Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Ndiyo maana nakwambia uko finyu ssana. Nilikujibu kwa kukuwekea Aya ya Qur'an na sikushangai kwa kutokuiamini kwako Qur'an hata unapowekewa Aya ya Qur'an huoni. Mpo wengi kama wewe.

Hilo la "Tashahud" wote mnaofata porojo mmehitilafiana Kwa vikundi na kila kikundi kina maneno maneno yake na hayafanani na kingine. Bisha hilo nikuwekee ushahidi.

Mimi nashahadia kama nilivyoelekezwa na Qur'an, sizidishi wala sipunguzi kufata porojo.
Weka hayo maneno.

Swal langu,kwahiyo ukiwa pale kwenye Tashahuud unasoma zile aya sio ?

Kama huna majibu usini quote aisee.
 
Ndiyo maana nakwambia uko finyu ssana. Nilikujibu kwa kukuwekea Aya ya Qur'an na sikushangai kwa kutokuiamini kwako Qur'an hata unapowekewa Aya ya Qur'an huoni. Mpo wengi kama wewe.

Hilo la "Tashahud" wote mnaofata porojo mmehitilafiana Kwa vikundi na kila kikundi kina maneno maneno yake na hayafanani na kingine. Bisha hilo nikuwekee ushahidi.

Mimi nashahadia kama nilivyoelekezwa na Qur'an, sizidishi wala sipunguzi kufata porojo.
Poa.
 
Naona majuha wawili mliotaka kuizulia Qur'an Kwa kujidai eti mtaleta Ayat za Qur'an za "adhabu ya kaburi" mmeshindwa sasa.mnapiga porojo za kijinga.

Nnawaambiw hamtoweza nyinyi na changanyikeni na mashetani wenzenu pia hamtoweza kubuni wala kuleta Ayat ambazo hazipo.

Mwengine eti anajidai "Mimi mwenyewe", nnakuuliza, unasema wewe "mwenyewe", mwenye nini?

Huna chochote ulichonacho zaidi ya porojo tu. Kumbuka hilo.

Poa.
 
Ndiyo maana nakwambia uko finyu ssana. Nilikujibu kwa kukuwekea Aya ya Qur'an na sikushangai kwa kutokuiamini kwako Qur'an hata unapowekewa Aya ya Qur'an huoni. Mpo wengi kama wewe.

Hilo la "Tashahud" wote mnaofata porojo mmehitilafiana Kwa vikundi na kila kikundi kina maneno maneno yake na hayafanani na kingine. Bisha hilo nikuwekee ushahidi.

Mimi nashahadia kama nilivyoelekezwa na Qur'an, sizidishi wala sipunguzi kufata porojo.
Msaada pls post 3187

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli.

Uislam haufundishi ugaidi wala haufungamani na kundi lolote la kigaidi.

Uislam unafundisha:

Qur'an 5:
32. Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.

33.Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.
Ni kwann maneno ya Quran hutumia wingi "tumewaandikia" "tumewaumbeni" hii tu inastand kwa kina nani,ni MUNGU tu au Ni nani na nani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna pahala Qur'an imeongelea kusulubiwa kwa Yesu, Ukweli.
 
umejileta nikupige swali...

Hivi Uislamu unaruhusu upandikizaji wa mimba.?
Swali lako zuri sana:

Jibu...

Kutafuta tiba ya utasa sio tu inajuzu, bali pia kunahimizwa katika Uislam. Katika sheria za Kiislam, teknolojia zote za usaidizi za uzazi (ARTs) zinaruhusiwa, mradi tu chanzo cha mbegu ya kiume, yai la uzazi, na uterasi kinatokana na wanandoa waliooana kihalali katika kipindi cha ndoa yao. Hakuna mtu wa tatu anayepaswa kuingilia kazi za ndoa za ngono na uzazi. Ubaguzi haukubaliwi katika Uislamu. Idadi ya ziada ya viinitete vilivyorutubishwa inaweza kuhifadhiwa kwa kuhifadhiwa na inaweza kuhamishiwa kwa mke yuleyule katika mzunguko unaofuatana, huku ndoa ikiwa thabiti. Kutumia manii iliyogandishwa baada ya kifo cha mume hairuhusiwi.

