Fainali ASFC, Mtibwa Sugar Vs Singida United, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Leo ni fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), inapigwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha ambapo Mtibwa Sugar dhidi ya Singida United.

00' Mpira umeanza kwa mashambulizi kwa zote mbili

22' Gooooal, Kihimbwa anaipatia Mtibwa Sugar bao la kwanza kwa shuti la umbali

Kutoka uwanja wa Sheikh Amri, mpira ni makali sana

37' Gooooal..Kona ya Issa Rashid ' Baba Ubaya' inaingia moja kwa moja nyavuni na kuipa Mtibwa Sugar goli la pili

43' Gooooal Salum Chuku anaandika bao la kwanza upande wa Singida United

45' Henry anaonyeshwa kadi ya njano

Mapumziko kutoka Uwanja wa Sheikh Amri mkoani Arusha

Goooooooal..Tafadzwa Kutinyu anawarudisha mchezoni Singida United kwa kusawazisha bao.

Mtibwa Sugar 2-2 Singida United

Issa Rashid anapewa Kadi Nyekundu baada ya kumchezea rafu Deus Kaseke. Baada ya kuwa alipewa mwanzo Kadi ya Njano. Upande wa Mtibwa Sugar

Kutinyu anapiga shuti. Lakini golikipa anadaka

85' Kihimbwa yuko chini baada ya kupata rabsha

Goooooooal, goooooooal .. Mtibwa Sugar wanaandika bao la tatu kupitia kwa Ismail Mhesa

Hatari lakini golikipa wa Mtibwa anaruka juu na kuunyaka mpira

90' Kuelekea kuhitimisha mtanange huu wa ASFC

Mtibwa Sugar 3-2 Singida United


Naam mpiraaa umekwishaaaaaa. Mtibwa Sugar ni Bingwa wa ASFC, hivyo wanapata tiketi ya kuungana na Simba SC kuiwakilisha Tanzania Kimataifa
 
39' Mtibwa Sugar 2-0 Singida United
Mabao safi ya Kihimbwa na Issa Rashid ' Baba Ubaya'
 
43' Goooooooal Salum Chuku anaipatia Singida United bao la kwanza

Mtibwa Sugar 2-1 Singida United
 
45' Henry Joseph anapewa kadi Njano baada mchezo mbaya
 
45+2' Naam ni mapumziko kutoka uwanja wa Sheikh Amri mkoani Arusha

Mtibwa Sugar 2-1 Singida United
 
HT Mtibwa 2 Singida 1
Kihimbwa na Baba Ubaya wafungaji wa Mtibwa
Salum Chuku kafunga kwa Singida United
 
Kwa Mara ya kwanza nashuudia final ya viwango vya FIFA Tanzania
 
Mudathir anashidwa kuipatia Singida bao kutokana na mpira wake wa adhabu kutozaa matunda
 
67' Fainali ya ASFC Mtibwa 2-1 Singida United
 
Goooooooal..Kutinyu anasawazisha bao

Mtibwa Sugar 2-2 Singida United
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…