Anaonekana ni mtu wa hamasa jaahil hajui kitu kabisa.

Ila shida ya wasomi kama hawa hata kama hawajasoma dini wanataka na kwenye dini wakawe wasomi.

Juzi juzi professa assad aliyekuwa CIG eti anasema ukiwa na gari tu basi unadhima ya kwenda hijja,nikasema dooh hii mpya.

Sasa huyu bibi anataka atuletee mambo yake kwenye dini.

Huyu bibi wa kuhurumiwa na kupuuzwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe leo nimemuacha rasmi,anapotezea watu muda.

Naona majuha wawili mliotaka kuizulia Qur'an Kwa kujidai eti mtaleta Ayat za Qur'an za "adhabu ya kaburi" mmeshindwa sasa mnapiga porojo za kijinga.

Nnawaambia, hamtoweza nyinyi na changanyikeni na mashetani wenzenu pia hamtoweza kubuni wala kuleta Ayat ambazo hazipo.

Mwengine eti anajidai "Mimi mwenyewe", nnakuuliza, unasema wewe "mwenyewe", mwenye nini?

Huna chochote ulichonacho zaidi ya porojo tu. Kumbuka hilo.
 
Ulisema hii ni darsa.kwa hyo sisi tunsuliza na wewe unajibu kwa yale tuliyouliza.ila nilichotaka ni aya inayoeleza kuwa ijumaa isaliwe rakaa ngapi.suala langu ni kuhusu idadi ya rakaa sikutaka nipewe darsa ya sala zote.

Ulisema pia kuwa hayo maelezo hayatoki nje ya Qurani je kwa nini usininukulie hizo aya kama hayo maelezo hayatoki nje ya Qurani?

Kwa sababu ninachokitaka mimi ni aya inayotaja rakaa siku ya ijumaa kwa sababu haiwezekani rakaa asitaje Allah afu aje kutaja huyo mzungu idadi yake kwa maana Qurani ilikuwa inamsubiri huyo mtu ili aje kuifafanua na sio kitabu kilichoweka wazi mambo na kubainisha kama ulivyosema huko nyuma?
Unataka.nikutsfsirie darsa zima la zaidi ya saa moja?

Hapana, kazi hiyo siwezi kukufanyia. Kama lugha huielewi si tatizo langu ni tatizo lako kwani Qur'an inakwambia "soma" wewe hutaki, unangoja kusomewa? Fikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu kuwepo sala sina shaka kuwa ilikuepo,ila ninachotaka kujua ni namna ya sala kiutaratibu wake katika namna na idadi ya rakaa zake kwani ni jambo muhimu sana.kwa ssbabu sidhani kama Allah kataka tusali alafu namna ya kusali atuachie sisi kila mtu afanye kwa vile alivyoelewa yeye.

Vidio sitoweza kuitizama kwa sababu lugha yake siijui hivyo sitoelewa.ila mwanzo ulisema kuwa Qurani haihitaji tafsiri na maelezo ya watu na ukaweka aya kuwa Qurani iko wazi kabisa.
Ila sasa nilichotaka kufahamu ni aya gani ambayo imeeleza rakaa ndani ya Qurani kuhusu ijumaa?

Jee kama waislamu wanasali tofauti ina maana na Qurani pia ni uzushi kama hadithi tu kutokana na hizo ikhtilaafu za watu juu ya kusali kama ulivyosema wanasali tofauti?

Ikiwa kama tunasema kinachoitwa hadithi za mtume ni uzushi kwa sababu lau zingekuwa hadithi basi watu wasingekhitilafiana,basi kwa nini pia watu wakhitilafiane katika Qurani ina maana Qurani nayo ni uzushi kwa sababu watu wanakhitilafiana juu ya baadhi ya mambo humo ikiwemo sala ambayo umekubali kuwa waislamu hawasali kwa namna moja?

Back
Top Bottom