Naahisi wewe unadhani kuwa hii tekolojia ndiyo kwanza umeisikia ikifika na kushamiri Tanzania basi na wengine hawaifahamu! Ulikuwa huelewi kuwa, katika nchi nyingi zenye Waislam wengi teknolojia za uzazi zipo kwa miaka mingi sasa. Hapa kwetu ndiyo kwanza tunayaona ambayo wenzetu wanayo zamani...

Utafiti wa kianthropolojia wa kimatibabu kuhusu sayansi, teknolojia ya kibayoteknolojia, na dini umezingatia “ulimwengu wa kimaadili wa mahali hapo” wa wanaume na wanawake wanapofanya maamuzi magumu kuhusu afya zao na mwanzo na mwisho wa maisha ya binadamu. Mada hii inaangazia ulimwengu wa kimaadili wa Waislamu wasio na uwezo wa kuzaa wanapojaribu kutengeneza, kwa mtindo sahihi wa kidini, watoto wa Kiislamu katika kliniki za urutubishaji katika mfumo wa uzazi (IVF) nchini Misri na Lebanon. Mapema kama 1980, fatwa zenye mamlaka zilizotolewa kutoka Chuo Kikuu cha Al-Azhar maarufu nchini Misri zilipendekeza kwamba IVF na teknolojia kama hizo zinaruhusiwa mradi hazihusishi aina yoyote ya mchango wa mtu wa tatu (wa manii, mayai, viinitete, au uterasi). Tangu mwishoni mwa miaka ya 1990, hata hivyo, tofauti za maoni kuhusu mchango wa gamete wa wahusika wengine zimetokea kati ya Waislamu wa Sunni na Shi’ite, huku Ayatollah anayeongoza wa Iran akiruhusu mchango wa gamete chini ya masharti fulani. Fatwa hii ya Irani imekuwa na athari kubwa kwa nchi ya Lebanon, ambapo Washia walio wengi pia wanatafuta huduma za IVF. Kulingana na vipindi vitatu vya utafiti wa ethnografia katika kliniki za IVF za Misri na Lebanon, karatasi hii inachunguza mijadala rasmi na isiyo rasmi ya kidini inayozunguka mazoezi ya IVF na michango ya watu wengine katika ulimwengu wa Kiislamu, pamoja na athari za kijinsia za mchango wa gamete kwa ndoa za Kiislamu.
 
Kwaiyo tusaidie wewe Mwerevu,sasa hayo Mashirika uliyoyataja yameisha toweka au bado yapo?na kama yapo unadhani kwanini serikali za nchi husika haziachi yakafa jumla pamoja na kuingiza hasara?
Ndege ni kichocheo cha Uchumi kwa maana ya kurahisisha usafiri wa abiria na Mizigo,ata kama inaingiza hasara lakini inasaidia sector zingine za Utalii,Kilimo,Madini nk.Ujasikia serikali ya Saudi Arabia wanataka kuanzisha Shirika lingine la Ndege nje ya Emirates?
Wewe nawe haujui Saudi Arabia nini na emirates nini. Pata darsa dogo...

Saudi Arabia wanamiliki shirika la ndege liitwalo Saudi Arabian Airlines, wanaanzisha shirika jipya liitwalo Riadh Air.

United Arab Emirates ndio wana shirika liitwalo Emirates.

Saudi Arabia na United Arab Emirates ni nchi mbili tofauti kabisa.
 
Wewe bawe haujui Saudi Arabia nini na emirates nini. Para darsa dogo...

Saudi Arabia wanamiliki shirika la ndege liitwalo Saudi Arabian Airlines, wanaanzisha shirika jipya liitwalo Riadh Air.

United Arab Emirates ndio wana shirika liitwalo Emirates.

Saudi Arabia na United Arab Emirates ni nchi mbili tofauti kabisa.
Para=pata .
 
Wewe nawe haujui Saudi Arabia nini na emirates nini. Pata darsa dogo...

Saudi Arabia wanamiliki shirika la ndege liitwalo Saudi Arabian Airlines, wanaanzisha shirika jipya liitwalo Riadh Air.

United Arab Emirates ndio wana shirika liitwalo Emirates.

Saudi Arabia na United Arab Emirates ni nchi mbili tofauti kabisa.
Aiseee, hauja expire?
 
Back
Top Bottom